Tundu Lissu apinga uamuzi wa Spika kuwataka Wabunge watoro kurejesha posho na kutolipwa mshahara

Tundu Lissu apinga uamuzi wa Spika kuwataka Wabunge watoro kurejesha posho na kutolipwa mshahara

Tundu Lissu je hao wabunge walikueleza ukweli wote?

Isije ikawa hao wabunge ni wale waliokuwa wakivaa mabaibui kimyakimya na kwenda kusaini kwa mujibu wa Rwakatare.
 
Ndugai alitumia kigezo gani kuwafukuza wabunge wa viti maalum kupitia chama cha CUF? baada ya Prof Lipumba kuwafuta uanachama?
 
Corona upate wewe lumumba.

Sent using Samsung A50
 
Baada ya wewe na wenzako kushindwa kumlenga vizuri naona unaamua kujitoa kimaso maso
Lissu sacos ya Mbowe inaangamia

Hadi urudi Tanzania utakuta hadi Mbowe kashakimbia Chama

In God we Trust
 
Hahahaha... Lisu anaumia sana,!

Mpaka arudi atakuta chadema ina mbunge mmoja. Mbaya zaidi mabwana zake aliokuwa anafikiri watamsaidia wako busy ma corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Ndungai ni puppet wa Magufuli.
je katiba ya chadema inasema unaweza kufukuza wanachama wake basipo kujieleza? chadema wamepoteza msingi wa democrasia hauwezi kumfukuza Mheshimiwa ka, Mbunge kama kama housegerl hili halikubaliki. Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom