Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

Hahahaaaaaa hujui nguvu na wizi ulotumika Jimboni kwa Lissu ndo maana unaonge
 
Una akili na upeo wa hali ya juu wa kumsoma kumchambua na kumtafsiri mtu b.up izzo
 
Kuna MTU nimesoma comment ake anasema wana singida mashariki hawampendi Lissu sasa naomba anijibu nani ni mbuge wa singida? Na kama ni Lissu anawezaje kusema hawampendi!
 
God bless Lissu...my ideal politian... Huyu ndie alikuwa chaguo langu 2015...na 2020 tutapambana asimamishwe....Hamna kiboko ya ccm zaidi ya Lissu,..
 
God bless Lissu...my ideal politian... Huyu ndie alikuwa chaguo langu 2015...na 2020 tutapambana asimamishwe....Hamna kiboko ya ccm zaidi ya Lissu,..
Mmh ndoto ya mchana kweupeeeee!! Kule upinzani hakuna msafi labda nije nigombee mimi, kama uchaguzi mdogo tu mmeporomoka kwa kasi sembuse 2020? [emoji40] [emoji40]
 
Hana Presidential Personality ila ana Prison Personality hivyo labda kungetokea Uchaguzi Mkuu upande wa kuchagua Rais wa Wafungwa wote nchini Tanzania nadhani angepata kura za ' kutukuka ' kabisa.
kwangu mimi ni bora lissu mara 20 kuliko jpm
 
Tayari mmeishamchoka Mzee?
 
kwangu mimi ni bora lissu mara 20 kuliko jpm

Labda kwa kukesha rumande na kupelekwa Mahakamani kila uchao ILA siyo kwa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na ikitokea kweli Lissu akaja kuwa Rais wetu nadhani nitajitoa Mhanga kuwa ' Rebel Leader ' wa Kwanza nchini Tanzania na sidhani kama ataongoza vizuri kutokana na kwamba nitakuwa namtia ' jamba jamba ' mno na akicheza au kufanya mzaha naweza hata ' kumtimbia ' hadi Ikulu na akanipisha kisha Watanzania wote mkaongozwa na GENTAMYCINE na hapo nadhani ndiyo ' nitawanyoosheni ' kuliko hata RC Makonda, Premier Majaliwa na His Excellency JPM wanavyowanyoosha sasa na moja ya ' Ubabe ' wangu nitakaoanza nao nitaamuru Majengo yote marefu ya Ghorofa lifti zote ziharibiwe makusudi au ziondolewe kabisa kisha kila Mfanyakazi awe anapanda juu na kushuka chini mwenyewe kila siku awapo Kazini na ' Ubabe ' wangu wa pili nitaamuru Mabasi yote ya Mwendokasi na Daladala zote ziondolewe mjini na huko mitaani kote kisha Watanzania wote muwe mnatoka Mbezi Makabe hadi Gerezani kwa Miguu au Tegeta hadi Mbagala kwa Miguu 24/7. In short Uongozi wangu utakuwa unalenga zaidi katika Taifa lenye Wananchi ' wakakamavu ' ili tubane Bajeti ya kununua Dawa kila siku za Mahospitalini kwenda kuwatibia Watu wavivu wavivu na goi goi na tuwapumzishe pia Madaktari wetu kwa Magonjwa yetu mengi ambayo ni ya kujitakia.
 
Kama aweza muita Rais aliepo madarakani Mropokaji. Wewe utaekuwa mwananchi wake akiwa Rais atakuita nani pindi mkitofautiana mitazamo??.
Jua huo ndo ukomo wa busara zake kama wewe nawe ulivogota ki busara.
 
Atapitaje hiyo 2020 kua mbunge wakati atakua rais[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Punguza mihemko kaka
 
ni kweli sio mla rushwa lakini ni kigeugeu asiyekua na msimamo hata kidogo kwa matamshi yake..tunapokua na mtu kama huyu asiye na msimamo na tena unamwita mwanasheria nguli unategemea nini akishika nchi??
 
tundu lissu hawezi kuwa raisi 2020 labda mhe.waziri mkuu aliyejihudhuru asiwepo nchi hii....au awe amestaafu siasa....
 
Sikuamini kipindi hiki mambo yangekuwa hivi kwa mfano kwa sasa ni mara 100 awamu ya mkapa au kikwete tuachilie mbalimwinyi na nyerere na kila awamu zinazokuja tunatamani awamu zilizopita sasa mi nahisi tusipokaa vizuri inaweza ikala kwetu na kamba zikakazwa mbaya kabisa......!
 
Lissu ni moja ya hazina kubwa kabisa katika taifa hili, huwezi kulinganisha na farujohn kamwe
 
Lisu is a rookie! Huwezi mfananisha na MTU kama Mbowe, Slaa ama Lowasa ambao hao wanamzidi na bado wameshindwa! Lisu hafahamiki na yeyeyote zaidi ya Chadema makao makuu!
Tatizo lako unafikiria kinyume nyume huwezi kuwa na fikra huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…