Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Usiwe na wasiwasi, narudia tena usiwe na wasiwasi. Hii nchi haijawahi kukurupuka kama tunavyoaminishana humu JF au huko vijiweni.Mungu wetu ni mwema. Naomba azidi kuwapa viongozi wa serikali hekima, busara na maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app