Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Kama amezitoa kwa marafiki zake kwa nini asiseme? Hujui yule ni mtumishi wetu hivyo anawajibika kusema kwetu vyanzo vya fedha na mapato yake?Kwani halipwi mshahara,hana posho zake
Hana ndugu marafiki wa ndani na nje wa kumchangia?
Mbona Lisu tu mwenyewe kachangisha mamilioni kutoka kwa marafiki wa ndani na nje na hadi CCM wakamchangia hela.Sembuse Raisi akiomba ndugu na marafiki wa ndani na nje wamchangie kwenye kitu anataka kuchangia.arashindwa?
Wanaabudi Mungu wakoHuyo Mungu ni wako peke yako tu sio wa wapiga kura wote Tanzania? Hao wapiga kura wote Tanzania wanaabudu huyo mungu wako ?
Mwambie Lisu aanze aanike hadharani majina ya wote waliochangia matibabu yake na gari na wanaomgharimia safari zake na maisha na ada za watoto wake na kiasi walichotoa na matumizi yake .Aviweke hadharani vyombo vya habariKama amezitoa kwa marafiki zake kwa nini asiseme?
Mungu angetusaidia mapolisi yakapata akili, yakaamka usingizini tungepiga hatua kubwa sana kama Taifa. Mapolisi na yale mavyombo mengine ya amri, amri!Ukisoma comment zao utaelewa kabisa kuwa CCM ni watu hatari ambao hawastahili kuendelea kuiongoza hii nchi maana wameshaifikisha shimoni.
Wamekalia ujinga na vitisho tu.
and the days are numbered!Udhalimu wenu umeshawalevya sana kiasi cha kuwadharau Watanzania. Ipo siku mtalia sana na kujutia haya maneno yenu.
Naunga mkono hojaKwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.
Pili kuna kundi moja nchi hii naomba msilisahau kwenye hizo harakati zenu. Kundi hili huwa linatumiwa vibaya sana na CCM alafu linaachwaga kama Watoto yatima baada ya kutimiza azma za CCM. Kundi hili ni watumishi wa umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Hili ndo kundi la mwisho ambalo likipata akili na kufunuliwa basi udhalimu wa CCM ndo utafikia tamati.
Naomba andaa hotuba kuwaelezea vizuri na kuwaelimisha vizuri juu ya nafasi yao kwenye mustakabali wa hii nchi.
Waeleze kwa namna gani wao wana nafasi ya juu kuliko hawa wanasiasa wa CCM wanaowatumia tu kama madaraja ya kujinufaisha binafsi.
Waeleze kuwa CCM wanawatumia tu kama madaraja huku wakiwaacha kwa mishahara midogo isiyokidhi mahitaji yao na familia zao.
Waeleze namna CCM wanavyowatumia tu huku wakiwaacha na bima za afya zisizoweza kuwahudumia kwenye magonjwa makubwa.
Waeleze namna CCM wanavyowatumia huku wakiwaacha na pensheni za aibu zisizowawezesha kuendesha maisha vizuri baada ya kustaafu. Hii ni kwa wote! Polisi, Wanajeshi, Usalama wa Taifa na wengineo wote.
Waelezee wanavyotumiwa na kikundi cha wachache ndani ya CCM kupitisha mapensheni makubwa kwa wanasiasa na wenza wao huku wao wakiachwa na maisha duni baada ya kumaliza utumishi.
Waeleze kuwa hakuna chochote kibaya kitawapata endapo wakiamua kusimamia haki na kuitosa CCM.
Waambie CCM sio Mungu na bila CCM wataishi maisha mazuri wao na vizazi vyao sio kama wanavyoishi sasaivi huku CCM wakijinufaisha binafsi.
Mwisho waambie namna utakavyoheshimu wataalam na utaalam wao na kuondoa mfumo uliopo wa Wanasiasa kuwa ndo final say hadi kwenye masuala ya msingi ya kitaalam.

Kabisa hakifai kabisaCCM ni chama cha kishetani haswa
Ni cha hovyo kabisaKabisa hakifai kabisa
na inatakiwa kuwa hotuba ya makini sana. akimaliza hiyo aandae kwa ajili ya machinga na mama ntilie. siku ingine aandae kwa ajili ya bodaboda na bajaji. na ikiwezekana awatembelee maeneo yao ya kazi, chukua points zote.Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.
Pili kuna kundi moja nchi hii naomba msilisahau kwenye hizo harakati zenu. Kundi hili huwa linatumiwa vibaya sana na CCM alafu linaachwaga kama Watoto yatima baada ya kutimiza azma za CCM. Kundi hili ni watumishi wa umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Hili ndo kundi la mwisho ambalo likipata akili na kufunuliwa basi udhalimu wa CCM ndo utafikia tamati.
Naomba andaa hotuba kuwaelezea vizuri na kuwaelimisha vizuri juu ya nafasi yao kwenye mustakabali wa hii nchi.
Waeleze kwa namna gani wao wana nafasi ya juu kuliko hawa wanasiasa wa CCM wanaowatumia tu kama madaraja ya kujinufaisha binafsi.
Waeleze kuwa CCM wanawatumia tu kama madaraja huku wakiwaacha kwa mishahara midogo isiyokidhi mahitaji yao na familia zao.
Waeleze namna CCM wanavyowatumia tu huku wakiwaacha na bima za afya zisizoweza kuwahudumia kwenye magonjwa makubwa.
Waeleze namna CCM wanavyowatumia huku wakiwaacha na pensheni za aibu zisizowawezesha kuendesha maisha vizuri baada ya kustaafu. Hii ni kwa wote! Polisi, Wanajeshi, Usalama wa Taifa na wengineo wote.
Waelezee wanavyotumiwa na kikundi cha wachache ndani ya CCM kupitisha mapensheni makubwa kwa wanasiasa na wenza wao huku wao wakiachwa na maisha duni baada ya kumaliza utumishi.
Waeleze kuwa hakuna chochote kibaya kitawapata endapo wakiamua kusimamia haki na kuitosa CCM.
Waambie CCM sio Mungu na bila CCM wataishi maisha mazuri wao na vizazi vyao sio kama wanavyoishi sasaivi huku CCM wakijinufaisha binafsi.
Mwisho waambie namna utakavyoheshimu wataalam na utaalam wao na kuondoa mfumo uliopo wa Wanasiasa kuwa ndo final say hadi kwenye masuala ya msingi ya kitaalam.
Hayo makundi mkono mtupu haulambwi yote yamewexeshwa na serikali ya CCM mikopo kibaona inatakiwa kuwa hotuba ya makini sana. akimaliza hiyo aandae kwa ajili ya machinga na mama ntilie. siku ingine aandae kwa ajili ya bodaboda na bajaji. na ikiwezekana awatembelee maeneo yao ya kazi, chukua points zote.
kazi ndogo sana, anatengeneza clip tu anarusha hewani, wao wanasambaziana nchi nzima, akiongea hoja zinazowagusa ni kweli watachukua pesa ccm ila kura watampa yeye. gusa maeneo yale wanaonewa na kusumbuliwa na namna ya kuyatatua na nini serikali imeshindwa kuwasaidia. ni sawa na unatunza mwanamke afu anakuja kuolewa na mwengine, amekula pesa ila hajaona kama wewe ni future husband au wa maana kuwa baba wa watoto wake.Hayo makundi mkono mtupu haulambwi yote yamewexeshwa na serikali ya CCM mikopo kibao
Akienda na maneno matupu hapati mtu
Hawahitaji hotuba gao CCM tulishafunga kazi
Uchaguzi serikali za mitaa walishindwa ambao ni.mdogo una wapiga kura wachache walitumia mbinu hiyo na wakashindwa sembuse uchaguzi mkuukazi ndogo sana, anatengeneza clip tu anarusha hewani, wao wanasambaziana nchi nzima, akiongea hoja zinazowagusa ni kweli watachukua pesa ccm ila kura watampa yeye. gusa maeneo yale wanaonewa na kusumbuliwa na namna ya kuyatatua na nini serikali imeshindwa kuwasaidia. ni sawa na unatunza mwanamke afu anakuja kuolewa na mwengine, amekula pesa ila hajaona kama wewe ni future husband au wa maana kuwa baba wa watoto wake.
Kila siku ni hotuba tu anachoshaKwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.
Pili kuna kundi moja nchi hii naomba msilisahau kwenye hizo harakati zenu. Kundi hili huwa linatumiwa vibaya sana na CCM alafu linaachwaga kama Watoto yatima baada ya kutimiza azma za CCM. Kundi hili ni watumishi wa umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Hili ndo kundi la mwisho ambalo likipata akili na kufunuliwa basi udhalimu wa CCM ndo utafikia tamati.
Naomba andaa hotuba kuwaelezea vizuri na kuwaelimisha vizuri juu ya nafasi yao kwenye mustakabali wa hii nchi.
Waeleze kwa namna gani wao wana nafasi ya juu kuliko hawa wanasiasa wa CCM wanaowatumia tu kama madaraja ya kujinufaisha binafsi.
Waeleze kuwa CCM wanawatumia tu kama madaraja huku wakiwaacha kwa mishahara midogo isiyokidhi mahitaji yao na familia zao.
Waeleze namna CCM wanavyowatumia tu huku wakiwaacha na bima za afya zisizoweza kuwahudumia kwenye magonjwa makubwa.
Waeleze namna CCM wanavyowatumia huku wakiwaacha na pensheni za aibu zisizowawezesha kuendesha maisha vizuri baada ya kustaafu. Hii ni kwa wote! Polisi, Wanajeshi, Usalama wa Taifa na wengineo wote.
Waelezee wanavyotumiwa na kikundi cha wachache ndani ya CCM kupitisha mapensheni makubwa kwa wanasiasa na wenza wao huku wao wakiachwa na maisha duni baada ya kumaliza utumishi.
Waeleze kuwa hakuna chochote kibaya kitawapata endapo wakiamua kusimamia haki na kuitosa CCM.
Waambie CCM sio Mungu na bila CCM wataishi maisha mazuri wao na vizazi vyao sio kama wanavyoishi sasaivi huku CCM wakijinufaisha binafsi.
Mwisho waambie namna utakavyoheshimu wataalam na utaalam wao na kuondoa mfumo uliopo wa Wanasiasa kuwa ndo final say hadi kwenye masuala ya msingi ya kitaalam.
Sasa kama huna akili kwa nini asikuchoshe?K
Kila siku ni hotuba tu anachosha
mwenyekiti alikuwa mbowe. saaivi mwenyekiti ni lisu.Uchaguzi serikali za mitaa walishindwa ambao ni.mdogo una wapiga kura wachache walitumia mbinu hiyo na wakashindwa sembuse uchaguzi mkuu
Lakini si vibaya warudhiane tu Clip hela iingie nyingi kampuni za simu na TRA ipate pesa nyingi kupitia manunuzi ya vocha pesa za mbelgiji bahili ziingie kwenye mzunguko kupitia manunuzi ya vocha
Chadema ina wanachama laki 4 kila mmoja akitumia walau voucher ya elfu moja kwa siku jumla milioni 400.kwa siku inaingia kampuni za simu sio mbaya
Siku tatu inaku bilioni moja na laki mbili sio mbaya
Cheo cha Mwenyekiti ni kazi sio jinamwenyekiti alikuwa mbowe. saaivi mwenyekiti ni lisu.
Unatia huruma sanaMwambie Lisu aanze aanike hadharani majina ya wote waliochangia matibabu yake na gari na wanaomgharimia safari zake na maisha na ada za watoto wake na kiasi walichotoa na matumizi yake .Aviweke hadharani vyombo vya habari
Aanike hadharani sababu aliomba hadharani
Kwa ulivyo kilaza kwa nini asikuchoshe? Mie huku Lissu akiongea sitamani hata amalize.K
Kila siku ni hotuba tu anachosha
Propaganda mbovu kisa hutaki utoki madarakani pale unaposhindwa.Watanzania hatutaki vita, acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake ya kulinda amani.
Chadema kama mnataka kuwa M23 hii nchi haiwafai nendeni Zaire.