Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

Lissu yupo sahihi
 
Akili alizonazo Lisu ni kubwa mno. Wewe endelea kuwasifia ccm, CHAMA ambacho kinawaumiza na kuwatesa wananchi
Sawa naendelea vizuri na kazi ya kuwasifia CCM ambayo sasa tunasaidiwa na washarika wetu mbalimbali.
P
 
Ameshiba, mpaka shati linambana
 
Afadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Jitahidi ufanye hivyo mkuu , wewe ni miongoni mwa waandishi Bora kabisa hapa Jf unayejihami na Kwa nchi yetu unastahili pongezi
Umejitahidi kutoa maoni yako kwa hoja nzito sana na kwa kina kuliko uwezo wa baadhi ya member humu tena kupitia verified I'd
Bahati mbaya wakati mwingine unaombulia matusi na kejeli Kwa member wenye uwezo mdogo Tena wengine kupitia fake I'd
Nikuombe mkuu usichoke Wala usikate tamaa kutuwekea hoja zako kwa manufaa ya taifa letu
 
Mkuu si ulishatuaga wana Jf kwamba unastaafu?
Au umerudi tena?
Nguli wa habari atastaafuje JF na news zake. Binafsi siwezi pitisha siku sijaingia JF hata kusoma tu post muhimu.
 
Lissu ndio kiongozi pekee anaweza kuwasemea Wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…