Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama waliweza kutoka Bungeni, unafikiri watashindwa kutoka nchini?Bora ajiondokee tu linchi limekuwa la hovyo kabisa.
Rais wa sasa wa DRC alikuwa nje mpaka aliporudi kuchukua nchi, hali kadhalika Museveni nk. Lisu hana uwezo wa kupambana na vyombo vya dola maana hamiliki silaha. Kama vipi tuwafungie chumba kimoja na Magufuli tuone nani mbabe wa kweli.
Na asirudi tena hapa kwenye nchi ya hovyoBora ajiondokee tu linchi limekuwa la hovyo kabisa.
Ndugu yangu hawa watu sio wazuri kabisa, afu ndio walikuwa wanatuhimiza watu tuandamane. Sasa hivi maandamano hakuna wanatukimbia. Je, maandamano yangekuwepo si wasingeonekana kabisa kama jasho la samaki.Aisee kakimbia mapema hivi? Dahhhhhhh
Wewe vipi, kunakinacho kufanya usikimbie mkuu?Bora ajiondokee tu linchi limekuwa la hovyo kabisa.
Magufuli alisema wazi kuwa Lisu anakuja tu kuchafua amani ya nchi ana uraia na tiketi ya Ubelgiji
..kama ni kweli Tundu Lissu ameondoka, basi serikali imetumia busara.
..serikali ingeamua kumkamata tungetumbukia ktk MGOGORO WA KIDIPLOMASIA na Ujerumani.
Nazungumzia huyo diwani aliyekufa nyumba yake kuungua Je chanzo cha moto ni kutokana na umeme au kuna nguvu ya watu imetumika
Mjitafakari sana mmekosea wapi?Lile jengo la bunge lipigwe chapa ya kijani kabisa, na vilaka vya CCM tujue kabisa.
Kile kikundi cha wahuni wa CCM kijulikane mapema.
Lema:woga ni dhambi kubwa, akajiita yeye Mandela. Matokeo yake katimkia Kenya hawa madogo ni walaghai wa kisiasa
Mungu wetu ni mwema. Naomba azidi kuwapa viongozi wa serikali hekima, busara na maarifa...kama ni kweli Tundu Lissu ameondoka, basi serikali imetumia busara.
..serikali ingeamua kumkamata tungetumbukia ktk MGOGORO WA KIDIPLOMASIA na Ujerumani.
Mbona amekuacha chawa wake?Bora ajiondokee tu linchi limekuwa la hovyo kabisa.
Watanzania 2/3 hawajashiriki kupiga kura kwenye huo ushenzi uitwao Uchaguzi, sijui ni watanzania gani unawaongelea. Ule haukuwa Uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.Watanzania wameamua kumkataa Robert Amsterdam kwa kivuli cha Tundu
Wale walinzi wenye majanvia ameondoka nao au wamebaki wanakula ugali dagaa yeye anaenda kunywa mvinyo na nyama choma Akipata huduma toka kwa beberu?Anakimbia jeshi la kukodi kutoka Burundi lililovishwa jezi za polisi wa Tz