Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hukumwona mbunge wenu kala kiapo?Lile jengo la bunge lipigwe chapa ya kijani kabisa, na vilaka vya CCM tujue kabisa.
Kile kikundi cha wahuni wa CCM kijulikane mapema.
Kama bila madahalo Mr Mzungu kashindwa vibaya sana vile, Dkt. angekuwa na nafasi kufanya mdahalo ingekuwaje?Nani kati yao alikimbia mdahalo?
Alimaanisha barabarani kuelekea BelgiumMbona anaondoka bila kuingiza watu barabarani?
LolAcha kuingiza watu barabarani ila hata kuita mkutano wa hadhara kuwaaga makamanda ameshindwa
Kasepa na mkewe.Na yeye kaondoka na familia? [emoji16]
Hawanunuliki kwa Dola & hawahadaiki kwa English (eg. "nothing more, nothing less") & hawababaiki kwa vitisho vya vikwazo vya AmsterdamMission impossible!
It's a hard learned lesson, Watanzania "hawasomeki"
Ulikuja kama ulivyo na unaondoka kama ulivyo!
Kwa walivyomkaushia kwenye maandamano atakuwa anawaona ma snitch sahizi. Hii pia ilimtokea Mange Kimambi, raia walivyoyapotezea maandamano yake alianza kuwakandia makamandaLol
Kwanini sasa?
Waende magu bado Yuko sanaaaAfadhari kaachiwa aondoke. Hata Lema, Nyarandu na mtu yeyote yule anayetaka kwenda kuomba hifadhi ng’ambo aachwe aondoke tu. Hakuna sababu ya kumzuia mtu.
Vitu vingine Jiwe na genge lake wanavikuza na kuwapa watu nafasi ya kuspeculate mambo
Mabenki na hazina vingekuwa chini ya hao jamaaImagine taifa lingekuwa mikononi mwa huyu puppet ingekuwaje?
Ameamua kurudi kwao Brussels!
[emoji38]Kwa walivomkaushia kwenye maandamano atakuwa anawaona ma snitch saizi. Hii pia ilimtokea Mange Kimambi, raia walivoyapotezea maandamano yake alianza kuwakandia makamanda
HahahaaaaaFamilia aliicha huko huku alikuja aingize wajinga barabarani wakishavunjwa miguu na wengine kuuawa akimbilie ubalozini halafu asepe kama hivi
Esp. keyboardBora amefanikiwa kuokoa roho yake.
Mapambano yanaendelea from whichever angle.
Afadhali kilio cha kupigo kwa baba kuliko cheko kwa beberu na mnyonyajiMipopompo Tanzania ndio inamshabikia Rais dikteta mwongo anayelewa madaraka kujihisi kamungu flani . Kanakopenda sifa na ushamba hakaogopi kuua binadamu unapopishana naye mawazo.kamenyamazisha wastaafu kinafiki. Kinatumia pesa zetu nyingi kufanya dhima za kujitangaza sifa sifa. Ebu muwe chembe ya kuzinduka. Wamemalizwa kidhuluma waliokuwa wakipaza sauti kwa ajili yetu mnafuraia . Mtalia na kusaga meno
Wacha akwendeKasepq na mkewe.
Familia yake iko safe kabisaa.
Ibalozini ilikuwa gia ya kuondokea.
Huwa hawajipangagi hao, wanangoja last minute ili wavuruge mipango ya wengine[emoji38]
Jamani,ameamua aondoke?
Sasa si angebaki ili ajipange vizuri??
Alikuwa kama vile haamini-amini, ndiyo akawa pushed kwa nguvuIt wasn't easy like that, alikuwa escorted na maafisa ubalozi wa ujerumani na marekani.
Akitukana na huko nako ndiyo basi tenaSawa Mku sasa utarudi lini au 2025? Best wishes uko uendako Ubelgiji.
Wazungu wanawatuma kutengenza contents for crisis....Huyu akiondoka mtaona na hawa wengine wanaanza kujirudisha mdogo mdogo, maana walikuwa wanafuata mkumbo tu bila kujua kama M-belgiji anawaingiza mlango wa kutokea.