Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Watu timamu hawaandaliwi kwa vipande vya fedha wanajiandaa kwa kutenda mambo yao kwa usahihi ili wakubalike kwa wapiga kura siku wakitoa sera zao.Huyo Mbowe kama aliwaandaa wapiga kura basi si mwanademokrasia wa kweli.
Ahaaaaaaa vijana pungeni muhemko,,,uchaguzi ni maandalizi ,,Lowassa hakupata zile kura kwa kubahatisha,,alianza kujiandaaa toka 2010 ndo maana alipanga safu yake ya viongozi ndani ya CCM,,,ingekuwa kuna kupigiwa kura Lowassa angempiga Magufuli mapema sana,,,,
 

Hata jamii forum Lissu anaongoza
 

Lissu anaongoza hata kwenye mkutano mkuu. Mbowe atapigwa fimbo.
 

Lissu ahami tupo naye.
 
Hiyo hiyo ya Twitter ni jamii nayo, kumbuka kwenye poll wamepiga kura watu 10K hayo siyo kidogo wana effect kubwa sn
Hawana effect km Lisu ataendelea kubaki chadema, wana effect akiamua kuhama chadema na kujiunga na chama kingine au hata kuanzisha chama!
 
Sawa jamiii lakini siyo wajumbe wa mkutano mkuu,,,alaf jamii ipi hiyo?twitter au

Kwa hivyo Wajumbe wa mkutano mkuu sio Jamii?. Mbowe akishinda basi ni Kwa msaada wa Abdul na sio wajumbe wa mkutano Mkuu
 
I second you.Naunga mkono.
 
..sasa huo ni wendawazimu, ndio maana hakuna mtu mwenye akili sawa sawa anaweza amini upuuzi wenu na kele mnazopiga!

Kwanini unalazimisha Lissu ahame?. Yani nyie uenyekiti ni wa Mbowe tu?. Mara hii mtahama nyie na Mbowe wenu.
 
Kwanini unalazimisha Lissu ahame?. Yani nyie uenyekiti ni wa Mbowe tu?. Mara hii mtahama nyie na Mbowe wenu.
..hakuna mtu anapenda kukaa mahali hatakiwi, yeye ana watu wengi nje ya chadema..ya nini kubaki asikotakiwa? Mbowe hawezi kuhama, na sababu unazijua! kati yao mwenye best option ya kuhama ni lisu, vinginevyo hao tiss wanaowalipa mpige kelele hapa wana lao jambo!
 
Ni ujinga kufuatilia kura za maoni mtandaoni badala ya Katiba ya CHADEMA.

Watoa manoni yawezekana hakuna hata mmoja ambaye ni mwanachama wa CHADEMA. NA akiwa mwanachama utakuta siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa CDM ambao ndiyo wapiga kura.

Kwa taarifa yako FAM anashinda kiti cha UWENYEKITI kwa kura 70%, kukingali asubuhi na mapema
 
Mitandaoni kuna mtu mmoja unakuta ana ID zaidi ya 100 kwenye mtandao mmoja uwe jamii forums nk

Mitandao sio kipimo kizuri

Kipimo kizuri ni sanduku la kura sio mitandao

Ingekuwa mitandao ndio inaamua CCM tungeshafungishwa virago siku nyingi mno

Sanduku la kura ndio muamuzi wa uhakika sio mitandao

Mbowe mitano tena sanduku la kura
 
Kwa hivyo Wajumbe wa kamati Kuu wanaishi Sayari ya Mars? Acheni uongo. Mbowe Hana chake.
Nyie ni washabiki tu
Washabiki hua wana kelele sana na maneno maneno,kama wanawake wavaa madera wanaoshinda mabarazani 😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…