Kama ni ugonjwa ungekuwa Schizophrenia. Mama unakosa kabisa consistency. Hueleweki. Sampuli za P. Mayalla siku za nyuma. Siku hizi ni ccm mbele kwa yote. Hatuna shida naye. Aliko ni wazi kabisa. Jitambue tukutambue!Maandamano yasiyo na kikomo yameishia wapi? Bora hata msingetaja maandamano. Wapinzani huwa mnakurupuka na kusema vitu ambayo hamuwezi timiza. Grow up.
Lissu amekuwa moga sana lazima nikiri, chadema imekufa wamebaki rasimali watu tu. Kiongozi wa kisiasa hatakiwi kuwa legelege hasa wakati wa mapambano. Anyway tunaanza upya sasa kwa tanzania bara.
Kule Zanzibar mapambano yataendelea maalim seif hahamipo visiwa vya zanzibar kwa kuogopa chama tawala ametishwa sana, ametegwa masumu sana lakini madhubuti. Wabongo ni kelele tu watahitaji muda sana kuiva kwenye haya mapambano.
Wangang'anyi ni wakina nani?!! Sisi tunajua wanyang'anyi ni hawa mabedui ambayo miaka zaidi ya hamsini yanatawala lakini watoto wa shule za serikali bado wanakaa chini kwa kukosa madawati, mabedui miaka hamsini wananchi wanakunywa maji sehemu moja na ng'ombe!! Mabedui miaka zaidi ya hamsini barabara hazipitiki!! Leo mvua ikinyesha kidogo jiji kuu la kibiashara halipitiki!! Mabedui yanaua na kupiga risasi ndugu zao kisa mmetofautiana mawazo!! Mabedui ukipishana nayo kauli unatafutiwa kesi ukafie gerezani!! Na unafilisiwa mali zako!! Mabedui ngozi nyeusi ni mabaya kuliko mkoloni mweupe!!!Fungua macho ndugu yangu, Tundu Lisu ame-choose the wrong side of the battle. He won't win. Poleni kwa kutojitambua kwa kuunga mkono wanyang'anyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unachanganya mambo mawili kwa pamoja?Shetani uwa atulii mpaka anyonye damu yako!!!! Kama watanzania walimkataa?!;kwa nini mlitaka kumuua kwa kumpiga risasi mchana kweupe?!! Ukweli nchi hii imekuwa ya ovyo ovyo hakuna utu tena!! Bedui likiamka vibaya linakula nyama na kunyonya damu ya watanzania wenzake!!
Kuna makamanda wakiwa wanaporomosha mikwara humu utasema ana uwezo wa kwenda IGP au CDF alipo akamteka akampeleka kusiko julikana kumpa mateso[emoji23][emoji23] usinichekeshe mimi.
Watu ni majasiri Sana nyuma ya keyboard
Aisee..Mnafurahia kukatisha maisha ya watanzania wenzenu utafikiri ninyi mtaishi milele!
Hamjajiunza kwa Mkapa ambapo alikosa amani mpaka dakika za mwisho akatubu!
Ambacho haujaelewa ni nini? Haujui kuwa mabedui ngozi nyeusi ni makatili hasa kwa ndugu zao!!! Bedui linampiga Mwafrika mwenzake risasi, halafu linampigia vigeregere mzungu anaechukua rasilimali kuwa ndio mwanaume halisi!!! Umesahau mara hii!!!Mbona unachanganya mambo mawili kwa pamoja?
Wananchi tulilipokea kwa masikitiko tukio la risasi na ndo maana kwa upendo kuna waliochangia matibabu ya alieshambuliwa na hata alivotwambia nimepona narudi nyumbani kugombea urais tukaenda kumpokea kwa wingi airport sema tukakataa trick yake ya kutaka tumpigie kura za huruma..Ambacho ujaelewa ni nini?!! Ujuhi kuwa mabedui ngozi nyeusi ni makatili hasa kwa ndugu zao!!! Bedui linampiga mwafrika mwenzake risasi, harafu linampigia vigeregere mzungu anaechukua rasilimali kuwa ndio mwanaume halisi!!! Umesahau mara hii!!!
[emoji38]Kuna makamanda wakiwa wanaporomosha mikwara humu utasema ana uwezo wa kwenda IGP au CDF alipo akamteka akampeleka kusiko julikana kumpa mateso
Kama mlenda.Lisu kalegea
Haupo tz labda umesimuliwa.yule wa hai aliwatolea mawakala bunduki mabox yakaingizwa.Hii hoja ya kubeba masanduku sikubaliani nayo kabisa kwa sababu nyie mnajulikana siku zote kama "Red-Brigade" na mliahidi kuwa this time kura zisingeibiwa vyovyote vile. Arusha Mjini GBL aliwaambia wananchi, "Ninyi pigeni kura halafu ondokeni, kazi ya kuzilinda niachieni mimi!" Ndiyo maana baada ya uchaguzi akatimkia Dar maana mambo yalikuwa haki bin haki na hakuwa na lake huko.
Sugu na Mbowe hata Kama wamechokwa sio kwa different ile yaani tofauti ya kura 63000.angalau 200 au chini ingesaound.Mkazima internet na kuzuia sms ili mawakala wasitume majumuishi ya kura, mkasahau mtwara na tarime idadi ya kura zikawa sawa.Hii hoja ya kubeba masanduku sikubaliani nayo kabisa kwa sababu nyie mnajulikana siku zote kama "Red-Brigade" na mliahidi kuwa this time kura zisingeibiwa vyovyote vile. Arusha Mjini GBL aliwaambia wananchi, "Ninyi pigeni kura halafu ondokeni, kazi ya kuzilinda niachieni mimi!" Ndiyo maana baada ya uchaguzi akatimkia Dar maana mambo yalikuwa haki bin haki na hakuwa na lake huko.
Nilijua visingizio "mlishaviishilizaga"Haupo tz labda umesimuliwa.yule wa hai aliwatolea mawakala bunduki mabox yakaingizwa.
Kawe aliyeripoti kuibiwa ndo akawekwa ndani
Mawakala walisaini au hawakusaini??? Kumbe ili kushindwa kihalali tofauti ya kura inatakiwa iwe 200, eti eeh??? Baada ya intaneti kurudi, hivi majumuishi yenu ya kura yamekuwaje??? Halafu, hivi matokeo "hayawezagi" kufanana kabisa, si ndiyo???Sugu na Mbowe hata Kama wamechokwa sio kwa different ile yaani tofauti ya kura 63000.angalau 200 au chini ingesaound.Mkazima internet na kuzuia sms ili mawakala wasitume majumuishi ya kura, mkasahau mtwara na tarime idadi ya kura zikawa sawa.
Mawakala walisaini au hawakusaini??? Kumbe ili kushindwa kihalali tofauti ya kura inatakiwa iwe 200, eti eeh??? Baada ya intaneti kurudi, hivi majumuishi yenu ya kura yamekuwaje??? Halafu, hivi matokeo "hayawezagi" kufanana kabisa, si ndiyo???
[/QUO
Wakurugenzi walikimbia kupitisha form rejea Chato, hai walitolewa kwa mtutu, wengine walikamatwa. Kwa msaada wa polisi thus tunawaombea wawakumbuke police kwenye teuzi za viti maalumu bungeni kwa kuwasaidia ushindi wa kishindo
Mkuu sie tuendelee kula buku 7 zetu tu..Mawakala walisaini au hawakusaini??? Kumbe ili kushindwa kihalali tofauti ya kura inatakiwa iwe 200, eti eeh??? Baada ya intaneti kurudi, hivi majumuishi yenu ya kura yamekuwaje??? Halafu, hivi matokeo "hayawezagi" kufanana kabisa, si ndiyo???
Acheni upumbav,watu 13 wameuwawa kwa kupigwa risasi na hakuna taarifa yoyote kutoka kwa jeshi,wewe unaona kawaida?Pumbav kabisa!"Kwa nini jeshi la polisi liko kimya kama halihusiki?" Hii mbinu ya kusingizia shutuma ili mtu akane IMECHUJA & KUPITWA WAKATI KITAMBO. Hebu jaribuni kuapdeti kidogo mbinu zenu, ama vipi???
Usidhani matusi yako yanaweza kukuzidishia walau kijisehemu cha chembe cha kimo chako. Taarifa ipi unayotaka zaidi ya ile iliyotolewa? Au mpaka ishibane na fikra za akili yako zilizohadaliwa? Usisahau pia mlisingizia ambulance za serikali zinasafirisha kwenda kuzika maiti za korona usiku plus zile klipsi zenu za kuediti za Irani. What a shame!Acheni upumbav,watu 13 wameuwawa kwa kupigwa risasi na hakuna taarifa yoyote kutoka kwa jeshi,wewe unaona kawaida?Pumbav kabisa!
Mtu asiye na hoja utamjua tu!Umeruka kutoka kwenye hoja umekimbilia Corona na kuanza kunijumlisha na kundi la watu!Usidhani matusi yako yanaweza kukuzidishia walau kijisehemu cha chembe cha kimo chako. Taarifa ipi unayotaka zaidi ya ile iliyotolewa? Au mpaka ishibane na fikra za akili yako zilizohadaliwa? Usisahau pia mlisingizia ambulance za serikali zinasafirisha kwenda kuzika maiti za korona usiku plus zile klipsi zenu za kuediti za Irani. What a shame!