Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anajitutumua kuitumia Corona kisiasa lakini wapi!

Lissu kachanganyikiwa
Kama Lissu kachanganyikiwa CCM ndo
Mimi nailaumu NEC walitakiwa kupima akili wachukua fomu kabla ya kuwapa Nina uhakika ngukekuweko upimaji akili Kama ziko timamu au la Lisu asingepewa fomu

Usilete idea ya kupima wagombea akili, usije ukawa shocked kwa mgombea wako kuenguliwa mapema tu kabla ya Lissu
 
Issue ya Corona Lisu haeleweki kea Wana Chadema Wala CCM Wala upinzani Wala wananchi wa kawaida Wala mabalozi walioko nchini
Serious Chadema kumuweka Lisu wamechemka waombe Mungu tu awasaidie kupitia NEC waondoe jina la Lisu ili Chadema waweke mtu mwingine

Lakini otherwise nimeongea na Chadema wengi tu wanasema wanajuta kumpa ugombea uraisi !! Na jina lake likikatwa na tume wengi watamshukuru Mungu
 
Tundu ndiye mgombea mbovu toka Chadema ianzishwe
Nakubaliana pia ni mgombea Maskini asiye na pesa kuliko mgombea yeyote toka Chadema ianzishwe

Ni kwa Mara ya kwa Chadema imepata mgombea Maskini wenzie waliomtangulia walikuwa na pesa .Slaa za wafadhili wa nje.mbowe za kwake, Lowassa za kwake .Lisu lofa pekee
 
Huyu mleta mada either ni popoma sugu, au anapotosha makusudi.. maana anamtuhumu mh. Lissu kwa mambo ambayo hakusema!

Ila kwa ujumla naunga mkono jinsi mh. Jiwe alivoshughulikia korona
 
Pole sana mkuu ila kama unatudanganya hapa kwa manufaa ya kushinda mjadala basi ulaaniwe

Kuna wengi wanakufa kijana mwingine wa Arusha tulisoma naye Ilboru naye kafariki wiki mbili sasa. Kwasababu alikuwa na kisukari Corona ilimpeleka haraka sana. Uliza kwenye watu walio group za Ilboru kama si kweli ndugu yetu Elisante kafariki kwa Corona
 
Katika kuzungumza huko naye anaonyesha ubovu wake kama mwanasiasa.

Yeye ni mwanaharakati tu.

Siasa haziwezi.
Njoo wew unayeziweza pumbafu....nilijua mtu mwenyew uelewa kumbe famba tu.unatofautishe uanaharakati na siasa.kweli msukuma ni msukuma tu hata akiwa ulaya ni famba tu
 
Ni context tu!

Aliyoyasema Jiwe ni mabaya zaidi kuliko Lissu kutumia neno "Sidiria"

Kauli halisi ni hii:

Hapana. Si suala la muktadha.

Ni suala la ukweli wa kilichosemwa.

Wewe umesema Lissu kamsema Magufuli kwa kuilinganisha barakoa na titi.

Lissu hajasema hivyo.

Lissu kasema Magufuli aliilinganisha barakoa na sidiria za wanawake.

Sidiria na titi ni vitu viwili tofauti.

Hulijui hilo?
 
"Tusikubali kuletewa barakoa,tengenezeni zenu,kwanza barakoa inafanana na sidiria zenu,kateni sidiria ziwe barakoa "...

Kwa kweli mh alitudhalilisha sana,

Kuwa nguo tunayovaa ndani ndo tuvae hadharani,udhalilishaji kwa wanawake,bora angesema wavae singilend au boxa
 
Msitegemee Agenda ya Maendeleo toka kwa TL tofauti na kumkosoa JPM.

Na hii Ndio hurka ya mwana harakati.
 
Njoo wew unayeziweza pumbafu....nilijua mtu mwenyew uelewa kumbe famba tu.unatofautishe uanaharakati na siasa.kweli msukuma ni msukuma tu hata akiwa ulaya ni famba tu
Povu la nini sasa kamanda?

Kama unaweza kupigana ngumi njoo.

La sivyo sina muda wa kuandika matusi ya kitoto mtandaoni mimi.
 
ukijifungua salama tafadhali mtoto mpe jina Tundu Lisu...una mahaba naye sana mleta mada!.
 
Rais wa ufipa?,fUk!u
 
Washenzi Fulani Hivi, bila Shaka walikuwa wamelikamia Sana Hilo la Corona, na baada ya kudunda Nchini, hawana hoja tena,

Na kwa kweli, inaonyesha walikuwa wamejipanga Kwa mashambulizi haswa kuhusiana na Hilo,

Na pengine walikuwa wakiombea watu wafe Sana Ili kwao iwe ni agenda Yao ya kisiasa,

Sijui watakuwa na agenda gani SASA!!
 

Mwaka huu Chadema ya Tundu Lissu itaambulia kura chache yaani hawataamini, yaani itakuwa kama NCCR Mageuzi ya Mrema.
 
Sina hoja lakini kila niandikapo hukosi kupita na kutema nyongo zako!

Dizaini nakupa kiungulia cha moyo kila unionapo maana washindwa kujizuia!!!!

Pole.
Tunajua Meko ni ngosha mwenzio, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba ulimbukeni na ushamba umemzidi huyo ndugu yako.

Yaani watanzania hatumhitaji kwa sasa. Ni kiongozi mbovu asiyefuata misingi ya utawala wa sheria.

Mwambie arudi huko kwenu akalime viazi vitamu. Ametuvurugia utaratibu na sasa imetosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…