gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Kumbe na wewe wakati mwingine hufikiri kwa kutumia kinyume na maumbile!!Hana Presidential Personality ila ana Prison Personality hivyo labda kungetokea Uchaguzi Mkuu upande wa kuchagua Rais wa Wafungwa wote nchini Tanzania nadhani angepata kura za ' kutukuka ' kabisa.
Hahahahhaha work on your grammar..... i mean what the hell is "you who don't know".....and to make matters worse ur correcting someone else concerning queen's languageThe problem is to you who dont know the queen's language, I do advice people Like you to pass silently on English written coments
Magufuli ana busara na hekma mkuu???utawala wa nchi unahitaji busara na hekima kuna muda mh. Lissu anakosa vitu hivi kwa sababu ya hasira ni mpiganaji,mzalendo, namtetezi wa wanyonge, mlinda katiba, sawa lakini bado kuwa raisi wa JMT
..ndoto za mchana kwa mama yako....si kila anaye comment humu ni mwanasiasa wa upinzani we chura...tumia akili badala ya makalio kufikiri...na soma content ya post...acha kufi.rika we...Mmh ndoto ya mchana kweupeeeee!! Kule upinzani hakuna msafi labda nije nigombee mimi, kama uchaguzi mdogo tu mmeporomoka kwa kasi sembuse 2020? [emoji40] [emoji40]
Kwani we ni nani sio kila wazo unalolifikiria wewe wote tunaliafiki huyo tundu lisu ni rais wa wazungusha mikono sio wa rais wa tz nyambafu..ndoto za mchana kwa mama yako....si kila anaye comment humu ni mwanasiasa wa upinzani we chura...tumia akili badala ya makalio kufikiri...na soma content ya post...acha kufi.rika we...
..alieyema LIssu rais wa Tz nani we ki.ma...hujitambui .....maana unajambishwa...ukiona nimeandika kamwe usi comment....mi nina allergy na watu aina yako....siwavumilii mnaotumia makalio kufikiri nyie...Kwani we ni nani sio kila wazo unalolifikiria wewe wote tunaliafiki huyo tundu lisu ni rais wa wazungusha mikono sio wa rais wa tz nyambafu
utawala wa nchi unahitaji busara na hekima kuna muda mh. Lissu anakosa vitu hivi kwa sababu ya hasira ni mpiganaji,mzalendo, namtetezi wa wanyonge, mlinda katiba, sawa lakini bado kuwa raisi wa JMT
We unanijua mimi au una hamu ya kupumuliwa achana na mimi we nyumbu usijibu comment yangu..alieyema LIssu rais wa Tz nani we ki.ma...hujitambui .....maana unajambishwa...ukiona nimeandika kamwe usi comment....mi nina allergy na watu aina yako....siwavumilii mnaotumia makalio kufikiri nyie...
Mwaka 2020 Chadema bila shaka yoyote watamsimamisha Tundu Lisu agombee nafasi ya Urais na kwa upande wa CCM wao watampitisha Kasimu majaliwa agombee badala ya JPM
Wasanii wengi watahama CCM na kujiunga na Chadema
Halima mdee yeye atahama chadema na kujiunga na CCM
Tundu lisu atashinda nafasi ya urais kwa 59%
Ombi:Mods huu uzi msiufute ikifika 2020 hata kama nitakuwa mavumbini basi muurudishe tena jukwaani ili muone nilichokinena ni kweli au porojo
Subiri uone mkuuHalima Mdee atahamia wapi vile?Hii ni porojo.