eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Nchi hutawalika kwa kufuta sheria tu.Mama endelea kuwachekea hawa uone kama nchi itatawalika. Unaitwa na mamlaka unaleta dharau hiiiiiii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hutawalika kwa kufuta sheria tu.Mama endelea kuwachekea hawa uone kama nchi itatawalika. Unaitwa na mamlaka unaleta dharau hiiiiiii.
Huyo ana maana Lisu apigwe Tena risasi, hujamwelewa tu mbugila huyo?Mama ni nani?
Ukipuuza wito wa Polisi remedy yake ni kushtaki kwa mama yako?
Mahkma kazi yake ni kuamua na kutafsiri sheria, wewe umewahi kuona pahala Mtu amevuka na taa nyekundu barabarani kesi akaletewa mama yako?
Acha upuuzi karne ya 21!, Kesi iende mahakamani ahukumiwe kwa kupuuza amri /wito.
Naona umepanic bila sababu punguza jazba ninachomaanisha ni hicho hicho ulichoandika sema neno mama limekukasirisha bila sababu.Mama ni nani?
Ukipuuza wito wa Polisi remedy yake ni kushtaki kwa mama yako?
Mahkma kazi yake ni kuamua na kutafsiri sheria, wewe umewahi kuona pahala Mtu amevuka na taa nyekundu barabarani kesi akaletewa mama yako?
Acha upuuzi karne ya 21!, Kesi iende mahakamani ahukumiwe kwa kupuuza amri /wito, kama iyo amri /wito ulikuwa halali kwa kutotaja kosa ama sababu ya kuitiwa.
Mengine yoooote uliyoandika hayana maana sana kwangu..🤓sasa mzee Uzima Tele tuliza ball kidogo na urelax bana. Mbona barua ya polisi iko short and clear juu ya kusudi la kumwita Lisu polisi?
Hii kiburi na madharau ni ya nini na wakati haitasaidia kitu, because upelelezi Lazima ukamilike na muhisika ni yeye. Inocent person anaogopa nin kuitikia wito wa police wa kistarabu namna hii? waswahili walisema uskatae wito kataa neno na uungwana ni vitendo.
Naanza kuhisi ni mbinu binafsi ya kuendelea kupata kibali cha kudumu kuishi ughaibuni. This might be the stage za kutafuta ground then allegations za kutishiwa maisha then kukimbilia ubalozini then ✈️✈️✈️ and mission will accomplished.
Sasa ndugu Crocodiletooth, kama wanazo hizo kauli mikononi mwao na wanaona kuna makosa Kwa mujibu wa sheria fulani wanayoijua wao, si waende mahakamani na ushahidi wa matamshi hayo?Kupitia baadhi ya matamshi yake lissu yapo hadharani anastahili kuhojiwa,zipo KAULI ambazo alizitoa ambazo ni za kufedhehesha,kutweza,kuvunjia heshima viongozi wa kitaifa,zipo za kuhatarisha Amani na umoja na uchochezi pia,asiogopwe hata kidogo!
🤓 Kama sio kosa si aende tu awambie walio muita kwamba mlichoniitia sio kosa kisheria na yakaisha 😜 kubwekabweka na kiburi mingi yanini sasa.Mengine yoooote uliyoandika hayana maana sana kwangu..
Lakini nina swali moja tu kwako. You say the letter is short and clear, right?
It's very clear kwa jicho na Kwa ufahamu wa mjinga pekee asiyejua sheria na jukumu la kisheria la jeshi la polisi...
Kwa sababu ktk macho ya kisheria as far as day to day legal responsibilities of police force is concerned, basi hiyo ni karatasi ya kufungia vitumbua tu..!!
Na hebu nikumbushe, hiyo barua inataja kosa gani kweli ambalo jamaa anatuhumiwa nalo na kutakuwa kuhojiwa? Kutotumia lugha ya staha kumkosoa Rais? Kwa sheria ipi inayozungumza makosa ya "staha?"
Ngoja nikupe ufahamu na maarifa ya bure bila kunilipa ada yoyote;🤓 Kama sio kosa si aende tu awambie walio muita
Na nani anapaswa kujua hili at first place? Polisi wanaotuhumu au anayetuhumiwa? Bila shaka ni wale wanao - enforce law yaani, polisi..kwamba mlichoniitia sio kosa kisheria na yakaisha 😜 kubwekabweka na kiburi mingi yanini sasa.
Uungwana ni upi? Kuchekavna kuwa petipeti wanaokiuka na kuvunja sheria au kuwakemea na kuukataa ujinga wao?Mbona wewe na hicho unachokitetea hamna uungwana? Mtaweza kuongoza kweli?
Yaani atiwe nguvuni kwa hili hili la DP World na mkataba wa kimagungo wa Rais Samia a.k.a nani kama mama?Atatiwa nguvuni, mtapoteza muda nendarudi Mahakamani badala ya kuchanja mbuga kwa wananchi.
Not now bro!!!!
🤓😜 Sawa nashukuru kwa darasa. nimejifunza from the tone of your words naona hulka ya ubishi wa kuzaliwa na ujuaji usio na tija. Rahisi kuikuza na kuifanya ngumu kuvutia huruma. 🚶🚶Ebana sawa kwaheri pia let's wait and see what will happenNgoja nikupe ufahamu na maarifa ya bure bila kunilipa ada yoyote;
1. Nani anayeamua kuwa kitu au jambo au kauli fulani ni kosa au sio kosa? Polisi au mahakama?
2. Bila shaka polisi "wanafikiri" kuwa TL kafanya kosa. Kama ndivyo, wafuate utaratibu sahihi wa kisheria kuthibitisha fikra zao!!
Na nani anapaswa kujua hili at first place? Polisi wanaotuhumu au anayetuhumiwa? Bila shaka ni wale wanao - enforce law yaani, polisi..
Na ndugu yangu Tlaatlaah wakishajua, wanapaswa kufanya kinachotakiwa kufanya kisheria ikiwemo kufuata sheria namna ya kumtaka mtu awafuate huko polisi. Ni hivyo tu..!
Uungwana ni upi? Kuchekavna kuwa petipeti wanaokiuka na kuvunja sheria au kuwakemea na kuukataa ujinga wao?
Yaani atiwe nguvuni kwa hili hili la DP World na mkataba wa kimagungo wa Rais Samia a.k.a nani kama mama?
Bila shaka nawe utakuwa ni empty set upstairs...!!
Kwa heri..🚶🚶🚶🚶
Nimeamua nirudi ili tuzungumze...🤓😜 Sawa nashukuru kwa darasa. nimejifunza from the tone of your words naona hulka ya ubishi wa kuzaliwa na ujuaji usio na tija. Rahisi kuikuza na kuifanya ngumu kuvutia huruma. 🚶🚶Ebana sawa kwaheri pia let's wait and see what will happen
UKIITWA POLISI NENDA MARA MOJA,ASIPOENDA INAGEUKA FADHAA KWA JESHI LETU,TUTII SHERIA NA WITO BILA SHURUTI.Sasa ndugu Crocodiletooth, kama wanazo hizo kauli mikononi mwao na wanaona kuna makosa Kwa mujibu wa sheria fulani wanayoijua wao, si waende mahakamani na ushahidi wa matamshi hayo?
Polisi kwenda kufanya nini tena? Kuhojiana? Kwenda kuhojiana nini wakati una evidence tayari mkononi? Au hujui maana na sababu ya mahojiano ukiwa polisi?
With all due respect… tusipeane moyo wa keybordHili liwe fundisho kwa mamlaka, wanapoleta maigizo yao, waangalie wanamuigizia nani, sio kujikurupukia tu, huwezi kumtisha mwanasheria, kwenye jambo linalohusu sheria, kienyeji.
Lissu itakuwa baada ya kupokea ile barua akajiuliza hivi naenda pale kufanya nini? kwani sheria inasemaje? akaona ujinga huu, siendi popote.
Walishaambiwa kuna watu wakuwatisha, lakini kwa Lissu aliyeonja mpaka ladha ya risasi zao zaidi ya kumi na sita, huyu kucheza nae kunahitaji akili ya ziada, wala sio hayo maigizo yao waliyoyazoea kila wakati. Kingai aibu kwake.
🤓 Gentleman!! "Uzima Tele"Nimeamua nirudi ili tuzungumze...
1. MOSI, kwa kuanzia hebu nikushauri kitu kimoja kuwa, ili kuwa na health conversations, basi nakushuri kabla ya kuandika chochote, uwe unasoma hoja za wenzako kwanza ndo ujibu.
2. PILI, sina hakika kama ulichoandika hapa kinahusiana na nilichokiandika mimi ku - kwoti hoja yako ya awali. Hii inanifanya niamini kuwa wewe huna tabia ya kuwasikiliza au kuwasoma wenzio kwa makini ili kujua logic ya hoja zao kabla ya response yoyote. Mtu mwenye tabia hii siku zote huwa ni mtu mwenye kiburi cha kujiona au kujidhania anajua lakini ukweli ukiwa ni kinyume chake. Mimi siamini kama wewe uko hivi..!!
3. TATU, mimi siogopi kushambuliwa iwe kwa lugha kali au isiyo na staha (ili mradi isiwe matusi)...
Muhimu ni kuwa, nishambulie au nikemee vyovyote upendavyo aidha kwa kiniita mjinga au mpumbavu huku ukiwa unajibu hoja zangu. Nami nitakuthibitishia kuwa mimi si mjinga wala mpumbavu kwa hoja...
Lakini ku - attack personality ya mtu bila kujibu hoja yake mtu huyo, bila shaka nadhani huo afanyao mtu huyo itakuwa ni ujinga 100%..
MWISHO lakini si kwa umuhimu: Tuendelee na mjadala.
Na swali ni hili; Je, unadhani wito wa barua kumtaka TL kwenda kwa DCI Kingai kisheria uko sahihi?
Tukipata jibu hili ndo tutajua nani si muungwana na nani ni mbishi tu wa kuzaliwa..
Thank you commander, itikieni wito wa police kwa wema with positive mindsets mambo yaishe,Nimeamua nirudi ili tuzungumze...
1. MOSI, kwa kuanzia hebu nikushauri kitu kimoja kuwa, ili kuwa na health conversations, basi nakushuri kabla ya kuandika chochote, uwe unasoma hoja za wenzako kwanza ndo ujibu.
2. PILI, sina hakika kama ulichoandika hapa kinahusiana na nilichokiandika mimi ku - kwoti hoja yako ya awali. Hii inanifanya niamini kuwa wewe huna tabia ya kuwasikiliza au kuwasoma wenzio kwa makini ili kujua logic ya hoja zao kabla ya response yoyote. Mtu mwenye tabia hii siku zote huwa ni mtu mwenye kiburi cha kujiona au kujidhania anajua lakini ukweli ukiwa ni kinyume chake. Mimi siamini kama wewe uko hivi..!!
3. TATU, mimi siogopi kushambuliwa iwe kwa lugha kali au isiyo na staha (ili mradi isiwe matusi)...
Muhimu ni kuwa, nishambulie au nikemee vyovyote upendavyo aidha kwa kiniita mjinga au mpumbavu huku ukiwa unajibu hoja zangu. Nami nitakuthibitishia kuwa mimi si mjinga wala mpumbavu kwa hoja...
Lakini ku - attack personality ya mtu bila kujibu hoja yake mtu huyo, bila shaka nadhani huo afanyao mtu huyo itakuwa ni ujinga 100%..
MWISHO lakini si kwa umuhimu: Tuendelee na mjadala.
Na swali ni hili; Je, unadhani wito wa barua kumtaka TL kwenda kwa DCI Kingai kisheria uko sahihi?
Tukipata jibu hili ndo tutajua nani si muungwana na nani ni mbishi tu wa kuzaliwa..
Kingai alishakana kuwa sio yeye bali ni Mzanzibari Masauni!!!Hili liwe fundisho kwa mamlaka, wanapoleta maigizo yao, waangalie wanamuigizia nani, sio kujikurupukia tu, huwezi kumtisha mwanasheria, kwenye jambo linalohusu sheria, kienyeji.
Lissu itakuwa baada ya kupokea ile barua akajiuliza hivi naenda pale kufanya nini? kwani sheria inasemaje? akaona ujinga huu, siendi popote.
Walishaambiwa kuna watu wakuwatisha, lakini kwa Lissu aliyeonja mpaka ladha ya risasi zao zaidi ya kumi na sita, huyu kucheza nae kunahitaji akili ya ziada, wala sio hayo maigizo yao waliyoyazoea kila wakati. Kingai aibu kwake.
Thanx for the compliment..🤓 Gentleman!! "Uzima Tele"
Naona una kitu tena kikubwa mno, actually una fikra pevu mno. I like that.
Nyie kina nani na ni vitu gani hivyo vinavyo wachelewesha?Lets not waste time kwa vitu ambavyo vinatuchelewesha sisi wenyewe
Rudia kunisoma tena hapo☝️☝️☝️☝️juu...Thank you commander, itikieni wito wa police kwa wema with positive mindsets mambo yaishe,
Ni jambo kubwa kwako wewe Tlaatlaah..!!tusipoteze muda mwingi kufanya jamb lionekane kububwaaa, wakat kundi kubwa la waTz wanahitaji fikra mbadala za kimageuzi.
Kwa hoja ya "tunachelewesha sana waTZ", nimetoa maelezo yake Kwa kirefu hapo ☝️☝️☝️☝️juu.tunawachelewesha sana wa TZ kwa Ubinafsi na Ubishi usio na tija. Tunataka tu tuonekane na kusikika na hatimae kuhurumiwa
🤓🤝🙌🤝Thanx for the compliment..
Nyie kina nani na ni vitu gani hivyo vinavyo wachelewesha?
Sikiliza ndugu Tlaatlaah, kuwa, kufanya mambo kinyume cha utaratibu na sheria tulizoziweka sisi wenyewe ili kuwezesha smoothness ya kuendesha maisha yetu kwa wajibu na haki,HUKO NDIKO KUHARIBU NA KUCHELEWESHA MAMBO TUYATAKAYO..!
It's very simple like this👉👉👉👉, tell the police to re - write their call letter for Mr TL kwa kufuata kuzingatia sheria. Ni hilo tu
Rudia kunisoma tena hapo☝️☝️☝️☝️juu...
Just to remind you, kwamba, things don't go like that. Wito wa polisi huwa ni document ya kisheria. Ikikiuka sheria, hiyo ni ya kupuuzwa tu..!!
Na kumbuka hili: Mjinga akikushurikisha jambo lake la kijinga nawe ukakubali kushiriki, nawe automatic unakuwa mjinga pia..!
Ni jambo kubwa kwako wewe Tlaatlaah..!!
Kwa Tundu Lissu na kwangu mimi that's completely nothing bali ni hila zilezile za miaka yote za baadhi ya viongozi wa serikali dhidi ya wakosoaji wa sera, mipango na matendo ya watawala wajinga na wapumbavu wa nchi hii kwa kulitumia jeshi la polisi ama baadhi ya maofisa wa jeshi hilo akiwemo DCI Ramadhani Kingai na IGP Cammilius Wambura...
Unfortunately kwao ni kuwa ama ni wajinga wa sheria au wanafanya makusudi kukiuka sheria ktk utendaji wao wa kila siku only to impress their gold digger masters..!
Hawa wakiukao sheria kiuhalisia ndio wanaochelewesha shughuli za maendeleo zisiende mbele kwa haraka na kamwe sio kina Tundu Lissu wanaopigia kelele uvunjivu wa sheria..!
Kwa hoja ya "tunachelewesha sana waTZ", nimetoa maelezo yake Kwa kirefu hapo ☝️☝️☝️☝️juu.
Na wewe nikushauri jambo moja, kuwa chunguza kabla ya kukubaliana na jambo liwe linatoka Kwa waserikali au Kwa Tundu Lissu au kwangu mimi. Na ukiona haliko sawa, likatae hapohapo au mwambie atakaye hivyo arekebishe..
Kwa ninavyoyasoma mawazo yako wewe, inaonekana una - argue hoja zako si kwa kutafuta maarifa yako mwenyewe bali kwa kuwa "unasikia tu" au "unaamini viongozi wa serikali kwa kuwa wamesema" bila kusumbua akili yako kutaka kujiridhisha kama kilichosemwa Kiko sahihi au la...
Na kwa kumalizia tu nikuulize swali hili, kwamba, hivi kwa kadiri ya ufahamu wako wewe Tlaatlaah unadhani Tundu Lissu miongoni mwa wanasheria bora kabisa Tanzania na pengine duniani anaweza kugomea wito wa polisi iwapo hauna kasoro yoyote kisheria?
hyu jamaa ni asset kubwa, sema kile chama kime m let down Sana !!Tungekuwa na watu kama Lisu 50 Tanzania ingekuwa mbali sn
yule yule kingai aliyewahi kuuza magazeti stand ya ubungoAliyeandika barua ni Kingai yule wa PGO au mwingine?
Kila jambo na wakati wakehyu jamaa ni asset kubwa, sema kile chama kime m let down Sana !!