Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mkuu watanzania linapokuja suala la kitaifa huwa wako makini mno!Kuna uhitaji mkubwa sana wa kufanya upgrading ya jamii kupata kizazi chenye uwezo wa kufikiri vizuri kwa mustakabali wa taifa.
Utafiti ufanyike kupata familia zenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo bila kufuata mkumbo halafu kila kijana ashauriwe kutafuta mwenza kutoka miongoni mwa hizo.
Kwa maoni yanayotolewa hapa, baadaye inawezekana tukashindwa kujitawala.
Mapumbavu ni mengi mno.
Jamii ikiwa na watu wengi wasioweza kujua jema na bayainaweza kujiteketeza yenyewe.
Aliyemuharibia Lissu ni Amsterdam.
Watz wako makini sana huwezi kuwapelekesha