Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Watanzania wameamua kumkataa Robert Amsterdam kwa kivuli cha Tundu.

Rais wa sasa wa DRC alikuwa nje mpaka aliporudi kuchukua nchi, hali kadhalika Museveni nk. Lisu hana uwezo wa kupambana na vyombo vya dola maana hamiliki silaha. Kama vipi tuwafungie chumba kimoja na Magufuli tuone nani mbabe wa kweli.
 
Kama ni kweli Tundu Lissu ameondoka, basi serikali imetumia busara.

Serikali ingeamua kumkamata tungetumbukia ktk mgogoro wa Kidiplomasia na Ujerumani.
 
..kama ni kweli Tundu Lissu ameondoka, basi serikali imetumia busara.

..serikali ingeamua kumkamata tungetumbukia ktk MGOGORO WA KIDIPLOMASIA na Ujerumani.

Taarifa zote za tiketi walikua nazo sio kwamba wameshindwa kumfanya chochote busara tu
 
..kama ni kweli Tundu Lissu ameondoka, basi serikali imetumia busara.

..serikali ingeamua kumkamata tungetumbukia ktk MGOGORO WA KIDIPLOMASIA na Ujerumani.
Mungu wetu ni mwema. Naomba azidi kuwapa viongozi wa serikali hekima, busara na maarifa.
 
W
Anakimbia jeshi la kukodi kutoka Burundi lililovishwa jezi za polisi wa Tz
Wale walinzi wenye majanvia ameondoka nao au wamebaki wanakula ugali dagaa yeye anaenda kunywa mvinyo na nyama choma Akipata huduma toka kwa beberu?
 
Back
Top Bottom