Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #141
nadhani kidhibiti kikubwa ni mwili wake ambao umejeruhiwa sana , tutafukua haya mambo mbele ya safari ikibidi , kwa sasa serikali ya ccm haina mpango wa kujiumbua yenyewe mahakamaniKwa uelewa wangu wa jambo hili, ambalo inanilazimu niseme, kama Lissu mwenyewe karidhia mambo yaishe kienyeji, haliniumizi kichwa; ni kuwa kidhibiti kikiondolewa, maana yake hakuna kesi tena. Huo ndio uelewa wangu mdogo wa mambo kama haya.
Sina tatizo, kama Lissu kaamua kuchukua gari lake na kuamua kuganga yajayo.
Namba 4 : Polisi haijawahi kumtafuta Lissu wala dereva wakegari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua
Habari imeandikwa 'too subjectively" kiasi kwamba mtu anayetaka kupat.
1. "Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua".
a) Kwani awali aliomba kuonyeshwa akakataliwa ili useme 'hatimaye' limetimia?
b) Gari lililotunguliwa: sawa na mtoto anayetungua tunda kwa kurusha mawe mtini?
c) Risasi zisizo na idadi: inaashiria idadi kubwa isiyohesabika.
2. "Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi, amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu hiyo imefikia zaidi ya 30!"
a) Amehesabu upya: inamaanisha awali aliwahi kuhesabu.
b) Hesabu imefikia zaidi ya 30: Hapo juu ulisema idadi isiyo na hesabu!
c) Risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa: umejuaji kuhusu kutumwa huku?
3. "Amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake. Tunatoa shukrani kwa jeshi la Polisi kwa kumuonyesha Lissu Gari lake, japo ni kwa kuchelewa".
Ni dhahiri yeye ndiye anayeamua lini afanye nini. Sasa huko 'kuchelewa' kunatoka wapi?
4. Vipi kuhusu dereva ambaye polisi walitegemea awe shahidi namba moja?
Hiyo ndio hoja yangu hapa WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?Kwani hamwezi kusaidia bila kuombwa ?.....saidia huo upelelezi kiongozi
Lugalo ni timu ya mpira Iringa.Nimeona jezi zimeandikwa Lugalo
Kwani Lissu alipelekwa Lugalo baada ya tukio Dodoma?
Ni kama siku ile kamanda Mkuu wa mambo yote alikuwa Dar sasa hapa alikwendaje kumwona mgonjwa?
kuna neno inakadiliwa au inasemekana ktk uandishi inakubalika tu.more than or less than.Leo ndio ameliona ,zile picha mlizokuwa mahesabu eti risasi 18 mara 36 mara 40 ulikuwa mnazitoa wapi na je Lisu hakuziona ?
USSR
Hakustahili kuumizwa kiasi kile muda mwingine tuangalie familia yake watoto wake wanaumia kiasi gani wakijua baba yao kaumizwa kwaajili ya mambo ambayo hata wangekaa kimya yasingewadhuru. Mm ndio maana namkubali sana kikwete hakua na hayo mambo ya visasi japo nae alikua na njia zake ila sio kama za jpm alifanya kitu kibaya sana
Because he is a victor by MCH. Mwingira....efatha ministryHayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua.
Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi , amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu hiyo imefikia zaidi ya 30!
Akiwahutubia polisi hao kwenye kituo chao , ameonyesha kushangaa kwamba ilikuwaje pamoja na lundo hilo la risasi hizo akatoka akiwa anapumua, amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake.
Tunatoa shukrani kwa jeshi la Polisi kwa kumuonyesha Lissu Gari lake, japo ni kwa kuchelewa.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hata Lissu mwenyewe hakufurahi kulikuta kwa sababu aliaminishwa limechomwa apate pa kupigia debe la siasa.Hatimae polisi wamekata maneno waliyozushiwa kuhusu gari
Huyo askari magereza kwenye Avatar yako alituhumiwa kua ana mihuri ya Ikulu....Magufuli alikuwa ni NDULI kabisa. Hivi ni kwa kosa gani aliwatuma akina MAKONDA na kundi la WASIOJULIKANA kutaka kumuua Lissu?
Angalia Mungu alivyo wa ajabu, Lissu bado yuko hai huku yeye Magufuli akiwa katangulia kaburini. Aendelee kuungua na moto wa jehanam huko aliko
Jamaa kwanza alihamishiwa Ukerewe baada ya Magufuli kupita Butimba. Ila baadaye nasikia alifikisha umri wa kustaafu. Yote kwa yote alituheshimisha sana yule kamanda wa magerezaHuyo askari magereza kwenye Avatar yako alituhumiwa kua ana mihuri ya Ikulu....
Anakagua simu za wafungwa...Sasa jamaa akajichanganya Kwa the late JPM...
Ivi huyo askari magereza yupo hai Kweli maana JPM alimgeukia mbogo....lija maa linaonyesha ni likatili sana likiongea na JPM kama linaongea na bwana shemeji 😊😂😂😂😂🤣🤣🤣
Anaongea na Mh. Raisi kama anaongea na mkwirima🤓😂😂😂😂🤣🤣🤣Jamaa kwanza alihamishiwa Ukerewe baada ya Magufuli kupita Butimba. Ila baadaye nasikia alifikisha umri wa kustaafu. Yote kwa yote alituheshimisha sana yule kamanda wa magereza
Kabla ya tukio la Kisu kupigwa risasi, nakumbuka kuna wakati alilazwa hosipitali kwa ugonjwa na Magu akamtenbelea kumjulia hali, kwa hiyo picha hiyo si ya maigizo, ni halisi.Huyo siyo lissu. Hapo ni lugalo. Walistage ilo tukio kesho yake baada ya lisu kupogwa risas huyo mbabu ni mwanausalama eti naye kapigwa risasi
Yani hukohuko tu kwa shemeji yako kabla lisu kupigwa risasi hadi basda ya kupigwa risasi
Huyo siyo lissu wewe mbwiga huyo ni jenerali wa jeshi wanasingizia alipigwa risasi akiingia kwake iyo ni baada ya lissu kupigwa risasi.Kabla ya tukio la Kisu kupigwa risasi, nakumbuka kuna wakati alilazwa hosipitali kwa ugonjwa na Magu akamtenbelea kumjulia hali, kwa hiyo picha hiyo si ya maigizo, ni halisi.
Mwangosi..ilikuwajeHakustahili kuumizwa kiasi kile muda mwingine tuangalie familia yake watoto wake wanaumia kiasi gani wakijua baba yao kaumizwa kwaajili ya mambo ambayo hata wangekaa kimya yasingewadhuru. Mm ndio maana namkubali sana kikwete hakua na hayo mambo ya visasi japo nae alikua na njia zake ila sio kama za jpm alifanya kitu kibaya sana
Wewe na Magufuli wenu ndio mkome!safi sana na asije akarudia Tena kuleta ujuaji kwenye mambo ya watu
wewe na yeye ndo mkome, magufuli Yuko mbinguni anaongoza malaika kisifu na kumuabudu Mungu, Mimi mfuasi wake Niko hapa nawaongezea dozi kina chiba.Wewe na Magufuli wenu ndio mkome!
Magufuli kafa, Lissu yuko hai - huo ndio ukuu na utukufu wa Mwenyezi MUNGU!
Hiyo ndio habari ya mjini, kwamba - uovu umeshindwa (kama kawaida) na wema!
Go Lissu!! Go champion!!
Mbinguni ni patakatifu mno, kule hawaendi wala hawangii waovu kama 'shujaa wako' Magufuli, kule sio hapo Magogoni au Chamwino.wewe na yeye ndo mkome, magufuli Yuko mbinguni anaongoza malaika kisifu na kumuabudu Mungu, Mimi mfuasi wake Niko hapa nawaongezea dozi kina chiba.
pambaaaafu sana
Kwani kupiga soga kwa kubadilishana tu kumbu kumbu hadi tutukanane kwanza, kuna ulazima gani wa kukumbushana issue huku mmetunushiana misuli?Huyo siyo lissu wewe mbwiga huyo ni jenerali wa jeshi wanasingizia alipigwa risasi akiingia kwake iyo ni baada ya lissu kupigwa risasi.
Bongo tuna mambwiga serious.