Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo..
umeandika kwa hisia na bashasha kali mno. kuna watu wanateseka sana na muandiko wako
 
Huu uchaguzi unamtosha kabisa kuchanganyikiwa na Ile sonona yake risasi tumuachie mbowe na dereva wa lisu
Mmeshindwa kumkamata Ndugai ahojiwe, mnakwepa eti Mbowe mkamateni sasa, hamuwezi maanake ilikuwa ni "State Sponsored Thuggery".

Halafu mue mnaandika lugha za kueleweka sasa sonona ndio nini, hata kama ndio shule za kata hizo.!
 
Kwani ninyi migomba mnapokusanyika huwa mnavaa barakoa?
Hivi nyi kwa nn mnakua Kama nyumbu?
Mgombea wenu anasemakuna corona,nyinyi hamchukui Wala hamtaki kufata kanuni za afya.

Ndo Mana mnaonekana wahuni na wabwatukaji sana
 
Unaweza kuta huyu jamaa ni kiongozi wa ccm !
Mimi sina shida kama Lisu na Chadema muneamua kuwaibia wa marekani na ulaya mtajiua

Lakini waibieni kwa kutumia common sense pia!!; Ulaya Marekani na Afrika hatuna vijiji viko so populated na kuwa na population kubwa kama hiyo mliyoweka.

My call to Amsterdam and Company Ltd whether you are in Europe or America mind your wallets the bus you are in has a lot of thieves lead by chief bus conductor Tundu Lisu
 
Lisu na Chadema hiyo nyomi hamuwezi mdanganya yeyote kwenye hii dunia kuwa ni wanakijiji wa kijiji kimoja !! Hats waxungu mliozoea kuwalaghai hiyo nyomi hawawezi ikubali kuwa ya kijiji kimoja cha kwa Lisu!!! Huo uongo umekula kwenu
 
Natamani nikutandike ngumi moja matata ya kisogoni. Huwezi kuwa mchawi kiasi.
OK Americans and Europeans Mind your wallets In Africa we don't have any village that has a population that Lisu trays to portray to you to steal your money
 
Lisu na Chadema hiyo nyomi hamuwezi mdanganya yeyote kwenye hii dunia kuwa ni wanakijiji wa kijiji kimoja !! Hats waxungu mliozoea kuwalaghai hiyo nyomi hawawezi ikubali kuwa ya kijiji kimoja cha kwa Lisu!!! Huo uongo umekula kwenu
Hii nyomi unaiyona.
 
Wameenda kushangaa mpigwa risasi!!!!!
 
Cyprian Musiba na le mutuz wanatembea na sumu ya kumwekea Tundu lisu kwa mnaokaa huko Dsm mkiwaona wazomeeni kwa nguvu waache ushetani wao
LeMutuz, kwa jinsi mama yake wa kambo na Dada yake walivyozalilishwa awamu hii na Yohana.... Bado tu ana mapenzi na CCM. Kweli akili ni nywele.
 
Your browser is not able to display this video.

Kusema kweli Mh. Tundu Lissu unawabamiza mno watu fulani hadi wanashindwa kupumua, itabidi ulegeze kidogo spana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…