Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi...

🤓sasa mzee Uzima Tele tuliza ball kidogo na urelax bana. Mbona barua ya polisi iko short and clear juu ya kusudi la kumwita Lisu polisi?
Hii kiburi na madharau ni ya nini na wakati haitasaidia kitu, because upelelezi Lazima ukamilike na muhisika ni yeye. Inocent person anaogopa nin kuitikia wito wa police wa kistarabu namna hii? waswahili walisema uskatae wito kataa neno na uungwana ni vitendo.
Naanza kuhisi ni mbinu binafsi ya kuendelea kupata kibali cha kudumu kuishi ughaibuni. This might be the stage za kutafuta ground then allegations za kutishiwa maisha then kukimbilia ubalozini then ✈️✈️✈️ and mission will accomplished.
Hili liwe fundisho kwa mamlaka, wanapoleta maigizo yao, waangalie wanamuigizia nani, sio kujikurupukia tu, huwezi kumtisha mwanasheria, kwenye jambo linalohusu sheria, kienyeji.
Lissu itakuwa baada ya kupokea ile barua akajiuliza hivi naenda pale kufanya nini? kwani sheria inasemaje? akaona ujinga huu, siendi popote.
Walishaambiwa kuna watu wakuwatisha, lakini kwa Lissu aliyeonja mpaka ladha ya risasi zao zaidi ya kumi na sita, huyu kucheza nae kunahitaji akili ya ziada, wala sio hayo maigizo yao waliyoyazoea kila wakati. Kingai aibu kwake.
Polisi kama wanamwita mtu kwenda kumhoji basi ni vema wakamweleza wanayeenda kumhoji, watamhoji kitu gani ili anayeenda kuhojiwa aweze kujiandaa kwa kile anachoenda kuhojiwa, ikibidi aende hata na vielelezo.
Hatutakiwi kuishi kwa kuviziana bali kwa kutendeana haki.
Hili liwe fundisho kwa mamlaka, wanapoleta maigizo yao, waangalie wanamuigizia nani, sio kujikurupukia tu, huwezi kumtisha mwanasheria, kwenye jambo linalohusu sheria, kienyeji.
Lissu itakuwa baada ya kupokea ile barua akajiuliza hivi naenda pale kufanya nini? kwani sheria inasemaje? akaona ujinga huu, siendi popote.
Walishaambiwa kuna watu wakuwatisha, lakini kwa Lissu aliyeonja mpaka ladha ya risasi zao zaidi ya kumi na sita, huyu kucheza nae kunahitaji akili ya ziada, wala sio hayo maigizo yao waliyoyazoea kila wakati. Kingai aibu kwake.
Kupitia baadhi ya matamshi yake lissu yapo hadharani anastahili kuhojiwa,zipo KAULI ambazo alizitoa ambazo ni za kufedhehesha,kutweza,kuvunjia heshima viongozi wa kitaifa,zipo za kuhatarisha Amani na umoja na uchochezi pia,asiogopwe hata kidogo!
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya.
Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli inayoashiria kuwa hatakwenda.
“Kwenda (kwa DCI) kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote lazima polisi akuambie anakuitia kosa gani. Ile barua imesema kuna kosa? ……”
Baada ya kutoa kauli hii Lissu aliondoka. Kauli hii inatoa tafsiri kuwa Mwanasheria huyo nguli hatokwenda ofisi ya DCI iliyompa wito wa kufanya naye mahojiano kufuatia matamshi aliyotoa kama alivyonukuliwa akisema kauli za Rais ni matope.
Mama ni nani?
Ukipuuza wito wa Polisi remedy yake ni kushtaki kwa mama yako?
Mahkma kazi yake ni kuamua na kutafsiri sheria, wewe umewahi kuona pahala Mtu amevuka na taa nyekundu barabarani kesi akaletewa mama yako?
Acha upuuzi karne ya 21!, Kesi iende mahakamani ahukumiwe kwa kupuuza amri /wito, kama iyo amri /wito ulikuwa halali kwa kutotaja kosa ama sababu ya kuitiwa.
That is political mistake Tundu Lisu anafanya.
Mwanasiasa makini, mzalendo, raia mwema na asie na hatia anaitikia wito bila kusita wala kuhoji content ya wito. Kisha atakataa neno ikiwa halimuhusu na kuwashauri wahusika vinginevyo, basi hivyo hivyo tu.
This will paint him negatively kwamba how come mtu asietii wito wa dola anapewa mamlaka?
Ndio maana unakuta kiongozi wa upinzani anaweza kushinda uchaguzi but akapokwa ushindi wake au kugomewa kupewa mamlaka na vyombo vya dola ikiwa ni pamoja na polisi, Jeshi, Mahakama, TIS n.k kwasababu tu alividharau nyakati mbalimbali huko nyuma. Thus why kwa tz Mbowe anaaminika zaidi na dola kuliko mwanasiasa mwingine wa upinzani Tz. huyu hata akishinda dola inaweza mruhusu kuongoza nchi. Rejea heshma na nidhamu yake kwa dola na mahakama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.