Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mpk arudi atakuta na bei ya simenti imeshuka kdg, acha tubaki na dikteta wetuKabisa mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpk arudi atakuta na bei ya simenti imeshuka kdg, acha tubaki na dikteta wetuKabisa mkuu!
Kwani wewe umeshapewa sahani ya ugali na sigara kali hapo LumumbaW
Wale walinzi wenye majanvia ameondoka nao au wamebaki wanakula ugali dagaa yeye anaenda kunywa mvinyo na nyama choma Akipata huduma toka kwa beberu?
Huyu akiondoka mtaona na hawa wengine wanaanza kujirudisha mdogo mdogo, maana walikuwa wanafuata mkumbo tu bila kujua kama M-belgiji anawaingiza mlango wa kutokea.
Wasingeweza kumkamata mbele ya hao watu, hawawezi kujaribu kuingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na hayo mataifa mawili, hasa wakati huu wakiwa wanalaumiwa toka kila pembe ya Dunia kwa ule Uchaguzi wa maigizo waliofanya...serikali ilikuwa na uwezo wa kumkamata.
..serikali si inamhitaji mahakamani? sasa jiulize kwanini haikumkamata.
Wasingeweza kumkamata mbele ya hao watu, hawawezi kujaribu kuingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na hayo mataifa mawili, hasa wakati huu wakiwa wanalaumiwa toka kila pembe ya dunia kwa ule uchaguzi wa maigizo waliofanya.
Sasa aliowaingiza barabarani je? Ni hayo mliyo ambiwa kwamba atawalaghai halafu yeye asepe! Je! imechukua hata week?Mnataka abaki ili muue. No rule of law, despots
Box la kura au uporaji na wizi wa kuraIpambanie tu familia yako, watanzania walikukataa kwenye box la kura na barabarani kwenye maandamano
Kwahiyo Lissu atakuwa anaitisha mikutano ya hadhara huko ili kumsema jiwe?Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.
Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Hayo ndiyo matunda ya kuchafua uchaguziHapa Lissu anaingia vipi?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado mpka akili ziwakawe sawa!Hasa ukiwa na kichaa mbwa koko mmoja aliyejivika urais kwa nguvu ya dola ni hataree sana.
Hapana ataitisha kikao cha Magufuli kukodi majeshi ya BurundiKwahiyo Lisu atakuwa anaitisha mikutano ya hadhara huko ili kumsema jiwe?
Mbowe atakuwa anajuta sana kumpa Lissu agombee maana hata wabunge wa kumpatia ruzuku amepoteza.Maandamano yasiyo na kikomo yameishia wapi ?Bora hata msingetaja maandamano.Wapinzani huwa mnakurupuka na kusema vitu ambayo hamuwezi timiza. Grow up.
Walipotea sehemu ndogo sana, kama wangemuwahi Lissu kabla hajafika ubalozi wa ujerumani that day, walikuwa wammalize, but the moment Lissu ameshafika mbele ya ubalozi, na balozi akawa ameshajua uwepo wake nje, hapo kila kitu kikawaharibikia...asante.
..kuna baadhi ya wachangiaji hawaelewi ukweli huo, au wameamua kupotosha kwa makusudi.
..kwa kifupi Tundu Lissu amewa-outsmart waliotaka kummaliza, na kumfuta ktk uso wa dunia.