SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Nilichema watu matajiri wao nyie vilaza mnawacheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu amesema Nape Nauye na January Makamba waliondolewa kwenye Uwaziri hivi karibuni hawana nguvu CCM na kwamba wanaishi kwa majina ya Baba zao.Amesema hayo leo tarehe 26 Julai 2024 alipozungumza na Waandishi wa Habari baada ya kutua uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar-es-Salaam akitokea Nchini Ubelgiji
View:
Tundu anatisha dakika chache tu ametoa madini hatariCcm ni wapinzan we2.......daaah
Amenkosha kusema ata chair tunamkosoa akikosea......🤔Tundu anatisha dakika chache tu ametoa madini hatari
Ndio mkuu....vp enzi ukiwa unafuatilia siasa mambo yalikuwaj?Hivi Makamba siyo Waziri tena? Tangu lini? Halafu kama nilisikia hivi kuwa Nape naye kaondolewa juzi kati hapa? Siasa zimenipita pembeni siku hizi...
Content ni kuwa hawana nguvu ndani ya ccm kisiasa hivyo wanamtumia majina ya wazazi kuchaguliwa na kuteuliwa na kupelekea kuiba rasilimali za nchi, usijitoe ufahamu we bibiSasa watumie jina la nani? La baba'ke Lissu?
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu amesema Nape Nauye na January Makamba waliondolewa kwenye Uwaziri hivi karibuni hawana nguvu CCM na kwamba wanaishi kwa majina ya Baba zao.Amesema hayo leo tarehe 26 Julai 2024 alipozungumza na Waandishi wa Habari baada ya kutua uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar-es-Salaam akitokea Nchini Ubelgiji
View:
Kwamba n@pe ni Mtoto wa Mark?Mark Mwandosya ajitokeze kumpinga lisu kuhusu haya madai. These are sensitive and serious allegations. Should not be taken for granted.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu amesema Nape Nauye na January Makamba waliondolewa kwenye Uwaziri hivi karibuni hawana nguvu CCM na kwamba wanaishi kwa majina ya Baba zao.
Amesema hayo leo tarehe 26 Julai 2024 alipozungumza na Waandishi wa Habari baada ya kutua uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar-es-Salaam akitokea Nchini Ubelgiji
View:
Nadhan tatzo lipo kweny neno upinzan.........yatosha kukiita kwa hadhi yake CHADEMA kama ilvo kwa CCM..wengi walioko Ccm hawana uwezo wa kuisimamia wanabebwa na nguvu za DOLA.
..mtu kama Samia Suluhu angekuwa upinzani asingepata hata udiwani, lakini kwasababu yuko Ccm anasumbua watu kugombea Uraisi wa Tanganyika.
Hata ccm hakuna demokrasia kabisa. Samia amejitangaza kuwania uraisi 2025. Kabla ya mkutano mkuu kumpitisha au yeye ndo katiba ya chama??CHADEMA hakuna demokrasia kabisa. Huyo Lissu ana uhakika gani chama chake kitampitisha? Au yeye ndo katiba ya chama?
Toa mifano miwili tu ya Tundu Lissu "kutokubali mawazo ya wenzake..."Huyu kwa Urais HAPANA. Uwaziri Mkuu sawa kabisa. Watu ambao hawakubali mawazo ya wenzao na kujiona kila wakati wako sawa huwa wanaishia kuwa viongozi wabaya sana kama Magufuli
Kapitishwa na kikao gani?Ametangaza jambo hilo alipoulizwa na Mwandishi wa habari iwapo bado anayo dhamira ya kufanya hivyo.
Lissu anesema kwamba Japo 2025 atakuwa na Umri wa miaka 57 lakini bado anaamini atakuwa na uwezo huo.
View attachment 3052937
Kwako na kwa wengine wenye uelewa mpana wanajua kwa urahisi sana uliyo andika hapa; lakini siyo kwa kundi kubwa linalo swagwa kama kondoo tu ndani ya nchi hii...Magufuli anapendwa sana nchi hii.
..kama Lissu anafanana na Magufuli, basi wafuasi wote wa Magufuli wampigie kura Lissu.