Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Usiwe na wasiwasi, narudia tena usiwe na wasiwasi. Hii nchi haijawahi kukurupuka kama tunavyoaminishana humu JF au huko vijiweni.Mungu wetu ni mwema. Naomba azidi kuwapa viongozi wa serikali hekima, busara na maarifa.
Wewe unakimbia lini?Bora ajiondokee tu linchi limekuwa la hovyo kabisa.
Him who fights and run away, lives to fight another day.
Noted.Hayo ndiyo matunda ya kuchafua uchaguzi
/uchafuzi ,ambayo Lissu anayapigania yaondoke. Ilikuwa hamna sababu ya magufuli kupelekea watu kufika huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu!Hapana ataitisha kikao cha magufuli kukodi majeshi ya Burundi
Vitu vingine vinafikirisha,ivi jeshi la Burundi linaweza kuwa effective na strong kuliko JWTZ? Hii dhana binafsi huwa siielewi kwakweli........anyway inawezekana wengine mnajua zaidiAnakimbia jeshi la kukodi kutoka Burundi lililovishwa jezi za polisi wa Tz
Wewe ni mpumbavu, kama alikuwa na uraia wa huko iweje NEC wampitishe kugombea? Hamjui kuwa katishiwa maisha lakini pia ana clinic ya kuattend huko?Magufuli alisema wazi kuwa Lissu anakuja tu kuchafua amani ya nchi ana uraia na tiketi ya ubelgiji
Sasa hiyo moja ya tatu (1/3) mbona haijamchagua Tundu Lisu.Watanzania 2/3 hawajashiriki kupiga kura kwenye huo ushenzi uitwao uchaguzi, sijui ni watanzania gani unawaongelea. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura full stop.
Usaliti ndio nini?Mtu mzima unaoambiwa jambo la kijinga nawe ukalishika unaonekana mpuuzi!
Lissu aende tu,hizi maiti za bongo bado sana kujitambua!
Endeleeni hivyo hivyo mtakuja vuna mnachopanda very soon.Mkaombwa muingie barabarani ili mumtoe madarakani badala yake mkaingia kwenye threads mbalimbali za Jf
Toka lini maiti ikasalitiwa?Anaenda kutu snitch..
You are so full of shit, hata Demokrasia ya kimataifa hauilewi Maafisa wa Ujerumani wanatumia Sheria na Kanuni gani kumsindikiza huyo takataka wenu? Unafikiri nchi zinaendeshwa kishoga shoga eeh ? Kinga yao inaishia kwenye Jengo lao la Ubalozi nje ya hapo Sheria za Tanzania yetu zinafanya kazi, ...
Sasa mfunguweni na huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu!
Ni yeye ndio huyo anawaacha
Akimaliza tunaweka mwingine na tundu lisu ataki mkimbizi mpaka azeeke.
Nadhni sasa muanze kutumia akiri zenu wenyewe na sio wanasiasa uchwara.
Aliyevunjika mguu au ana kesi mahakamani, atapambana mwenyewe na kesi jamaa lipo ubelgiji linakura pozi kisha linawacheki kwa kwa mbaali mnavyoteseka kwa ajiri yake.
Misukule hiyo haijielewi.
Busara ya kuwinda mtu mpaka anakimbia nchi?..kama ni kweli Tundu Lissu ameondoka, basi serikali imetumia busara.
..serikali ingeamua kumkamata tungetumbukia ktk MGOGORO WA KIDIPLOMASIA na Ujerumani.