Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi

Inaelekea umeweka pamba masikioni. Amezungumzia Tume Huru, mahusiano na nchi za nje, Katiba mpya itakayompa Uhuru na Haki zaidi mwananchi, kusuka upya mifuko ya pensheni na kuhakikisha pensheni inalipwa pale mtu anapostaafu na sio kusubiri hadi atimize miaka 60, vitambulisho vya ujasiriamali, kuheshimu haki za wafanyabiashara n.k. Labda kwa vile amejikita zaidi katika kurekebisha ( anavyoona yeye) mifumo yetu ya utawala na uongozi na sio kwenye mali ndio maana unaona hajasema kitu.

Amandla...
 
> Mimi nimelala Segerea mara nyingi na naweza kukwambia kuwa watu wengi waliopo gerezani ni kwasababu ya umaskini wao. Wameshindwa kuhonga mapolisi na mahakimu!

#UhuruHAKInaMaendeleo

#NIYEYE #LISSURAIS2020 ✌🏽✌🏽✌🏽
 
Walizoea siasa za personal attacks enzi za Kikwete sasa watanzania wamekomaa politically wanataka sera sio umbeya wa kuongelea mtu

Halafu ona anaongea vitu Ushahidi hana anasema Magufuli anataka kuongeza miaka 10!!! HIVI kweli kuna chombo chochote cha habari anategemea kiandike huo ujinga?

Hawaandikwi wala kutangazwa sababu ya matamshi yao wenyewe yako chini ya kiwango na kinyume cha sheria
2015 JPM alikuwa anazungumzia Tanzania ya viwanda na Push up juu,aliandika atanunua ndege yeye Kama yeye?Atajenga uwanja wa ndege Chato?Burigi je?
 
Eti askari, usalama wa Taifa na watumishi wote hawako upande wetu lakini watanzania wako tiari kwa mabadiliko, anamaanisha hao alowataja sio watanzania?

Waandishi wa habari na vyombo vya habari kwa ujumla sio kwamba wanaogopa, vyombo haviogopi, ni vile tu wameamua kutokuwa wanafiki, nani wa kuunga mkono msaliti na anayejitangazia uhaini?!!! [emoji1787][emoji1787]
Majoga hayo
Vyombo vya habari kanjanja kutwa kujipendekeza.
 
ukiweka ushahiudi wa unachosema nipigwe ban.
Angalia mkutano wake wa shinyanga tu imo YouTube alipotukana mgambo ya majeshi pia ipo ya yeye Mbowe na Lema na Sugu na Msigwa nashindwa tu ku attach
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
Kama ameulizwa kwa nini asijibu ? Halafu hujasikia ahadi zake kwenye kampeni ?
 
Mkuu, mbona kishaongea mara nyingi tu.

Bima ya afya kwa kila mtanzania, haki kwa wanfanyakazi na wafanyabiashara, kuimarisha kilimo na kuwapa uhuru wakulima kutafuta masoko yao wenyewe, kuimarisha miundombinu. sekta za Madini na gas kuimarishwa na kuwanemesha wakazi wa maeneo kwanza nk. n.k.

Tofauti ni kuwa JPM yeye anaongelea specifics ... nitajenga barabara ya Nyahungwe, daraja fulani n.k
Well said
 
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi

Hata kwenye mkutano huo kaongea atafanya nini, wewe sijui huwa husikilizi? Au ndio kichwa maji?
 
Ya Mwanza ya mkutano wa Magufuli ulikuwa usanii mtupu.

Zaidi ya 60% ya waliohudhuria walikuwa wanafunzi. Na kama 20% walikuwa wananzengo waliosumbwa kwa malori. Watu wa mjini Mwanza, wengi wao hawakuwa na habari na huo mkutano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu anajua kuliko wewe ndio maana kakata tamaa
 
Pesa ya kampeni imekata halafu mahudhurio ya mtwara na Zanzibar na Dar yamemkatisha tamaa sana

Na alichoona ya Mwanza ya Magufuli kajiona hamna kitu
Mwanza niliona vitoto vya chekechea tu
 
Achana naye zero brain hilo, mpaka CCM wanaiga suala la bima yeye hajasikia anaskiliza nini
CCM wana ilani inayoandaliwa mwaka kabla ya uchaguzi na sio yenu inayoandalia mwanzoni mwa uchaguzi.
 
Kasema kweli, kama jiwe mwenyewe anasema ana PhD kiingereza ni mgogoro, ndio itakuwa hao majaji?
PhD si ya kemia.

Unajua sheria ni lugha sana sana tena lugha yenyewe ni English
 
Maneno ya Lisu ni magumu na mazito mno kuyasikiliza!!Yanatia uchungu sana! NAWAAHIDI MIMI NA FAMILIA YANGU NITAMPIGIA KURA! LAKINI BARABARANI SITOINGIA!..
Diaspora wenye akiri wanaunga mkono serikari, wale ambao hawana akiri na ambao huku maisha yamewashinda na kule yamewashida ndo wanamuunga mkono.

Pia ukumbuke tanzania hakuna pori ambalo utaishi bila kufurushwa. Hata ngurumo na kigogo wamechoka, maana hakuna matumaini ya kuwepo tena tz kwa mgongo wa Tundu Lissu na kwa sasa wanajaribu kuona namna gani watapamnana na maisha yao.
 
Hizo ni Rushwa na siyo specificality yoyote,RUSHWA ya vitu vinavyopaswa kuwa kwenye bajeti na siyo kwenye ilani mnayodai ndimo kuna sera.

Hamjitambui,mnalikoroga kila mkifungua vinywa mbele ya vipaza sauti. Mfano wa haya ni huu mtindo wa kuburudisha watu wenye njaa kwa muziki mnene.

Wasanii hao hao mnaowatumia ndio wale wale mliowafungia kazi zao,wengine mliwateka nk......
Mkuu, mbona kishaongea mara nyingi tu.
 
Atamuoa mkeo
Shida ya Lissu hasemi yeye kama yeye atafanya mambo gani makubwa, tushajua magu hafai. Sasa yeye aache kila siku kumzungumzia magu badala yake aseme yeye kama yeye atafanya yapi
 
Back
Top Bottom