Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Kinyonga. Katika rangi zako...Afadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Tafuta kiongoziAfadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Rukhsa kuita watu majina yoyote. Be happy, barikiwa.Kinyonga. Katika rangi zako...
Ni mbele mbeleTafuta kiongozi
Usitishwe songa mbele
Kinyonga kwenye one n two😂Afadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Kwa hili nakuunga mkono, Fanya naye interview. Hapa tuko pamoja. Unaweza ukamhojo kama SuckerAfadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Good! Muombe aje CCM atusaidie kaziTafuta kiongozi
Usitishwe songa mbele
Umuulize je yeye hajawahi kuiba?Afadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Wapi...Umuulize je yeye hajawahi kuiba?
PopoteWapi...
No siwezi kumuuliza swali hilo kwasababu sio swali. Kuna type ya maswali very specific to Lissu, nikifanikiwa kupata appointment nitaileta humu JF.Umuulize je yeye hajawahi kuiba?
No Sucker mkali sana, mimi nitamhoji kama Tim Sebastian, Jonathan Man or Larry KingKwa hili nakuunga mkono, Fanya naye interview. Hapa tuko pamoja. Unaweza ukamhojo kama Sucker
Lakini hata yeye huwa anatoa maneno makali sanaNo siwezi kumuuliza swali hilo kwasababu sio swali. Kuna type ya maswali very specific to Lissu, nikifanikiwa kupata appointment nitaileta humu JF.
P
Sema kutafuta bahasha ya khakiAfadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P