Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

safi sana na asije akarudia Tena kuleta ujuaji kwenye mambo ya watu
gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua
Habari imeandikwa 'too subjectively" kiasi kwamba mtu anayetaka kupat.

1. "Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua".

a) Kwani awali aliomba kuonyeshwa akakataliwa ili useme 'hatimaye' limetimia?
b) Gari lililotunguliwa: sawa na mtoto anayetungua tunda kwa kurusha mawe mtini?
c) Risasi zisizo na idadi: inaashiria idadi kubwa isiyohesabika.

2. "Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi, amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu hiyo imefikia zaidi ya 30!"

a) Amehesabu upya: inamaanisha awali aliwahi kuhesabu.
b) Hesabu imefikia zaidi ya 30: Hapo juu ulisema idadi isiyo na hesabu!
c) Risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa: umejuaji kuhusu kutumwa huku?

3. "Amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake. Tunatoa shukrani kwa jeshi la Polisi kwa kumuonyesha Lissu Gari lake, japo ni kwa kuchelewa".
Ni dhahiri yeye ndiye anayeamua lini afanye nini. Sasa huko 'kuchelewa' kunatoka wapi?

4. Vipi kuhusu dereva ambaye polisi walitegemea awe shahidi namba moja?
 
Leo ndio ameliona ,zile picha mlizokuwa mahesabu eti risasi 18 mara 36 mara 40 ulikuwa mnazitoa wapi na je Lisu hakuziona ?

USSR
Tofautisha kuona gari na kuona picha ya gari.
 
Yaani anashindwa kununua gari jipya anahangaika na screpa
 
safi sana na asije akarudia Tena kuleta ujuaji kwenye mambo ya watu

Ila nashindwa hata niandike nini.

Hata kama una chuki kiasi hiko, umefikia hatua ya kuombea kifo mtu mwingine kisa siasa.

Ila kwa comment yako hii inaonyesha wewe ni kilaza sanaa.Una utindio wa ubongo
 
Kwani hamwezi kusaidia bila kuombwa ?.....saidia huo upelelezi kiongozi
 
ILA KIUKWELI MIMI NILIKUWA NAMKUBALI JPM ILA KWA VINGINE KAMA HVI KWA KWELI MUNGU NAONA ALIINGILIA KATI, ALIKUWA MNYAMA SANA JAMAA
 
Jambo jema. Polizie wawe neutral waachane na siasa.
Lisu aanzishe Museum yake tukashangae gari hilo
 
Ila nashindwa hata niandike nini.

Hata kama una chuki kiasi hiko, umefikia hatua ya kuombea kifo mtu mwingine kisa siasa.

Ila kwa comment yako hii inaonyesha wewe ni kilaza sanaa.Una utindio wa ubongo
wewe na yeye wakati mnamsumbua JPM mlikuwa na aKili?

siwezi kuhurumia wapumbavu Mimi kulikuwa na sababu Gani za maana Kwa yeye kufanya alivyokuwa anafanya?

hakuona wenzake wakivyotanguliza ustaarsbu?

mtu anavuka mstari mwekundu wa kufanywa Nini huyo?


any way ni muleba nshamba, kishanda, kamachumu, rushwa au biilabo?
 
Tunafurahia kichaa wenu ndiye yuko motoni na Lissu anadunda
 
Leo ndio ameliona ,zile picha mlizokuwa mahesabu eti risasi 18 mara 36 mara 40 ulikuwa mnazitoa wapi na je Lisu hakuziona ?

USSR
Kuona picha na kuona gari lenyewe ni huoni tofauti? Umelalia upande gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…