Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Mgombea Uraisi wa chama fulani alisema kuwa watanzania hawajui kingereza, hasa wanatia aibu wanapokuwa huko ughaibuni. kisha nikajiuliza; je! kiswahili chetu hiki, watanzania wote wanakifahamu kwa usanifu na usadifu wake?

kitu ambacho naamini sio kweli, yawezekana mwenyewe nikawa miongoni mwa wahanga hao. Sasa yanini kulilia kujua kingereza kwa ufasaha wakati kiswahili chenyewe tunamakosa mengi kwenye kukizungumza na kuandika. siku zote ukitaka kuwatambua wengine anza kujitambua mwenyewe. jambo jingine la kufurahisha hapa, sijawahi kusikia wazungu wakichekana ati wanaaibisha mataifa yao kwa kuongea kiswahili kibovu, mbali zaidi wengine wanakuja huku hata kingereza chenyewe hawajui, na wanafundishwa na wabongo hiyo broken.

Me nadhani wanaotucheka kwa kuongea kingereza kibovu hapa nchini na ughaibuni si wazungu bali ni sisi wenyewe. Je! kuna ulazima sana siye kujua Kingereza ili tufike Nchi ya ahadi?, Mataifa kama Uganda, Zimbabwe, Kenya n.k ambayo yasemekana yanawazungumzaji wazuri wa kingereza Wamefika Kanani?
(Nchi ya Ahadi).

Mi nadhani kheri yule mwenye Maarifa, busara na hekima, na hajui kingereza. kuliko ajuaye kingereza na akakosa vitu vitatu. kikubwa Elimu iboreshwe watu wapate Maarifa yanayoenda na wakati, na si lazima wote tujue kingereza ndio maana kuna watu wanasomea utafsri wa lugha, na Maranyingi mataifa ya Asia ya mbali wanatumia sana lugha zao hata wakiwa nje ya Nchi zao na wakalimani huhusika sana kwenye masuala yanayohusu lugha tofauti na yao.

Je! Mataifa hayo hayajapiga hatua ya kimaendeleo? Kwahiyo hili suala la kutojua kingereza Mheshimiwa aliliongelea kwa upande mmoja wa sarafu. mihemko( emotions) inatupofusha kutazama mambo yaliyo mbali zaidi.
Kenya na Zimbabwe ni mifano miwili ya nchi zinazonufaika sana kwa kujua lugha fasaha ya watu wengine tofauti na Tanzania iliyotelekeza lugha za kigeni na kubaki na Kiswahili cha mtaani (Creole) na Kisukuma. Kenya wanajua Kingereza kizuri na Kiswahili kizuri ndo maana walimu wengi wanaofundisha Kiswahili kote ulumwengu I wanatoka Kenya.

Hata watangazaji wa Kiswahili wa Radio na Tv za Media mashughuri duniani kama vile BBC, VOA, DW, nk ni Wakenya wakiipiku TBC iliyokuwa inaongoza kutoa wafanyakazi kwenye Media hizo hata kuanzishwa kwao kulifanywa na wanafunzi wetu waliokuwa wanasoma huko zama hizo. Wajerumani hawazai Tena kwa hiyo wanapungukiwa sana Nguvukazi kwenye Viwanda vyao na kwingineko kwa hiyo

sasa wanapata toka India ambao wana elimu nzuri. Zimbabwee ni nchi mojawapo ya Afrika yenye elimu nzuri inayotambulika kimataifa ndo maana ndiyo nchi pekee inayopeleka Wauguzi (Nurses) wengi Ulaya kwa sababu Wasichana wa huko hawataki kazi kama hizo za kuvaa sare kazini. Pesa wanazorudisha nyumbani kwa ndugu zilisaidia sana kulipa mishahara ya wafanyakazi wa Serikali kwa Dollar za Marekani uchumi ilipokuwa mbaya.

Nchi za Kusini mwa Afrika baada ya kupata Uhuru wao, wafanyakazi wengi Serikalini, vyuoni, hospitalini nk walikuwa Watanzania kwa sababu walikuwa wanajua Kingereza na wasomi wazuri lakini sasa hivi kama wapo ni mabaki tu maana wa sasa hawaajiriki. Kiswahili kizuri Tanzania kimebaki Zanzibar tu lakini elimu yao ni ileile kama ya Bara. Huwezi kumfundisha mtu lughà yako kama hujui lughà yake.
 
JPM anazungumza Kiswahili kibovu cha kuungaunga. Je, tumuweke katika kundi gani?
 
Ukweli ni kwamba watanzania wengi hatujui kiingereza fasaha. Iwe tumesoma au hatujasoma. Na jambo hili linatunyima kujiamini na kukubalika. Kiulimwengu ni kuwa, lugha ya kiingereza haiepukiki.

Sasa tusijifariji kwa kuwa tunajua kiswahili. Kiswahili chetu kipo tu, haihitaji jitihada yoyote ili tujue Kiswahili. Tujipange tu, kujifunza kiingereza fasaha.
 
Mgombea Uraisi wa chama fulani alisema kuwa watanzania hawajui kingereza, hasa wanatia aibu wanapokuwa huko ughaibuni. kisha nikajiuliza; je! kiswahili chetu hiki, watanzania wote wanakifahamu kwa usanifu na usadifu wake?

kitu ambacho naamini sio kweli, yawezekana mwenyewe nikawa miongoni mwa wahanga hao. Sasa yanini kulilia kujua kingereza kwa ufasaha wakati kiswahili chenyewe tunamakosa mengi kwenye kukizungumza na kuandika. siku zote ukitaka kuwatambua wengine anza kujitambua mwenyewe. jambo jingine la kufurahisha hapa, sijawahi kusikia wazungu wakichekana ati wanaaibisha mataifa yao kwa kuongea kiswahili kibovu, mbali zaidi wengine wanakuja huku hata kingereza chenyewe hawajui, na wanafundishwa na wabongo hiyo broken.

Me nadhani wanaotucheka kwa kuongea kingereza kibovu hapa nchini na ughaibuni si wazungu bali ni sisi wenyewe. Je! kuna ulazima sana siye kujua Kingereza ili tufike Nchi ya ahadi?, Mataifa kama Uganda, Zimbabwe, Kenya n.k ambayo yasemekana yanawazungumzaji wazuri wa kingereza Wamefika Kanani?
(Nchi ya Ahadi).

Mi nadhani kheri yule mwenye Maarifa, busara na hekima, na hajui kingereza. kuliko ajuaye kingereza na akakosa vitu vitatu. kikubwa Elimu iboreshwe watu wapate Maarifa yanayoenda na wakati, na si lazima wote tujue kingereza ndio maana kuna watu wanasomea utafsri wa lugha, na Maranyingi mataifa ya Asia ya mbali wanatumia sana lugha zao hata wakiwa nje ya Nchi zao na wakalimani huhusika sana kwenye masuala yanayohusu lugha tofauti na yao.

Je! Mataifa hayo hayajapiga hatua ya kimaendeleo? Kwahiyo hili suala la kutojua kingereza Mheshimiwa aliliongelea kwa upande mmoja wa sarafu. mihemko( emotions) inatupofusha kutazama mambo yaliyo mbali zaidi.
Unajua ukiwa kiongozi ni bora husiongee kiingereza kama hukijui vizuri kuliko kuongea broken. Tz umakuta mtu wa chuo kikuu au form 6 lakini anaongea kiingereza utafikiri hakusoma kabisa. Bora mashule yasifundishe kwa hiyo lugha maana ni aibu! Husiongee kiingereza nchi za watu kama hukijui, tafuta mkalimani tu.
 
..Jpm anazungumza kiswahili kibovu cha kuungaunga. Je tumuweke ktk kundi gani?
Watu wa bara wengi wanazungumza kiswahili chaki bara, not the best na hilo linaeleweka. Sema tunaelewana na tunamuelewa Magufuli. Sema tusizungumze kiingereza wakati hatukijui vizuri.
 
Kenya na Zimbabwe ni mifano miwili ya nchi zinazonufaika sana kwa kujua lugha fasaha ya watu wengine tofauti na Tanzania iliyotelekeza lugha za kigeni na kubaki na Kiswahili cha mtaani (Creole) na Kisukuma. Kenya wanajua Kingereza kizuri na Kiswahili kizuri ndo maana walimu wengi wanaofundisha Kiswahili kote ulumwengu I wanatoka Kenya. Hata watangazaji wa Kiswahili wa Radio na Tv za Media mashughuri duniani kama vile BBC, VOA, DW, nk ni Wakenya wakiipiku TBC iliyokuwa inaongoza kutoa wafanyakazi kwenye Media hizo hata kuanzishwa kwao kulifanywa na wanafunzi wetu waliokuwa wanasoma huko zama hizo. Wajerumani hawazai Tena kwa hiyo wanapungukiwa sana Nguvukazi kwenye Viwanda vyao na kwingineko kwa hiyo
sasa wanapata toka India ambao wana elimu nzuri. Zimbabwee ni nchi mojawapo ya Afrika yenye elimu nzuri inayotambulika kimataifa ndo maana ndiyo nchi pekee inayopeleka Wauguzi (Nurses) wengi Ulaya kwa sababu Wasichana wa huko hawataki kazi kama hizo za kuvaa sare kazini. Pesa wanazorudisha nyumbani kwa ndugu zilisaidia sana kulipa mishahara ya wafanyakazi wa Serikali kwa Dollar za Marekani uchumi ilipokuwa mbaya. Nchi za Kusini mwa Afrika baada ya kupata Uhuru wao, wafanyakazi wengi Serikalini, vyuoni, hospitalini nk walikuwa Watanzania kwa sababu walikuwa wanajua Kingereza na wasomi wazuri lakini sasa hivi kama wapo ni mabaki tu maana wa sasa hawaajiriki. Kiswahili kizuri Tanzania kimebaki Zanzibar tu lakini elimu yao ni ileile kama ya Bara. Huwezi kumfundisha mtu lughà yako kama hujui lughà yake.
Kaka acha maneno hayo yanayozungumzwa na watu huko mitaani, kwa kiswahili gani Wakenya wanazungumza kuliko waTZ, na Nimefundishwa pia na walimu wa kikenya mbali na hapo Nimewahi kuishi Kenya kwa miezi kadhaa, tena hao wakenya unaosifia wanaongea kiswahili kibovu sana.
kuhusu suala kutoa Walimu wengi na Watantazaji wengi nje, si kwa sababu wao ni bora, bali kwa sera nzuri zilizopo kwenye mataifa yao katika kujitangaza, na Stutus ya Nchi.

Kwa wastani bado maisha ya watanzania yanaunafuu kuliko ya watu wa hayo mataifa uliyotaja.
Sisi sio maskini kwa kuikataa English bali tu, ni matokeo ya uvivu wa kufikiri, lakini mifumo iliyopo mibovu na aina ya makuzi na malezi tunayowapa watu wetu.
Mataifa huendelea kwa Maarifa, Hekima na Busara walizonazo watu wa Taifa husika, kutokujua lugha ya nje sio kikwazo kikubwa cha kutoendelea. bali kukosa Hekima, Busara na Maarifa ndi sababu ya umasikini.
 
Haya maneno sio exact copy ya alichosema, ila mi nlikua naulizia kama kuna mwenye hii clip. Inaonekana ameyaongea baada ya kurudi nchini juzi juzi hapa.

"Kama mlisubiri miaka mitatu hamkuendesha kesi yangu, wakati nipo kwenye matibabu, basi hamuezi kushindwa kusubiri miezi mitatu hii ya uchaguzi alafu mniite mahakamani" Lissu akaongezea kwamba
"Jiwe waulize polisi wako mle ndani nnachowafanya, jasho hua linawatoka"
 
Maneno si tayari unayo jirecord mwenyewe halafu usikilize.
 
Back
Top Bottom