Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Na viongozi wako wa chama waliopiga magoti kuomba msamaha walisemaje baada ya JPM kufa? Na ile voice note iliyowaponza iliyovuja wakilalamika kutishiwa maisha walikuwa wanatishiwa maisha na nani? Lissu hana unafiki, hapigani vita za vichakani...kwake nyeupe nyeupe na nyeusi nyeusi.Ila siasa bhana [emoji23]
Uchaguzi dhidi ya JPM alikimbia nchi akisema anatishiwa maisha yake afu akarudi tena kwa ajili ya uchaguzi halafu akaondoka tena ety anatishiwa maisha yake.
Game is on [emoji41]
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app