Hiyo inatolewa wapi??Kwanini ni TUZO YA AMANI badala ya TUZO YA HAKI? Nyie mnasema ni wapigania haki sio amani?
Hiyo inatolewa wapi??Kwanini ni TUZO YA AMANI badala ya TUZO YA HAKI? Nyie mnasema ni wapigania haki sio amani?
Mh!Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu.
Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa kupendekezwa.
Believe me Kwa yaliyomkuta Lissu, yeye ndo atashinda iyo tuzo 2026. Anae bisha tukutane mwakani.
Aione
Samia
Nassoro KatugaView attachment 3521651
Haki automatically huleta amani.Kwanini ni TUZO YA AMANI badala ya TUZO YA HAKI? Nyie mnasema ni wapigania haki sio amani?
PoleHongera kwa Lissu,
Naomba kufahamishwa hapa,anaye nominate ni nani ili mtu aingie katika ushindani?
Hii inahitaji kujengewa hoja nzito kwa nini Tundu Antipas Lissu ni mpendekezwa sahihi wa tuzo hiyo.Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu.
Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa kupendekezwa.
Believe me Kwa yaliyomkuta Lissu, yeye ndo atashinda iyo tuzo 2026. Anae bisha tukutane mwakani.
Aione
Samia
Nassoro KatugaView attachment 3521651
Kwa kweli huyo bibi wakimnyima tuzo ya kuwa butcher of the year, watakuwa wamemdhulumu.Tundu akiwin Nobel Peace Award na Maza akawin ile ya Madikteta Tanzania itakuwa imeweka record ambayo itakuwa ngumu sana kuivunja.
Not always. Haki ni selective na relativityHaki automatically huleta amani.
Hilo unajua ww.Not always. Haki ni selective na relativity
Yes, tena zinabadilika day after day. Ulaya sasa hivi madai yao ya haki ni ushoga na kutukana. Je, hizo haki ni jumuishi kwa wengine?Hilo unajua ww.
We nguruwe tuliaKwanini ni TUZO YA AMANI badala ya TUZO YA HAKI? Nyie mnasema ni wapigania haki sio amani?
then?Endapo TAL atashinda hiyo tuzo, tutakuwa na washindi bora wawili kwa miaka miwili mfululizo... DICTATOR bora wa 2025 na NOBLE 2026
Sawa Nyumbu wa JF, vipi nyumbu wenzako wa Serengeti wanaendeleaje nao?We nguruwe tulia
Aisee atapandisha mashetani yote ya visiwaniNilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu.
Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa kupendekezwa.
Believe me Kwa yaliyomkuta Lissu, yeye ndo atashinda iyo tuzo 2026. Anae bisha tukutane mwakani.
Aione
Samia
Nassoro KatugaView attachment 3521651
Mimi nikiongelea haki naongelea hapa Tanzania. Sina popote nadai haki za ulaya.Yes, tena zinabadilika day after day. Ulaya sasa hivi madai yao ya haki ni ushoga na kutukana. Je, hizo haki ni jumuishi kwa wengine?
Hukohuko Tanzania kuna wadai haki ya ushoga piaMimi nikiongelea haki naongelea hapa Tanzania. Sina popote nadai haki za ulaya.
Wataje wanaodai haki ya ushoga Tanzania.Hukohuko Tanzania kuna wadai haki ya ushoga pia