Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Labda uko KUZIMU ndio mana haujamsikia akisema atafanya nini
Iikiwa atachaguliwa
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Aisee bas utakua na mtinddio wa ubongo.....au unataka aongee ya kwako....dah alaf sikujua km ndo kibwengu wa lumumba.
 
Moja ya tatizo ya awamu hii ni kuwa na matetez yasiyo na akili kama hili limama maana linaandika pumba
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Uko sahihi sasa akichaguliwa uwa amiri jeshi? Atakuwa amiri jeshi gani mkuu ambaye hata kukimbia hawezi? Mguu haukunjuki?
Kiafya Tundu Lissu yuko imara zaidi kuliko Magufuli ndo maana ameweza kufanya kampeini sehemu kubwa ya nchi yetu ndani ya siku 10 tu na hiyo baada ya kuzunguka nchi kutafuta Wadhamini. Pamoja na kupiga Push Up mwaka 2015, Magufuli angefanya hivyo hatua kwa hatua angekuwa hayati au asingekuwa anaongea kikwenu Kisukuma bali labda Kitutsi.
 
Wanahabari wakija kwenye mikutano yao wanawatimua, anataka coverage itoke wapi?

Halafu anaitwa Wahariri kulalamika hakuna la maana analiongea, mguu haukunji sisi haituhusu apambane na hali yake.

Magufuli anaendelea na kampeni Mkoa kwa Mkoa, Wilaya kwa Wilaya, Kijiji kwa Kijiji, na Kitongoji kwa Kitongoji.
 
Yawezekana Tundu Lissu 'kasahau' kuwa Media yote ya Tanzania na hasa hasa kupitia tu 'Wahariri' na 'Wamiliki' wapo Mfukoni mwa Dkt. H Abbas.
Amesema ataajiri na umeona tayari Ajira zimeanza kutangazwa au hujasikia??
 
Aliyewafukuza TBC ndiye yuleyule analilia TBC warudi? Kweli vituko havina jina
Inawezekana vituko havina jina mpaka ufunguke macho yako ndipo uone jina. Lakini nakuambia haya yote yanafanyika ni kwasababu wapo kwenye dola.
 
tuheshimu maamuzi ya tume ya uchaguzi kwani ni chombo kilicho wekwa kisheria.
na mwaka huu 2020 tume inajitahidi sana kufanya kazi zake kwa uwazi na uadilifu mkubwa, hongereni tume
 
Rubbish
 
hata atakayoongea nao hawaezi kwenda kuandika kwani wanaogopa vitisho, visa na kubambikiziwa kesi .
 
Sema masikio yako yako active kusikia hayo!Mengine yanareject!
Unadhani kilichomfanya JPM kutangaza ajira 13,000 haraka haraka ni nini?Poyoyo wew!
Tigershark ukuje huku unisaidie threads zangu zinapotezwa na sababu sipewi au na Mimi nianze kuwaunga mkono wapinzani?
 
Uzuri wa jamaa c mnafki nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe!
 
Hakuwa hata na haja sana ya kuongea na hai waandishi wanafiki , waoga , vipenyo , mbona Kaba hajaongea nao ikutano yake inajaa pomoni
 
ukiweka ushahiudi wa unachosema nipigwe ban.
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi

UHURU,HAKI,NA MAENDELEO
au tukutolee notice kabisa ukajisomee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…