Tundu Lissu apinga uamuzi wa Spika kuwataka Wabunge watoro kurejesha posho na kutolipwa mshahara

Tundu Lissu apinga uamuzi wa Spika kuwataka Wabunge watoro kurejesha posho na kutolipwa mshahara

Moyo wa faraja unahitajika katika hiki mgonjwa chadema anapoelekea katika hatua za pumzi za mwisho!
 
Hilo liko wazi. Tatizo letu kubwa kwenye nchi yetu ni kwamba tuna Kiongozi anayeogopewa hata ktk Mihimili mingine badala ya kuheshimiwa kwa mujibu wa sheria.

Alitoa maagizo kwa Ndugai Wabunge wote waliji quarantine wasilipwe. Uoga huo kwa Mhimili unaojitegemea ndiyo inayompagawisha Ndugai na kufikia hatua ya kutamka hata yasiyofaa kutamkwa kulingana na heshima ya Kiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huvi hawa viongozi wakipewa haki ya kujieleza au kujibu mashtaka yanayo mkabili
 
Msisahau wakati ule Zitto alivyofukuzwa Chadema aliendelea kukaa bungeni. Acheni double standards Sky Eclat
Zito alikua na shauri mahakaman na kulikua na order ya ku maintains stutus quo pending determination of the matter in court

The good, the bad and the ugly.
 
Tundulisu nani alimdanganya kuwa korona ipo bungeni peke yake, na nikuulize pia he hao wabunge waliye pata korona walipatia bungeni? Na je kuchukua pesa ambazo hujazifanyia kazi ni wizi ama ni halali?

Na nikwanini basi wasubiri pesa ziingie ktk account zao ndipo wakatae kwenda kutufanyia kazi zetu tulizo watuma wakafanye,na je wabunge peke yao ndiyo Wana mioyo na so raia wengine, lakini nirudi kwenye hoja yakusema eti mpaka Mbunge amaze fomu ndipo apewe pesa.

anasahau kuwa ni utaratibu uliozoeleka wabunge kusaini posho zao kabla ya kujaza fomu na hii nikutokana na kuokoa muda iliwasikwame kimaisha mpaka watakapo sain fomu wawapo kazini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo heading tuuu hahaaaaa "jambo lakushtua" yaani nyie mafala mnashida sana sijui mmekula maharage yaliyochacha!
 

Tundu Lissu, kuhusu kanuni za kudumu za bunge na kadhalika hujui kuzitafsili! Ndiyo maana ulishindwa kesi zako za ubunge.
Hivyo kujidai unajua kuongea na matusi rejareja! Na uongo wakumsingizia raisi kama ulivyo zoea tumeisha zishutukia. Yote hayo unayoyasema nafikiri hata sheria huzijui tena. Wewe unasema hakuna makosa yaliyotendwa hatuwezi kukuamini, maana hata wakati wa ACACIA ulitumia maneno yale yale na kibwagizo chako 'NI UJINGA - NI CHA KIJINGA - NI MJINGA'! Mwisho ilijulikana unadanganya. Hicho kibwagizo chako walikitumiaga wakina Mdee, lakini siku hizi kwao ni zilipendwa. Ubebaki watu wanakushangaa.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Nakuba
Nakubaliana na wewe 100%, mwanzoni alisema hana shida na wabunge wa chadema kujiweka karantini Na hawajavunja kanuni yoyote, Mara jpm alivoingilia spika kabadilisha uamuzi.Bunge letu 100% linaendeshwa toka nje.
Remote ya bunge ipo chattle.
 
Msisahau wakati ule Zitto alivyofukuzwa Chadema aliendelea kukaa bungeni. Acheni double standards Sky Eclat
Huyu aliweka pingamizi mahakamani na siyo kwa spika. Hiki cha Ndugai ni kituko cha mwaka. Halafu tunasema tuna mwanasheria wa serikali.
 
Back
Top Bottom