Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Pascal mwenyewe aliwahi kuambiwa Mayalla kwetu ni NJAA.,hahahMkuu wanasheria isaidieni nchi kutoka hapa tulipo, viongozi wetu wameamua kuweka katiba Na sheria pembeni I'll kufurahisha nafsi zao. Wanasheria mkikaa kimya mwalisaliti taifa lenu Na mtalaaniwa Na vizazi vyenu vyote.
Lisu bora apate corona tupumzike.
Analipa fadhila za kutibiwa na sirikali ya MAGU.Ndungai ni puppet wa Magufuli.
Ndugai anajifanya yeye ni Kiongozi madhubuti kumbe wapi anapelekeshwa na Meko kama chizi vile.
Lissu sacos ya Mbowe inaangamia
Hadi urudi Tanzania utakuta hadi Mbowe kashakimbia Chama
Lissu Yuko sahihi sana, ndugai haeleweki hili sakata LA wabunge Wa chadema kuingia karantini.
Akili za Ndungai zimeshikiliwa Chato
Baada ya wewe na wenzako kushindwa kumlenga vizuri naona unaamua kujitoa kimaso maso
In God we Trust
Kakimbilia kujibu kabla ya kuletewa barua, kiuongozi alipaswa kuwa mtulivu.Spika anadai hana taarifa, it’s their word against his. Wakati wa lala salama lazima uvumilivu utumike
je katiba ya chadema inasema unaweza kufukuza wanachama wake basipo kujieleza? chadema wamepoteza msingi wa democrasia hauwezi kumfukuza Mheshimiwa ka, Mbunge kama kama housegerl hili halikubaliki. Mungu ibariki TanzaniaNdungai ni puppet wa Magufuli.
Vipi JK alihukumiwa miaka mingapi baadabya kumpleka the hague?Ndugai anatafuta pa kuingilia the Hague
In God we Trust
Ni sawa alitakiwa awe mvumilivu.Kakimbilia kujibu kabla ya kuletewa barua, kiuongozi alipaswa kuwa mtulivu.