mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Ni vile tu hujamuelewa vizuri, mfatilie vizuri utagundua kitu kuhusu yeye, mengine yeye ni binadamu.Katika watu wa hovyo kutokea hapa Tanzania ni huyo jamaa.
Upinzani ni afya kwa Taifa, Mwalim Nyerere aliamua kuleta vyama vingi japo kura za maoni wananchi hawakuwa tayari, lakini aliangalia big picture kuwa tusipoingia kwenye mfumo ule tukasubiri tuwe tayari tunaweza kujikuta tuko tayari katika namna ambayo italeta madhara makubwa kwa Taifa