Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Mgombea wa CCM John Pombe Joseph Magufuli amesema kwa kipindi cha miaka 5 ametengeneza ajira milioni 6.

Nyie waimba sifa wake mwambieni labda waliojiriwa walitangaziwa ajira Ikulu, wakafanyiwa interview Ikulu,wakaajiriwa Ikulu. Lakin Huku mtaani kwetu vijana hawana ajira,walimu hawana ajira.Hali ni ngumu Mzee.
 
Lisu anagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Tanganyika??

Maana yeye sio muumini wa Muungano.
 
Umeongea kwa hisia sana ndugu,,ila kasema uzinduzi tu ndiyo.kwanza ulikuwa unafanyika kwa siku hizi 10.Huenda awamu zinazofuata sasa ,uelekeo wako.pia waweza pata majibu.Kinyume chake ,basi tutaanza kulaumu.
 
Ni kweli kabisa wao kama wao hawana tatizo, ni hofu ya kitakachowapata kutoka kwa wenye mamlaka. Hapo sasa ndio pagumu
Na viongozi wa dini wapo kimya wanayaona haya matishio dhidi ya haki kweli kwa Mungu wataenda wachahche Sana sitashangaa kumuona kadinaly pengo motoni.
 
wajinga na wasozijua siasa ndo wahanga wakubwa wa propaganda za tundu lissu, hakuna asichokijua tundu lissu kuhusu mabeberu...

mabeberu ndo wamesababisha afrika iwe duni hadi kesho kwa kuunda mifumo kandamizi ya kiutawala inayonuwafaisha wao na kuwafanya waafrika wategemezi milele kwao...

gadafi aliifanya libya kama paradise ya dunia bt kwa chuki zao na kutotaka kuzidiwa wakamuundia zengwe akauawa, hadi leo kinachoendelea libya ndo furaha ya mabeberu.
 
Mkuu,mbona kama unataka kumpa mamlaka(TAL) ,kabla ya....,msaada kama hana bado...!
 
Itoshe tu kusema Tundu Lissu anaakili nyingi sn na maccm hawataki watu wenye akili waishi..... Wanataka watu wa type ya misukule ya lumumba
 
Mkuu, kanisome tena. Mimi na CCM au mimi na Yohana wapi na wapi. You misssed something somewhere!
 

Attachments

  • 118964469_768149927085891_6618407546036547503_n.mp4
    145.9 KB
Tundu Lissu ndiye Rais wetu. Haijapata kutokea mtu akaongea madini kiasi hiki kwa Tanzania yetu. Huyu ndiye wa kutuongoza, ndiye wa kutushika mkono. Kwa kweli tumebarikiwa Watanzania. Tumeachwa mayatima miaka 5 tu. Kumlilia Mungu kidogo tu, katuletea mkombozi.

Asante Mungu kwa Tundu Lissu.
 
Raisi wa mioyo yenu Lowasa bado yupo mioni au mlishamtupa baada ya uchaguzi?
Tundu nae zamu yake inafuata.
 
Kaongea vizuri sana. Lissu anauwezo wa kujielezea.
 
Lisu anaongea kama kiumbe toka sayari nyingine. Meko akimsikia lazima ajambe
 
Chadema yenyewe ile Peoples Power ilishakufaga yeye kakutana na chadema mbovu kila idara,na alivyokuwa na kichwa cha mihemko lazima pumzi ikate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…