Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

We ni mpu...Rais alijiita mwenyewe Jiwe!
 
Kwenye like tetemeko michango ilifika bil 900? Bill gates alitoa bil 200? Kuhusu kutumika si zilikarabati majengo ya serikali! Au hufahamu? Acha kupinga kila kitu
Yaan kwa maelezep haya tu eti umelizika walitoa wapi data za athar ya tetemeko na wakatuonesha pale rehabitation ya kila athar iligharimu sh ngap

MNAPIGWA SN TU
 
 

Hili "jiwe" mwenyekiti wenu alijiita yeye mwenyewe TL yeye ana refer tu
 
Nani asiyejua kuwa marais wote, ispokuwa Nyerere, walijitajirisha wao na ndugu zao isivyo kihalali. Huyu naye ameishapiga za kutosha mpaka kumfukuza CAG na kuweka ndugu zake wa karibu katika taasisi mhimu za kifedha na kiusalama. lissu yataje majizi yote yaaibishwe
 
Wacha aanikwe,msitetea wizi na ujinga kwa masilahi ya matumbo yenu.
 

Tunajua mnatamani sana kuingia ikulu na ni haki yenu, ni bahati mbaya kwamba tayari mmesha feli kukamata dola, sababu zitazowafelisha ni ilani yenu. Kinachowafelisha ni hiki hapa;

!) kujipambanua kwamba serikali yenu haitakusanya kodi badala yake mta weka dhamana rasilimali za nchi ili muweze kukopa pesa za kuendesha serikali. hapa mme score 0%

ii) Kuanzisha utawala wa majimbo ambao kwa tafsiri ya haraka ni kwamba serikali za majimbo ziundwe na wenyeji wa kanda ile ni kurudisha ukabila na halitawezekana kwa sababu ya mchanganyiko ya makabila ambayo yamehama kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Hapa tegemea mtifuano wa kikabila ambao hautamalizika na mwisho wake ni kugawana mbao. Mfumo huu pia utaleta changamoto kaatika kugawanya the little resources of the country. Hapa mtapata 0% score

Kwa ujumla ilani yenu ina mapungufu mengi sana kwani matarajio mliyoyaweka hayatekelezeki, nadhani ilani ilitayarishiwa bara tofauti na bara la Afrika

Kwa hayo mawili hapo juu tayari mmeikosa ikulu hata kambi rasmi ya upinzani bungeni hamtaipata. Tusubiri tarehe 28/10
 
usiongee kama zwazwa la lumumba SIKILIZA HII HABARI UKAMJULISHE NA MUME WENYU
 
Ni nani alimuita mwenzie jiwe? Huyo mwenzie si alishajinasibu kuwa yeye ni "jiwe kweli kweli"?
 
Hapa unapotosha..ninyi bado mnaona watanzania ni wajinga sivyo? Huo mfumo wa mkoa mkoa umekua uchocho wa kupeana ulaji wa Chama chenu kwa mda mrefu. Hamuezi kukubali Sera ya majimbo just bcoz hyo itaondoa ulaji wenu. Kuanzia ukuu wa mikoa,wilaya,ukurugenzi nk. Tunataka pesa ztakazoseviwa kwenye mavieo haya yasiokuwa na tija ziende kwenye maendeleo ya watu.

Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu wetu!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu magufuli alijiita mwenyewe jina la jiwe pale ubungo,usimsingizie Lissu
 
Sawa mkuu, tuwe wakweli na tuwatetee hata wale wapigwa na wananchi wenye hasira kali. Wengine hawana hata makosa. Tuwatetee wote

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…