Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.

Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
 
Amekuacha? Ndiyo ujue wanasiasa wa upinzania siyo watu wa kuwaamini. Amekuacha kwenye mataa, hivi fikiria ungekuwa umeandamana na kuvunjwa mguu, yeye huyoooooooo anaenda kula kuku kwa mrija
Sema roho yako inakuuma.
 
Back
Top Bottom