Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

W

Wale walinzi wenye majanvia ameondoka nao au wamebaki wanakula ugali dagaa yeye anaenda kunywa mvinyo na nyama choma Akipata huduma toka kwa beberu?
Kwani wewe umeshapewa sahani ya ugali na sigara kali hapo Lumumba
 
Huyu akiondoka mtaona na hawa wengine wanaanza kujirudisha mdogo mdogo, maana walikuwa wanafuata mkumbo tu bila kujua kama M-belgiji anawaingiza mlango wa kutokea.

Hao watakaojirudisha wajirudishe kimpango wao, maana hata hamasa ya kupiga kura Sisi wapinzani tuliopiga, ilikuwa Ni kwa ajili yake.
 
..serikali ilikuwa na uwezo wa kumkamata.

..serikali si inamhitaji mahakamani? sasa jiulize kwanini haikumkamata.
Wasingeweza kumkamata mbele ya hao watu, hawawezi kujaribu kuingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na hayo mataifa mawili, hasa wakati huu wakiwa wanalaumiwa toka kila pembe ya Dunia kwa ule Uchaguzi wa maigizo waliofanya.

Hata kibali kama walikitoa, watakuwa walitoa kwa shingo upande hasa kwa pressure from hizo nchi mbili.
 
21A0B852-2455-477B-ABB7-C6D6ABCE9136.jpeg

Meko ajiandae kufika kwenye hivi viunga na majambazi wake
 
Wasingeweza kumkamata mbele ya hao watu, hawawezi kujaribu kuingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na hayo mataifa mawili, hasa wakati huu wakiwa wanalaumiwa toka kila pembe ya dunia kwa ule uchaguzi wa maigizo waliofanya.

..asante.

..kuna baadhi ya wachangiaji hawaelewi ukweli huo, au wameamua kupotosha kwa makusudi.

..kwa kifupi Tundu Lissu amewa-outsmart waliotaka kummaliza, na kumfuta ktk uso wa dunia.
 
Ametishiwa maisha, ameomba ulinzi hakuna jibu angalau hata la kukataa.

Akikumbuka alivyochapwa shaba, ni wazi inamuwia vigumu kuendelea kusubiria mabalaa kama yaliyopita.
Namwonea huruma kwakuwa ni kama anaenda ukimbizini.
 
Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.

Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Kwahiyo Lissu atakuwa anaitisha mikutano ya hadhara huko ili kumsema jiwe?
 
..asante.

..kuna baadhi ya wachangiaji hawaelewi ukweli huo, au wameamua kupotosha kwa makusudi.

..kwa kifupi Tundu Lissu amewa-outsmart waliotaka kummaliza, na kumfuta ktk uso wa dunia.
Walipotea sehemu ndogo sana, kama wangemuwahi Lissu kabla hajafika ubalozi wa ujerumani that day, walikuwa wammalize, but the moment Lissu ameshafika mbele ya ubalozi, na balozi akawa ameshajua uwepo wake nje, hapo kila kitu kikawaharibikia.

Ndio maana walivyojaribu kumchukua kwa gari za polisi, na maafisa wa ubalozi wa ujerumani wakawa wanawafuatilia kwa nyuma, mpaka hapo wasingempata Lissu tena.
 
Huyoo anasepa zake kisela...huku akiwa haamini kuchomoka kwenye mdomo wa mamba

Kisanga kawaachia akina Mbowe, Mayor Yakob na Nyalandu, na Lema yuko stressed stranded ukimbizini huko Kenya.

Demokrasia imekuwa Demonghasia
 
Back
Top Bottom