Polepole hata akiwa peke yake bafuni humuimba Lisu kapagawa juu ya Lisu tokea ale njama za kumuua kwa kumtuma Bashite kwenda Dodoma akafeli kumuua, hii humchanganyaAnza na kumwambia pole pole akiwa kwenye press zake aongee mambo ya ccm tu
Kwa sugu napo alichemshapale Morogoro kumuuliza yule mama apanuliwe wapi alichemsha sana
Mjomba hakuwa amejiandaa kwa kampeni hizi. Alitegemea ni yale wateuzi wake waliyomdanganya kuwa mzee kazi umeimaliza subiri kuapushwa.Ila lissu amejijengea legacy kubwa Sana duniani. Bila lisu kampeni hazinogi
Magufuli akishinda huu uchaguzi itakuwa ni ajabu la nane la dunia.Mjomba hakuwa amejiandaa kwa kampeni hizi. Alitegemea ni yale ware uzi wake waliyomdanganya kuwa mzee kazi umeimaliza subiri kuapushwa.
CCM wanatulazimisha turudi kwenye stone age wakati tumeshaiona njia ya digital era.Ila lissu amejijengea legacy kubwa Sana duniani. Bila lisu kampeni hazinogi
Magufuli akishinda huu uchaguzi itakuwa ni ajabu la nane la dunia.
Ni huku jukwaa la siasa tu. I’mUongozi wa jamiiforums unachuja maudhui yetu. Ukituma post unakuja ujumbe wenye maandishi mekundu.
Nyie mtasikilizwa badaaaae sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]View attachment 1597333View attachment 1597333Na wanawake weusi tuna haki
Yaani alivyo na sura mbaya maana yake kura ni zero. Mke wangu ni beautful black hivyo atakuwa na jambo lake tarehe 28 October. Na ataungwa mkono na familiaMbeya msimpe kura Tulia, hatosikilizwa na boss wake kwa ajili ya rangi yake kama lami.
Kiki kivipi? Acha ushamba wako Ubaguzi wa magufuli na kiki wapi na wapi?Hivi kwa akili zenu! Ni kwamba JPM alimaanisha hivyo mnavyotafsiri ninyi? Tuambieni kwenye serikali ya JPM wamejaa wanawake weupe?? Mwambieni aache viroja na kutafuta kiki kwa JPM ajikite kwenye sera !
Point. Menejs ya kampeni na Katibu wa chama chake take note. Toka adhalilidhe wanawake weusi tumbo.lilivurugika. Mke wangu atakuwa na jambo tarehe 28 na familia itamuunga mkono.# Black Women Matters.Mlio karibu na rais mtarajiwa Lissu, mkumbusheni azingatie kuomba kura za wana CCM na vyama vingine
Pia nampongeza Mh. Lissu kwa kuweza kum-adress rais kwa staha zaidi
*kura za wana CCM, ACT na vyama vyote, dini zote, kura za askari, watumishi na zaidi KURA ZA WANAWAKE wote WEUSI
Mda huu wa kampeni hakuna utani wa kishamba shamba namna hiyoNi utani tu?!Magufuli siyo raia wa kawaida.Magufuli ni Rais wa nchi.Kila analofanya na kuongea linafuatiliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti pamoja na mashirika tofauti tofauti na kutafsiriwa tofauti tofauti kwa namna yake yenye athari kwa nchi yetu ya Tanzania.Kila analofanya na kuongea linawakilisha Watanzania walivyo.
Utani wa Rais unatakiwa kuwa tofauti na utani wa mtu wa kawaida.Utani wa Rais unatakiwa kuwa na vimelea vya kujenga nchi zaidi na siyo vimelea vya kubomoa nchi na ubaguzi.Magufuli pamoja na ninyi watu wake hamuyajui yote hayo.Magufuli hajui yote hayo kwa sababu ni country bumpkin.
Utani wa kishamba shamba kipindi hik hauna nafasiHuenda anazungumzia kwa utani maana wasukuma na wazaramo watu wa pwani ni watani, na matamko yote aliyatoa akiwa mikoa ya ukanda wa Pwani, ni utani utamaduni wetu wa tz
#Black Women Matters#October 28Maelezo mareefu ! Unafikili sijui hayo! Naomba unijibu hilo swali nililouliza kwanza!.
#BlackWomenMatters#October28JPM anaamini katika uzuri tena weupe, hata malikia Ester alienda kwa mfalme akiwa wakupendeza Sasa janamke jeusi ti Kama mkaa na bayaa hata likija kuomba kitu unajiuliza kwanini halijaishia ngazi za chini huko? Haaa! Nipo natania tu.
Cheusi dawaView attachment 1597333View attachment 1597333Na wanawake weusi tuna haki
BlackWomenMatters#October28Wanawake weusi wote kura zetu kwa Tundu Lissu