Tundu Lissu anaweza kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha ugombea, inahitajika huruma ya mwenyekiti kumnusuru

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20241228_190141.jpg

Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.

Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.

Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.

Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
 
Kati ya wewe chawa wa Diamond na Lissu aliye mwanasheria nguli nani anajua hayo mambo zaidi?

Wewe si ni kinyago tu mbele ya mambo ya sheria?

Watu wameshachukua mpaka fomu za ugombea unadhani kampeni bado hazijaruhusiwa?

Halafu hata mwenyekiti naye si alishafanya press kadhaa kabla hata ya kuchukua fomu? Au na yeye atajikata!

Halafu ulichosahau ni Lisu anafanyaga press kama Deputy Chair, empty set kabisa chawa!!!
 
View attachment 3189926

Si huwa mnasema ni wakili msomi!
 
  • Thanks
Reactions: G4N

Lissu ni kirusi kibaya sana Chadema.
 
Muondoeni fasta wachagga mnaogopa nini?
 
Ameanza kampeni wapi mkuu.
 
Kati ya wewe chawa wa Diamond na Lissu aliye mwanasheria nguli nani anajua hayo mambo zaidi?

Wewe si ni kinyago tu mbele ya mambo ya sheria?

Watu wameshachukua mpaka fomu za ugombea unadhani kampeni bado hazijaruhusiwa?

Halafu hata mwenyekiti naye si alishafanya press kadhaa kabla hata ya kuchukua fomu? Au na yeye atajikata!

Halafu ulichosahau ni Lisu anafanyaga press kama Deputy Chair, empty set kabisa chawa!!!
Kwaio kuwa kwake mwansheria ndo hawez kuvunja sheria? Akili za kichawa hizo kaa chini udadavue vizuri. Kingine kufanya press haimanishi kampeni hilo uelewe na ndo maan wenje kafanya press lakini hajaambiwa ni kampeni. Swala jingine acha upuuzi mda wa kampeni bado haujaanza ukichukua form haimaanishi mda wa kampeni umeanza, mda wa kampeni utatangazwa kisheria na katibu mkuu na sio vinginevyo. Ukiwa na akili timamu bila uchawa jijibu rohoni yale aliongea lissu sio maneno ya kampeni yale? Nb; Usiendeshwe na mapenzi na uchawa base kweny facts hapo labla busara itumike tu ila kiukweli Lissu alifanya kampeni japo mimi sitopenda atolewe kweny kinyang'anio ili uchaguz uwe motomoto.
 
View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.

Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.

Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.

Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
Wasafi wa nguo na siasa wapi na wapi?
 
Kati ya wewe chawa wa Diamond na Lissu aliye mwanasheria nguli nani anajua hayo mambo zaidi?

Wewe si ni kinyago tu mbele ya mambo ya sheria?

Watu wameshachukua mpaka fomu za ugombea unadhani kampeni bado hazijaruhusiwa?

Halafu hata mwenyekiti naye si alishafanya press kadhaa kabla hata ya kuchukua fomu? Au na yeye atajikata!

Halafu ulichosahau ni Lisu anafanyaga press kama Deputy Chair, empty set kabisa chawa!!!
Lissu amekuwa kiazi hakuna cha uwakili wala nini. Amekuwa mtu wa ajabu sana
 
View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.

Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.

Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.

Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
..yaleyale ya ccm, mbowe mbona kaanza kitambo tu? Machawa wake wanatuhumiwa kuanza kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu, huoni?
 
View attachment 3189926
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.

Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.

Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa jina.

Na sisi wapenda demokrasia tunasema aondolewe tumemchoka na visa vyake.
Maccm mnamhofia sana Lissu. Kila dakika unapandisha uzi kumkandia hujui ni sawa na kumpiga chura teke.
 
JF kwa sasa ina wapumbavu wengi sana, yaani Lissu aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria wa Chama sijue hayo uje ujue wewe, Mkitulia na kusoma kama wengine kuna tatizo?
Mimi naona wewe ndiye mpumbavu kwa muktadha huu. Unataka kutuambia kuwa Ukiwa Shekhe, Padre, Askofu au mchungaji basi wewe hutendi dhambi? Muwe mnatumia akili kujibu hoja na si mihemuko.
 
Back
Top Bottom