Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anajitutumua kuitumia Corona kisiasa lakini wapi!

Shit. Unaaibisha manyani...
 
Sijawahi kuona mgombea uraisi asiyejielewa kama huyu jamaa.
 
Ni kwann mnajiaminisha namna hii kuwa atakuwa Bora........?!!!!

Hv akiwa ovyo kuliko unavyodhania,utakuja tena na kusema hafai,kisha ukamchagua mwengine tena na kumpa sifa kemkem.......?!

Jiulize hili
Ni kwann atakuwa Bora?!
Kwa lipi hasa ?!
Au unakusudia nini hasa kuhusu Ubora?!


acheni upuuzi

 
Mie sijafika Tanzania tokea kuanza changamoto hii ya corona. Lakini tuache masihara hii changamoto imeondosha watu wala tusiichukulie kirahisi. Tundu anaweza kuwa anaifahamu vizuri maana alipotoka yeye Belgium kwa matibabu imepiga vibaya vibaya.
Sasa modal ya Belgiumu ni tofauti na hapa ndugu yangu, ndo hatari ya kuiga intervention ambazo hazina realistic na baadhi ya settings
 
Tundu Lisu akiwa kwenye jukwaa la Sera za CHADEMA apambanue na kupambana na sera za CCM, akipambana na Magufuli, hatamkwepesha ikulu, kwa kuwa CHADEMA isipoiweza CCM, ndio hivo Tena!
Sasa wafikiri sasa hv kuna chama pale, wakati kila kitu ni mtu mmoja, Ukitaka kuuwa nyoka haupigi mkiani..
 
Kuna watu wanaona huyu jamaa anaweza debate.
 
Jamaa huyu atapata shida sana kwenye kampeni
 
Huna hoja wewe! Umeng'ang'ania ya Lissu utadhani ni mtalaka wako?
Kwamba kakuacha huku unampenda!

Exactly. Lissu this, Lissu that. Mpaka inaboa. Talk about your candidate

Mnaboa. Lissu hili, Lissu lile. Chuki binafsi au kuishiwa hoja? Mgombea wenu anaitwa John Pombe Magufuli. Ndiye alikuwa madarakani katika miaka mitano hii. Na anagombea kuendelea kuwa madarakani. Mna mengi ya kuongelea kuhusu yeye ikiwa ni pamoja na mapambio na vigelegele kila dakika lakini mnawashwa, mmeng'ang'ania "Lissu, Lissu." Acheni utoto huu!
 
Katika kuzungumza huko naye anaonyesha ubovu wake kama mwanasiasa.

Yeye ni mwanaharakati tu.

Siasa haziwezi.
Usipate shida wala nini ni kwamba sisi wananchi twajielewa kuliko jana na juzi so usikaze shingo kujifanya unatutafunia chakula kama vile sisia ni vibogoyo hatuwezi kutafuna wenyewe tulia tunawaangalia tu mnavyotuchukulia sie maboya ila tunajua kupembua mchele na pumba
 
Kama tunaboa, we umekuja kufanya nini sasa hapa?
 
Lisu is out time, miaka mitatu sijui aliakuwa anaplan nini, umekaa nje ya game miaka mitatu na amekosa kabisa mapungufu ya serikali ya magufuli, sasa kaamua kumshambulia magufuli personal na kusimanga miundombinu, hospital, umeme, watu wamesurvive corona bila kuelewa kuwa wananchi wanavyo appreciate yeye anakuja kuponda wakati yeye mwenyewe yupo humohumo.
 
Wengine sijui korona inashindwa vipi kuwapata?
 
Tatizo kubwa ni kuwa wamemteua mtu ambae amekaa nje ya Tanzania kwa miaka 3 na kafika tu na kuanza kuzunguka hilo ni kosa kubwa alitakuwa akae tz japo kwa miezi 2 ili awe ta touch na tz nje ya hapo ndio hayo unayo yaona
 
Kwani jiwe kapambana au kaifumbia macho Corona ifanye yake?

Tangu lini kuacha kuukimbia ugonjwa kukawa ni kupambana nao?

Hoja nyepesi nyepesi kama hizi ni "tantamount to mocking the victims." Hii inaitwa kuwacheza shere wahanga kwa sababu tu hayajamkuta mtu.

Very selfish individuals!

Hoja kama hizi labda kwa ngedere ngedere tu si kwa binadamu.
 
Ushasema alikuwa na sukari ,kwaiyo mnataka mgongewe ngoma kujikinga wenyewe kila jambo mnataka mabwana zenu waongee....



Magu kawashika pabaya sana maana hoja hamn.
 
Wewe beba box uko marekani. Huna msaada wowote kw maisha ya dhiki alioishi mtanzania kwa kpindi cha miaka 5.hujui chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…