Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

Afadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Mkumbushe maneno ya Marehemu Asha Bakari: "mwanangu jussa na mwanangu tundulissu wanacheza mchezo wasoujua". Zanzibar kutakuwa na majimbo mangapi? Wenzie hawataki kujua hayo mradi CHADEMA wajitawale kikabila.
 
Hana tena jipya
Huu uzi wako unaukumbuka kabla Mods hawajabidi hicho kichwa cha habari!!??
Unakumbuka uliweka kuchwa gani cha habari!!??
 

Mboga ya ccm hiyo
 
No Sucker mkali sana, mimi nitamhoji kama Jonathan Man or Larry King
P
Kuna Inteview niliona Lema alifanya kipindi kinaitwa ''The big agenda'' cha Mwananchi. Nilisikitika sana. Bwana Mayalla hivi jamaa kama huyu aliyekuwa anamhoji na yeye yuko kwenye kundi la waandishi wa habari? Kwanza mwandishi mwenyewe anaonekana kama chinga aliyeokotwa Kidongochekundu au mpiga debe fulani hivi. Maswali anayouliza nayo hovyo kweli kweli.
 
Kiukweli mifumo ya nchi hii ni ya hovyo na ni aibu kubwa sn
 
Tuache nongo jamaa kipindi anakitendea haki sn na siyo uongo
 
Tundu Lissu amekosa mvuto sana, Alipoulizwa kwamba sasa amerudi au ataondoka tena wiki ijayo kwa vile anadai eti huitwa mara kwa mara na madaktari hakuwa na jibu lolote amekimbia swali na kubabaisha lakini suala la CAG kalirukia faster,

Huyu jamaa amekwisha kisiasa hawezi tena kuishi Tz hata kwa dakika 1 kuwatetea Watanzania, ni wazi maisha yake sasa rasmi ni Belgium, huwez kufanya siasa Tanzania wakati kiongozi mkuu unaishi ulaya maisha yako alitakiwa awe wazi sio unafiki.,

Chadema imepuruchuka sana na kukatika vipande vipande mbowe hatoki Ikulu Lissu ndio hivyo wanachama wa Chadema sasa wanaishi kwa matumaini tu, Tanzania sijui wanafeli wapi kwenye kuanzisha upinzani ulio na nguvu, kwa mtindo huu ccm wanazidi kujichimbia hakuna namna ya kuwatoa madarakani

Uganda kuna upinzani wa maana sana japo wanapambana na dikteta lakini unaona sympathy ya viongozi wao wa upinzani na uvimilivu walio nao, hata maalim seif alikuwa strong zaidi, Kenya pia ni Tanzania tu vijihela kidogo mtu ata awe na status gani unamuona anapwaya sana, inasikitisha sana
 
Unatakaje?
 
Afadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Pascal,utakuwa umefanya jambo jema sana kama kweli utahojiana na huyu Mwamba.Wenye Akili zao wote wanamkubali Lissu kama Big Brain for our Country.
Mungu anazo njia zake za kutuonyesha ishara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…