Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu


Tukio hili limedhihirisha kwamba Tanzania siyo nchi huru. Inawezekana vipi haya yatokee wakati nchi hii ina serikali na vyombo vya dola?

Mwalimu Nyerere angekuwa ndio yuko madarakani asingeruhusu uhuru wetu kuingiliwa kiasi hiki. Miaka ya 60 Tanzania tulishawahi kufukuza balozi wa Marekani hapa nchini na tuliwahi kuvunja mahusiano ya kibalozi na Ujerumani, pale walipojaribu kuingilia na ku-dictate mambo yetu ya ndani.

Kilichotokea ni aibu na fedheha kwa nchi yetu.
 
Hahah! Unajipangaje kwa watu wamekukataa? Labda atarudi tena August 2025.
Inatia hasira majizi kuhalalisha kuwa uliopita ulikuwa ni uchaguzi. Kampuni ya Afrika Kusini iliprint ballot paper halali. Jamana wakaprint za wizi, mnadhani hatujui. Mimi nipo Jamana Printers
 
"A lutta continua...." by The late Samora Moises Machel(1st Presida Republica du Mocambique).
 
Uzuri wa hili saga linakula kote kote, kwanza CCM kwa wizi mlishindwa kushangilia ushindi, pili bei ya bidhaa haina vyama inapiga kote kote.
 
Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.

Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Hivi wewe mkuu utamzuia mtu mzima kwenda zake angali hakuombi hata nauli ya safari?
 
Kaongo aka kazee kakinyaturu ulimuona wapi mzalendo akienda kuipambania nchi yake kwenye sayari ya Mars?

Mbona Gadaffi aliacha tone lake la mwisho pale Tripoli?

Kaoga sana aka kadingii

Watanzania tuupime ukweli, hata kikinuka dakika yeyote wenzio wanakimbia kwa mabeberu wao wewe na bibi yako mtaangukiwa na mabomu ya kichwa na kukimbia kama msafara wa minyumbu kule mbugani
 
Inatia haosra majizi kuhalalisha kuwa uliopita ulikuwa ni uchanguzi. Kampuni ya afrika kusini ili print ballot paper halali. jamana wakaprint za wizi. mnadhani hatujui. mimi nipo Jamana Printers
Kwa nini usingeyasema haya kabla ya siku ya uchaguzi? Huu ni unafiki wa standard gauge, aliyetoa tenda South Afrika ndio alitoa tenda jamana.

Kama ni kuibiwa kura , issue simple Tu mawakala wenu waliofanikiwa kushuhudia matokeo kwenye vituo wakasaini na wakapewa copy ya nakala tunawataka watupe hayo matokeo tujumlishe kama sample tuone kama Lissu alishinda.

Lissu kwenye kura kashindwa hata yeye anajua , angekuwa na uhakika wa ushindi Lissu Kwa ukorofi wake asingekubali kugaveup easily namna hii, amejua kapigwa na kaona no time to waste.
 
Povu
Watanzania 2/3 hawajashiriki kupiga kura kwenye huo ushenzi uitwao uchaguzi, sijui ni watanzania gani unawaongelea. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
 
Aisee kakimbia mapema hivi? Dahhhhhhh
Siyo mapema, ndiyo ilikuwa ratiba yake; hakununua ticket hiyo leo bali alikuja nayo kuwa anaenda kumvuruga Magufuli wakati wa uchaguzi, na mara ukiisha anajiondokea anakwenda kusubiri uchaguzi mwingine ndipo arudi tena, ingawa wakati huo Magufuli hatakuwa mgombea wa kuvuruga tena.
 
Na yeye kaondoka na familia? [emoji16]
Katika hatua nyingine, mke wa Lissu, Alicia Magabe, ameondoka Tanzania kuelekea nchini Ubelgiji. Magabe aliondoka nchini, mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mke alimtanguliza. Ila yeye akaamua kukimbilia ubalozi
 
Uzoefu unaonesha kuwa hata Oscar Kambona na Abdurahman Babu waliporejea nchini kutoka uhamishoni waligombea uongozi wa nchi na walipofeli hawakuondoka kurudi Uingereza.

Ndipo sasa najiuliza huyu Lissu ataendelea na utaratibu wake huu mwaka 2025 wa kuja kutafuta madaraka na akiyakosa anaondoka?

CHADEMA, majibu Tafadhali.

NEC, majawabu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…