Tundu Lissu apata passport mpya, amshukuru Rais Samia, kurudi Nchini


..Lissu hakumtukana Raisi.

..Lissu angekuwa amemtukana, Raisi asingekubali kuwa na mazungumzo naye alipokuwa Ubelgiji.
 
Kama kuna ovu litafanywa na Rais Samia, lazima wanaomzunguka, watu kama Mwigulu, ndio watakaokuwa wamemsababishia. Lakini Rais Samia, kwa kilicho.moyoni mwake, sitarajii ana dhamira ya kuwafanyia uovu Watanzania, kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
 
Yaani Kila upande mama anapewa shukrani.
SSH2025
 
Reactions: Tui
Ndg.Tundu Lissu hatomsahau mh.SSH maisha yake yote.....

Bila ya mh.rais SSH asingepata STAHIKI ZAKE ZOTE ZA UBUNGE ....

#Siempre SSH 🙏
Asante muda kwa kutuondolea yule mwendazake
 
Barikiwa
 
Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya yenye Upendo na Umoja.
Ninaiona Serikali ya umoja wa kitaifa 2025+..

Mama songa mbele, tuko pamoja. 💯💯
 


Tatizo lenu ni kuongezea watu maneno kama haya

“Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya yenye Upendo na Umoja.”

Mnafikiri mnasaidia lakini mkiongeza chumvi hata yake ya ukweli yanainekana ya uongo!
 
Watanzania tunatakiwa kutubu tulifanya kosa kubwa sana kuwapatia wanyarwanda nchi yetu ambao wamezoea kuua na kumwaga damu.
 
Maana yake baadhi ya mapendekezo aliyotoa Lissu kwa Samia walipokutana Belgium yameanza kufanyiwa kazi.

- Mbowe kaachiwa bila masharti.

- Passport.

Then.

- Kuruhusu mikutano ya siasa bila kanuni mpya, sheria ipo ifuatwe.

- Katiba Mpya.
Na pia amelipwa madai yake yote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mi naona kama the opposite is true. Kuna mbinu nyingi sana za kumuua mmbu. Mama is very Krafty. Ila kwa muda Wangu mdogo hapa JF. Wenye kutafuta kazi unawajua ila sio CCM.
Thubutu! Ccm wako 100 kazi zipo20 kwanini wasitafute? Mnyukano upo kugombea hizo 20 ndiomaana kila mtu anaropoka lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…