Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Siasa hizo ndo asili yenu
Mliozoea siasa za chuki za kulipwa tafuteni kazi nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliozoea siasa za chuki za kulipwa tafuteni kazi nyingine
Wengine huwa tunaamini Una akili timamu, usitufanye tufikiri kinyume chake.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Kwani upinzani ni Nini....?Aiseee upinzani kwishney
Afadhali mama Samia hata akiua upinzani kwa njia hii nzuri ya kusikiliza kero za wapinzani nakuzitatua ni nzuri sana kuliko bwana yule aliyeamini upinzani ni uhaini na kutaka kuufuta kwa kumwaga damu.Aiseee upinzani kwishney
Nyie ndo wanafiki na husda roho zinawauma sana mnapoona serikali inakaa na viongozi wa chadema wanaongea lugha moja. Roho mbaya hazitawasaidia kwanini muumie kuona mbowe na lissu wanamsifia Mh. Rais?hakuna mkate mgumu mbele ya chai. wafuasi wa chadema huu ni wakati mzuri sana kujifunza namna wanavyokuwa used na watu wenye maslahi ya familia zao.
Taifa haliendelei kwa sababu tuna asilimia kubwa ya watu Kama wewe.Kwani uwepo wa majambazi ndani ya CHADEMA ndio chama chote kina mijangili?!!!
1)Yule jambawazi muiba magari Arusha ni mwanachama nguli wa CDM.....
2)Yule......ni kiongozi nguli wa CDM....
3)Jangili nanihii ni kiongozi ndani ya BAVICHA.....
Afadhali mama Samia hata akiua upinzani kwa njia hii nzuri ya kusikiliza kero za wapinzani nakuzitatua ni nzuri sana kuliko bwana yule aliyeamini upinzani ni uhaini na kutaka kuufuta kwa kumwaga damu.
Samia shika hapo hapo nchi inaenda vizuri kwa amani tele watu wamejawa na furaha na tabasamu tele kwa uongozi wako wa kumsikiliza kila mmoja bila kujali itikadi za kisiasa.
Kwani upinzani ni Nini....?
Upinzani mnaoutaka nyie ni wa Lissu kumtukana Rais si ndio? Katafuteni kazi za kufanya serikali inaongea lugha moja na wapinzani atleast for nowAiseee upinzani kwishney
Akifanya vizuri atasifiwa, akizingua anachanwa tu, hata yeye mwenyewe slogan akizinguliwa anazingua.Hazimtoshi yule, usishangae akaja na kuanza kumtukana tena.
SSH alienda kumsalimia lisu alipokuwa anatibiwa nairobi, lakini baada ya kuapishwa kuwa rais, lisu huyo huyo ndiye alikuwa wa kwanza kumbambikia majina ya kijinga, mara Magufuli wa kike, mara dikteta mwanamke!
Jamaa ni chizi mr #dishlimetilt
Umesahau Jiwe alivyomtenda meku Mbatia?Ninaiona Serikali ya umoja wa kitaifa 2025+..
Mama songa mbele, tuko pamoja. 💯💯
Upinzani mnaoutaka nyie ni wa Lissu kumtukana Rais si ndio? Katafuteni kazi za kufanya serikali inaongea lugha moja na wapinzani atleast for now
Usipotoshe umma. Kesi ya kutungwa ya Mbowe na wenzake iliasisiwa na mwendazake nabgenge lake la kina Kingai tangu 2020.JK aliwaamini na kuwalea bila kusahau kuwatetea mkamdharau na kumuita majina mengi.JPM alitumia style yenu ya ubabe ubabe bahati nzuri aliiwezea kuliko yenu mkakosa pa kuponyokea.Kwa mama Samia mnashindwa kufurukuta na hasa mlipopewa ugaidi mmenywea balaa pole yenu
Bila malumbano Bavicha wanakuwa hawana kazi!Upinzani mnaoutaka nyie ni wa Lissu kumtukana Rais si ndio? Katafuteni kazi za kufanya serikali inaongea lugha moja na wapinzani atleast for now
Usipotoshe umma. Kesi ya kutungwa ya Mbowe na wenzake iliasisiwa na mwendazake nabgenge lake la kina Kingai tangu 2020.
Makomandoo walikuwa mahabusu tangu 2020 ila wakawa wanamlia tuming Mbowe ikiwa ataendeleza harakati za katiba mpya wamkamate ila akitulia waachane naye.
Samia ni mama mshika dini mzuri hataki uonevu usio na tija kwa wananchi kama wa bwana yuuule.
Halafu mimi wala sio CHADEMA kama unavyodhani bali mpenda haki wa kawaida kabisa. Yeyote anayetendewa haki nafurahi bila kujali itikadi yake.
Kusema vile ni kwasababu alikuwa aidha misinformed kwa maksudi ama bahati mbaya ndo maana alivyogundua ukweli akafanya uamuzi wa busara kabisa.Ndo utetezi wenu huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]so JPam ndo alienda BBC kutangaza ugaidi na kusema jamaa alikua amekimbilia nje kuogopa kukamatwa . Pole zenu wakuu
Usikane chama chako mkuu.Jiamini
Kusema vile ni kwasababu alikuwa aidha misinformed kwa maksudi ama bahati mbaya ndo maana alivyogundua ukweli akafanya uamuzi wa busara kabisa.
Siwezi kukana chama endapo ningekuwa mwanachama wa chama hicho. Kwasababu kuwa mwanachama wa chama chochote sio dhambi hata.
Katafuteni shughuli nyingine serikali kwa sasa inaongea lugha moja na wapinzani .Si ndio asili yenu kushupaza shingo