Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #41
Kama amezitoa kwa marafiki zake kwa nini asiseme? Hujui yule ni mtumishi wetu hivyo anawajibika kusema kwetu vyanzo vya fedha na mapato yake?Kwani halipwi mshahara,hana posho zake
Hana ndugu marafiki wa ndani na nje wa kumchangia?
Mbona Lisu tu mwenyewe kachangisha mamilioni kutoka kwa marafiki wa ndani na nje na hadi CCM wakamchangia hela.Sembuse Raisi akiomba ndugu na marafiki wa ndani na nje wamchangie kwenye kitu anataka kuchangia.arashindwa?
Endeleeni tu kutumia kodi zetu vibaya. Tunaweka yote kwenye kumbukumbu. Ipo siku.
Ushauri tu. Rekebisheni magereza wakati huu mkiwa madarakani. Ili mkitoka mkakae sehemu nzuri.