julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
kusikia ule mchezo wa laana eti hauna shida dah.hatutak nchi iwe na uramaduni wa kimagharibi.neverVijana wa UV CCM wanaumia sana wanaposikia Lissu akisema mapambano yanaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kusikia ule mchezo wa laana eti hauna shida dah.hatutak nchi iwe na uramaduni wa kimagharibi.neverVijana wa UV CCM wanaumia sana wanaposikia Lissu akisema mapambano yanaendelea
Siasa za kishamba hizi kuturudisha nyuma miaka 50 nyuma maana yake nini!!Siasa mpya za Magufuli hizi
Ni woga na uchu wa madaraka ndio unaompa taabu. Kauwa wengi nyama hiliSiasa za kishamba hizi kuturudisha nyuma miaka 50 nyuma maana yake nini!!
Vipi maisha ya wale anaotoka wao wafe kwa kuwaingiza barabarani!? "Hawatatuua wote! Hawezi! Kwani Afande Sirro analo jeshi kubwa kutushinda sisi!?" ~ Mr Mzungu.Alikwisha chungulia kaburi. anayo haki ya kunusuru maisha yake maadam anaona yapo hatarini.
Tanzania hairudi nyuma ndugu, ni wewe ndiye umechagua ku-kumove in the opposite daireksheni. Njoo, ulimwengu uko huku. Utakuja kushangaa hata mlango wako unakupotea siku moja!Siasa za kishamba hizi kuturudisha nyuma miaka 50 nyuma maana yake nini!!
Polisi hawatumiwi, bali wanatumika maana wana kazi kibao tu ya kuwadhibiti waleta-fujo na ghasia na machafuko. Hiyo ndiyo kazi yao waliyosomea na kuajiriwa kuifanya. Imagine mtu anajiteka na kujiiba na kujitegua na kufanya matukio ya kutengeneza. Polisi wamsaidieje, kwa mfano??? Au mbunge mzima ajitisha mwenyewe na kujitorosha!!!Police utumiwa na ccm Kama mpira wa mwilini thamani yao uonekana wakati wa uchaguzi na wizi wa kura.
Huyo Mr Mzungu hana hadhi yoyote ya upinzani kwa sababu kageuza siasa kama uwanja wa kulitafuta kwa nguvu zote. Ndiyo maana kwenye kampeni alipuuzwa lakini yeye analazimisha kujiingiza kwenye kumi na nane za mamlaka ya dola. Reasoning na "taa-get" yake ni kufunga "mar-goal-i" ya kimataifa anayodhani hupatikana kwa vurugu na ghasia na tafrani. Hizo ni siasa za South Sudan, Kongo na Nigeria huko.[emoji38]
Lakini Lissu ni mpinzani pure,hajachukuliwa kutoka fisiemu
Thus walisema we ushindi kwa maelekezo ya sabaya na kweli hakushinda.wameshiriki kubeba masaduku ya wizi wa kura.Ni unprofessional kabisa hata polis wa Malawi ni professional zaidiPolisi hawatumiwi, bali wanatumika maana wana kazi kibao tu ya kuwadhibiti waleta-fujo na ghasia na machafuko. Hiyo ndiyo kazi yao waliyosomea na kuajiriwa kuifanya. Imagine mtu anajiteka na kujiiba na kujitegua na kufanya matukio ya kutengeneza. Polisi wamsaidieje, kwa mfano??? Au mbunge mzima ajitisha mwenyewe na kujitorosha!!!
Nachojua amri pekee kutoka huko ni kuomba tuwauzie korosho, alizeti na madini ya "Tanza-9t." Labda pia watuombe tuwafungulie mipaka ya kuja kutalii.Nasubiria amri kutoka ubelgiji na Nairobi!!!!!!!!
Thus walisema we ushindi kwa maelekezo ya sabaya na kweli hakushinda.wameshiriki kubeba masaduku ya wizi wa kura.Ni unprofessional kabisa hata polis wa Malawi ni professional zaidi, aaah mnatukimika Kama kondomu then keki wanakula wengine thamani yenu wakati wa uchaguzi tu.Polisi hawatumiwi, bali wanatumika maana wana kazi kibao tu ya kuwadhibiti waleta-fujo na ghasia na machafuko. Hiyo ndiyo kazi yao waliyosomea na kuajiriwa kuifanya. Imagine mtu anajiteka na kujiiba na kujitegua na kufanya matukio ya kutengeneza. Polisi wamsaidieje, kwa mfano??? Au mbunge mzima ajitisha mwenyewe na kujitorosha!!!
Thus walisema we ushindi kwa maelekezo ya sabaya na kweli hakushinda.wameshiriki kubeba masaduku ya wizi wa kura.Ni unprofessional kabisa hata polis wa Malawi ni professional zaidi, aaah mnatukimika Kama kondomu then keki wanakula wengine thamani yenu wakati wa uchaguzi tu.Polisi hawatumiwi, bali wanatumika maana wana kazi kibao tu ya kuwadhibiti waleta-fujo na ghasia na machafuko. Hiyo ndiyo kazi yao waliyosomea na kuajiriwa kuifanya. Imagine mtu anajiteka na kujiiba na kujitegua na kufanya matukio ya kutengeneza. Polisi wamsaidieje, kwa mfano??? Au mbunge mzima ajitisha mwenyewe na kujitorosha!!!
"Kwa nini jeshi la polisi liko kimya kama halihusiki?" Hii mbinu ya kusingizia shutuma ili mtu akane IMECHUJA & KUPITWA WAKATI KITAMBO. Hebu jaribuni kuapdeti kidogo mbinu zenu, ama vipi???Wamepigwa risasi mpaka kufa!Unataka maelezo gani zaidi ya hayo?Kwanini jeshi la polisi liko kimya kama halihusiki?
Umenena yenye hekma na BUSARA Mkuu. Bila shaka una nafasi yako peponi kwa uwezo wake mananiKama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.
Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Vijana wa BAVICHA wanaumia sana wanaposikia Dkt. Magufuli anaendelea kutawala hadi 2050. Zile habari za "for the first time in the history of our country, Magufuli is going to be a one-term president," zimeyeyukia kusikojulikana.Vijana wa UV CCM wanaumia sana wanaposikia Lissu akisema mapambano yanaendelea
Hii hoja ya kubeba masanduku sikubaliani nayo kabisa kwa sababu nyie mnajulikana siku zote kama "Red-Brigade" na mliahidi kuwa this time kura zisingeibiwa vyovyote vile. Arusha Mjini GBL aliwaambia wananchi, "Ninyi pigeni kura halafu ondokeni, kazi ya kuzilinda niachieni mimi!" Ndiyo maana baada ya uchaguzi akatimkia Dar maana mambo yalikuwa haki bin haki na hakuwa na lake huko.Thus walisema we ushindi kwa maelekezo ya sabaya na kweli hakushinda.wameshiriki kubeba masaduku ya wizi wa kura.Ni unprofessional kabisa hata polis wa Malawi ni professional zaidi
Shetani uwa atulii mpaka anyonye damu yako!!!! Kama watanzania walimkataa?!;kwa nini mlitaka kumuua kwa kumpiga risasi mchana kweupe?!! Ukweli nchi hii imekuwa ya ovyo ovyo hakuna utu tena!! Bedui likiamka vibaya linakula nyama na kunyonya damu ya watanzania wenzake!!Ipambanie tu familia yako, watanzania walikukataa kwenye box la kura na barabarani kwenye maandamano
Polisi hawatumiwi, bali wanatumika maana wana kazi kibao tu ya kuwadhibiti waleta-fujo na ghasia na machafuko. Hiyo ndiyo kazi yao waliyosomea na kuajiriwa kuifanya. Imagine mtu anajiteka na kujiiba na kujitegua na kufanya matukio ya kutengeneza. Polisi wamsaidieje, kwa mfano??? Au mbunge mzima ajitisha mwenyewe na kujitorosha!!!