Walizoea siasa za personal attacks enzi za Kikwete sasa watanzania wamekomaa politically wanataka sera sio umbeya wa kuongelea mtuShida ya lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Magu hafai kwa lipo?. Yeye anafaa kwa lipi?. Kazi kulalama tu, huyu jamaa hafai kuwa Rais.Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Ha ha ha dude halita anguka leo wala kesho. Wacha wapambe.[emoji848]View attachment 1564078
Pesa ya kampeni imekata halafu mahudhurio ya mtwara na Zanzibar na Dar yamemkatisha tamaa sanaHakuna jipya Lissu hana pesa ya kampain analialia tu
Utakuwa kiziwi, au una akili ndogo wewe ndie huwezi kuchambua mambo.Lissu hawezi kuchambua au kueleza mambo pasina kulaumu au kumshambulia mtu,hivyo ndivyo alivyo na uzuri au ubaya kuna watu wanapenda hiyo hali ya kusikia malalamiko muda wote kuliko kusikia ni nini kifanyike.
Muulize Mange kimambi mmarekani mpare yake yaliishia wapi?NAWASHAURI ASHIRIKIANE NA DIASPORA WAUNDE JESHI LA MSITUNI ILI WAJE NA OPERATION "OKOA DEMOKRASIA YETU" WAPAMBANE ILI WATANGAZWE WASHINDI!!!!!
Hyo picha mbona ni logical? Ina maana kwamba something is better than nothing, hta umasikini hauondoki siku moja ila ni process ya jitihada ndogo ndogo zinazaa matunda baadae.[emoji848]View attachment 1564078
Better late than never , kama na wewe unakiri hadharani kwamba Magufuli hafai basi kampeni zetu zimefanikiwa sana ! ondoa shaka kuhusu atakachofanya Lissu , huyu ataondoa utumwa na utekaji , ataleta uhuru kamili na kuhakikisha haki kwa kila mtuShida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Kuna tofaut kubwa sana kati ya "Wewe kutosikiliza au kufuatilia hotuba zake, wewe kutokujua chochote kuhusu ilani ya chadema" vs Kilichopo kwenye ilani na sera anazonadiShida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Ningekuwa kiziwi nisingekuwa namsikia muda wote akiutumia kulalamika na kushambulia watu.Utakuwa kiziwi.
Usimpangie cha kusema kila wakati!Leo anasema haya,kesho kasikikize atasema yapi!Acha ujinga, kwa hiyo anayotaka kutuambia atafanya nini yameisha? Kwani akisema kila siku atatufanyia nini shida iko wapi?
Huyu anaanza kupotea, arudishwe kwa nguvu kwenye mstari
Katika yote aliyosema hapo wewe umeona tu mguu?Hana jipya. Mguu haukunji so what?
Sema masikio yako yako active kusikia hayo!Mengine yanareject!Ningekuwa kiziwi nisingekuwa namsikia muda wote akiutumia kulalamika na kushambulia watu.
TBC wameshafanya maridhiano na CHADEMA kama hawatekelzi waliyokubaliana ni juu ya TBC sababu wao ndo vigeugeu.Aliyewafukuza TBC ndiye yuleyule analilia TBC warudi? Kweli vituko havina jina
Na kutofaa kwa Magufuli hakumpi yeye nafasi ya kuwa rais maana wapiga kura tunaweza pia kuwa tunamuona kuwa hatufai!Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi