Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Siku ile nilimsikia akisema nimetoa maelekezo kwa spika asiwalipe posho. Ni kituko cha mwaka kwa mkuu wa mhimili mmoja kumwamrisha mkuu wa mhimili mwingine.Remote ya bunge ipo chattle.

naunga mkono hoja.Duh...!.
P
Lakini na nyie muache mambo ya kiCCM. Kufukuzana kitoto muache. Kwa sasa kunatakiwa independent candidature iwe implemented ili kuondokana na uhanisi huu uliopetwa na CCMMaelezo yote ya Ndugui ni ya kijinga, hata yeye mwenyewe anajua kuwa anatumikia ujinga.
Hakuna mtu yeyote mwenye akili hata kidogo kabisa anayeweza kuamini kuwa huyu spika anatumia akili yoyote ile katika kauli na maamuzi yake. He is mentally dead.
Sent using Jamii Forums mobile app