Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,896
Duh.Endapo TAL atashinda hiyo tuzo, tutakuwa na washindi bora wawili kwa miaka miwili mfululizo... DICTATOR bora wa 2025 na NOBLE 2026
Noma sana.
Duh.Endapo TAL atashinda hiyo tuzo, tutakuwa na washindi bora wawili kwa miaka miwili mfululizo... DICTATOR bora wa 2025 na NOBLE 2026
Ninavyojua mimi wazaramo wandengereko na wamakonde wenye akili ni wa kuhesabu.Kwanini ni TUZO YA AMANI badala ya TUZO YA HAKI? Nyie mnasema ni wapigania haki sio amani?
Zote anachukua ya Amani na ya haki, ila tuzo ya udikteta bora mama yenu atachukua.Kwanini ni TUZO YA AMANI badala ya TUZO YA HAKI? Nyie mnasema ni wapigania haki sio amani?
Hakuna shida kabisa, mama ameupiga mwingi mnooo kwa maana amewekwa pamoja na powerful leaders kama Trump, Netanyahu, Erdogan, Putin nk. Hao ni global powers hivyo ni ushahidi wa wazi kuwa mama anaipeleka nchi katika kundi hilo very soon. Maua kwake tafadhali.Zote anachukua ya Amani na ya haki, ila tuzo ya udikteta bora mama yenu atachukua.
Hakika mkuu, Anapambania sana haki ya wanyonge.Lazima aipate
BitchHakuna shida kabisa, mama ameupiga mwingi mnooo kwa maana amewekwa pamoja na powerful leaders kama Trump, Netanyahu, Erdogan, Putin nk. Hao ni global powers hivyo ni ushahidi wa wazi kuwa mama anaipeleka nchi katika kundi hilo very soon. Maua kwake tafadhali.
Ni Tuzo ya aibu kwa MwanamkeSamuya amependekezwa kwenye tuzo ya dikteta wa mwaka 2025. Nimeshamtikia tayari.
Meza wembeKumbe mambo ya Ramli😁😁😁
Aliyeshinda tuzo ya noble ya amani mwaka huu alikua mwanasiasa tena wa chama cha upinzani, Venezuela.Ukifuatilia wapewa tuzo hiyo kwa miaka ya hivi karibuni utagundua shida iliyopo kwenye vichwa vya watanzania wanaojiita wasomi.
Nini kinaendelea huko Venezuela? Fuatilia miaka ya nyuma tenaAliyeshinda tuzo ya noble ya amani mwaka huu alikua mwanasiasa tena wa chama cha upinzani, Venezuela.
Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu.
Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa kupendekezwa.
Believe me Kwa yaliyomkuta Lissu, yeye ndo atashinda iyo tuzo 2026. Anae bisha tukutane mwakani.
Aione
Samia
Nassoro KatugaView attachment 3521651