Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Kwani halipwi mshahara,hana posho zake
Hana ndugu marafiki wa ndani na nje wa kumchangia?

Mbona Lisu tu mwenyewe kachangisha mamilioni kutoka kwa marafiki wa ndani na nje na hadi CCM wakamchangia hela.Sembuse Raisi akiomba ndugu na marafiki wa ndani na nje wamchangie kwenye kitu anataka kuchangia.arashindwa?
Kama amezitoa kwa marafiki zake kwa nini asiseme? Hujui yule ni mtumishi wetu hivyo anawajibika kusema kwetu vyanzo vya fedha na mapato yake?

Endeleeni tu kutumia kodi zetu vibaya. Tunaweka yote kwenye kumbukumbu. Ipo siku.

Ushauri tu. Rekebisheni magereza wakati huu mkiwa madarakani. Ili mkitoka mkakae sehemu nzuri.
 
Kama amezitoa kwa marafiki zake kwa nini asiseme?
Mwambie Lisu aanze aanike hadharani majina ya wote waliochangia matibabu yake na gari na wanaomgharimia safari zake na maisha na ada za watoto wake na kiasi walichotoa na matumizi yake .Aviweke hadharani vyombo vya habari

Aanike hadharani sababu aliomba hadharani
 
Ukisoma comment zao utaelewa kabisa kuwa CCM ni watu hatari ambao hawastahili kuendelea kuiongoza hii nchi maana wameshaifikisha shimoni.

Wamekalia ujinga na vitisho tu.
Mungu angetusaidia mapolisi yakapata akili, yakaamka usingizini tungepiga hatua kubwa sana kama Taifa. Mapolisi na yale mavyombo mengine ya amri, amri!
 
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.

Pili kuna kundi moja nchi hii naomba msilisahau kwenye hizo harakati zenu. Kundi hili huwa linatumiwa vibaya sana na CCM alafu linaachwaga kama Watoto yatima baada ya kutimiza azma za CCM. Kundi hili ni watumishi wa umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Hili ndo kundi la mwisho ambalo likipata akili na kufunuliwa basi udhalimu wa CCM ndo utafikia tamati.

Naomba andaa hotuba kuwaelezea vizuri na kuwaelimisha vizuri juu ya nafasi yao kwenye mustakabali wa hii nchi.

Waeleze kwa namna gani wao wana nafasi ya juu kuliko hawa wanasiasa wa CCM wanaowatumia tu kama madaraja ya kujinufaisha binafsi.

Waeleze kuwa CCM wanawatumia tu kama madaraja huku wakiwaacha kwa mishahara midogo isiyokidhi mahitaji yao na familia zao.

Waeleze namna CCM wanavyowatumia tu huku wakiwaacha na bima za afya zisizoweza kuwahudumia kwenye magonjwa makubwa.

Waeleze namna CCM wanavyowatumia huku wakiwaacha na pensheni za aibu zisizowawezesha kuendesha maisha vizuri baada ya kustaafu. Hii ni kwa wote! Polisi, Wanajeshi, Usalama wa Taifa na wengineo wote.

Waelezee wanavyotumiwa na kikundi cha wachache ndani ya CCM kupitisha mapensheni makubwa kwa wanasiasa na wenza wao huku wao wakiachwa na maisha duni baada ya kumaliza utumishi.

Waeleze kuwa hakuna chochote kibaya kitawapata endapo wakiamua kusimamia haki na kuitosa CCM.

Waambie CCM sio Mungu na bila CCM wataishi maisha mazuri wao na vizazi vyao sio kama wanavyoishi sasaivi huku CCM wakijinufaisha binafsi.

Mwisho waambie namna utakavyoheshimu wataalam na utaalam wao na kuondoa mfumo uliopo wa Wanasiasa kuwa ndo final say hadi kwenye masuala ya msingi ya kitaalam.
Naunga mkono hoja

na inatakiwa kuwa hotuba ya makini sana. akimaliza hiyo aandae kwa ajili ya machinga na mama ntilie. siku ingine aandae kwa ajili ya bodaboda na bajaji. na ikiwezekana awatembelee maeneo yao ya kazi, chukua points zote.
 
Hayo makundi mkono mtupu haulambwi yote yamewexeshwa na serikali ya CCM mikopo kibao

Akienda na maneno matupu hapati mtu

Hawahitaji hotuba gao CCM tulishafunga kazi
 
kazi ndogo sana, anatengeneza clip tu anarusha hewani, wao wanasambaziana nchi nzima, akiongea hoja zinazowagusa ni kweli watachukua pesa ccm ila kura watampa yeye. gusa maeneo yale wanaonewa na kusumbuliwa na namna ya kuyatatua na nini serikali imeshindwa kuwasaidia. ni sawa na unatunza mwanamke afu anakuja kuolewa na mwengine, amekula pesa ila hajaona kama wewe ni future husband au wa maana kuwa baba wa watoto wake.
 
Uchaguzi serikali za mitaa walishindwa ambao ni.mdogo una wapiga kura wachache walitumia mbinu hiyo na wakashindwa sembuse uchaguzi mkuu

Lakini si vibaya warudhiane tu Clip hela iingie nyingi kampuni za simu na TRA ipate pesa nyingi kupitia manunuzi ya vocha pesa za mbelgiji bahili ziingie kwenye mzunguko kupitia manunuzi ya vocha

Chadema ina wanachama laki 4 kila mmoja akitumia walau voucher ya elfu moja kwa siku jumla milioni 400.kwa siku inaingia kampuni za simu sio mbaya

Siku tatu inaku bilioni moja na laki mbili sio mbaya
 
K
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.

Pili kuna kundi moja nchi hii naomba msilisahau kwenye hizo harakati zenu. Kundi hili huwa linatumiwa vibaya sana na CCM alafu linaachwaga kama Watoto yatima baada ya kutimiza azma za CCM. Kundi hili ni watumishi wa umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Hili ndo kundi la mwisho ambalo likipata akili na kufunuliwa basi udhalimu wa CCM ndo utafikia tamati.

Naomba andaa hotuba kuwaelezea vizuri na kuwaelimisha vizuri juu ya nafasi yao kwenye mustakabali wa hii nchi.

Waeleze kwa namna gani wao wana nafasi ya juu kuliko hawa wanasiasa wa CCM wanaowatumia tu kama madaraja ya kujinufaisha binafsi.

Waeleze kuwa CCM wanawatumia tu kama madaraja huku wakiwaacha kwa mishahara midogo isiyokidhi mahitaji yao na familia zao.

Waeleze namna CCM wanavyowatumia tu huku wakiwaacha na bima za afya zisizoweza kuwahudumia kwenye magonjwa makubwa.

Waeleze namna CCM wanavyowatumia huku wakiwaacha na pensheni za aibu zisizowawezesha kuendesha maisha vizuri baada ya kustaafu. Hii ni kwa wote! Polisi, Wanajeshi, Usalama wa Taifa na wengineo wote.

Waelezee wanavyotumiwa na kikundi cha wachache ndani ya CCM kupitisha mapensheni makubwa kwa wanasiasa na wenza wao huku wao wakiachwa na maisha duni baada ya kumaliza utumishi.

Waeleze kuwa hakuna chochote kibaya kitawapata endapo wakiamua kusimamia haki na kuitosa CCM.

Waambie CCM sio Mungu na bila CCM wataishi maisha mazuri wao na vizazi vyao sio kama wanavyoishi sasaivi huku CCM wakijinufaisha binafsi.

Mwisho waambie namna utakavyoheshimu wataalam na utaalam wao na kuondoa mfumo uliopo wa Wanasiasa kuwa ndo final say hadi kwenye masuala ya msingi ya kitaalam.
Kila siku ni hotuba tu anachosha
 
Uchaguzi serikali za mitaa walishindwa ambao ni.mdogo una wapiga kura wachache walitumia mbinu hiyo na wakashindwa sembuse uchaguzi mkuu

Lakini si vibaya warudhiane tu Clip hela iingie nyingi kampuni za simu na TRA ipate pesa nyingi kupitia manunuzi ya vocha pesa za mbelgiji bahili ziingie kwenye mzunguko kupitia manunuzi ya vocha

Chadema ina wanachama laki 4 kila mmoja akitumia walau voucher ya elfu moja kwa siku jumla milioni 400.kwa siku inaingia kampuni za simu sio mbaya

Siku tatu inaku bilioni moja na laki mbili sio mbaya
mwenyekiti alikuwa mbowe. saaivi mwenyekiti ni lisu.
 
Cheo cha Mwenyekiti ni kazi sio jina

Mwanafunzi bora hatambuliwi kwa kuvaa uniform za shule na madaftari mzigo begani hutambuliwa kwa marks apatazo darasani

Mkulima hodari pia hatambuliwi kwa mbwembwe za kubeba majembe mapanga na mashoka begani hutambuliwa kwa mazao

Pia nwenyekiti wa Chadema hatambuliwi tu kwa jina na kuvaa magwanda ya kamanda wa Chadema yaliyopigwa pasi barabara na safi na kuongea kingereza na kibelgiji kilichonyooka anatambuliwa kwa kazi

Cheo sio cheo ni kazi ni jukumu
Lisu zaidi ya ku ji parade kujitambulisha mimi ndio mwenyekiti ana nini cha maana alichofanya tangible cha kuonekana

Mbowe kitu tangible cha kuonekana alichangia milioni 250 mikutano ya kamati kuu,halmashauri kuu na mkutano mkuu ufanyike

Lisu kipi tangible kafanya zaidi ya kuruka ruka tu kama bisi kwenye kikaango kufoka foka kuwa mjue mimi sasa ndie mwenyekiti wa Chadema sio Mbowe
 
Mwambie Lisu aanze aanike hadharani majina ya wote waliochangia matibabu yake na gari na wanaomgharimia safari zake na maisha na ada za watoto wake na kiasi walichotoa na matumizi yake .Aviweke hadharani vyombo vya habari

Aanike hadharani sababu aliomba hadharani
Unatia huruma sana
 
Watanzania hatutaki vita, acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake ya kulinda amani.
Chadema kama mnataka kuwa M23 hii nchi haiwafai nendeni Zaire.
Propaganda mbovu kisa hutaki utoki madarakani pale unaposhindwa.
 
yupo ndugu yangu anateseka uhamisho mwaka huu. Utumishi ukipiga simu wanamwambia aendelee kusubiri mwaka na kitu sasa. asiio e hio hotuba
 
Back
Top Bottom