Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Lissu bila jina Magufuli hana pointi nyingine. Sasa kakuta mwenyekiti kijiko kimejaa asali hana cha kupinga maana kila kona Rais anawafunika na wanachama wengi wa chadema wamegeuka cha wa mama.
Wee huwa nakuelewa Ni mmojawapo wa wanachama hapa jamavini waelewa sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alijua akipambana na Magufuli ataweza.mwisho kaweka mpira kwapani
Yaani huko CCM mmejaa wajinga mtupu unasema Lissu kapambana na Magufuli halafu Lissu kashindwa huyo Magufuli aliyeshinda yupo wapi? Magufuli alitaka kumuua Lissu lakini kafa yeye sasa hapo nani mshindi aliye kufa au aliye hai?
Muwe mnakula chakula ninyi uviccm kabla hamja vuta bangi zenu.
 
Kuna sensa huko ubelgiji, raia wanatakiwa kwenda kuhesabiwa, ndio maana ameenda
 
Naona unamfuatilia TL zaidi ya unavyo fuatilia familia yako . Shame
 
Mimi nadhan majibu unayotoa ni vile kama unamjibia Lissu lakini sivyo ilivyo...., Anway wacha tuone how far Tundulissu na Chadema ataifikisha wapi., lakini mtazamo wangu Tundu Lissu kwenda kutibiwa ulaya imembadilisha yeye binafsi kuwa hawezi tena kuikosa ulaya kwa dakika moja zaidi kama ambavyo yule Wenje na Lema watarudi tu Canada japo kimya kimya,

Wote hawa wanaonekana wazi si viongozi waliokinai maisha ya ulaya japo kama walienda kwa kukimbia kile walichokihofia kutokea dhidi yao baada ya uchaguzi 2020.

Maalim seif alikaa sana ulaya, na alihangaika sana na siasa za ulaya kushawishi haki kule Zanzibar japo hakufika mahali pazuri sana lakini maisha ya ulaya aliyakinai sana na kurudi na kufanya siasa na wazanzibari kwa pamoja, alifariki akiwa Tanzania. ni mfano wa kuigwa sana kwa Africa. Tundu hafai ni coward
 

Sasa kwenye ujumbe huu kuna tataizo gani Lissu kurudi kuwaona madaktari wake? Ulitaka asiende kuwaona madaktari wake ili iweje? Mbona Magufuli alikuwa anaenda mpaka German kuangaliwa afya?!
 
Serikali ilikuwa inafeli Sana kuwabania chadema, ilitakiwa since day one wawaache tu

Hawana nguvu tena, hawana ishu,
Inawezekana kabisa mchango wako huu ndio ukawa mzito zaidi katika mada hii kuliko michango mingine yote niliyoisoma hapa.

Natarajia CHADEMA (viongozi) watakusoama vizuri na kukuelewa.

Binafsi, bado nina matumaini kwamba wanajuwa wanachofanya. Kwamba huko jikoni kwao kazi inaendelea kupikwa vyema kabala ya kupakuliwa.

Lakini kama tunayoyaona ndiyo kazi yenyewe, basi tuseme hakuna matumaini huko.
 
Kifo ni ibada. Magufuli ametimiza hiyo ibada
 
Lisu kuna kitu kimoja alipaswa kufahamu. Uwepo wa Jiwe ulimfanya atrend awe juu sana. Kutokuwepo kwa jiwe graph yake imeshuka sana. Anazidi kupotea
Acha upotoshaji, Uwepo wa jiwe ulimfanya Lissu awe hatarini kuuawa.

Kutokuwepo kwa jiwe ndio kumemrudisha Lissu Tz.
 
  • kama unaona namjibia Lissu basi mfuate Lissu personally ufanye nae interview Kama Clouds TV walivyofanya
  • kutokuikosa Ulaya hata Kwa dakika Moja sio hoja ya kisomi, kusafiri ni jambo la kawaida hata Rais huwa anasafiri, hoja hapa tunaangalia unasafiri Kwa sababu gani?, Umesema ni mtazamo wako basi baki nao huo mtazamo
  • Tundu Lissu angekuwa Muoga/ coward angerudi Tanzania kufanya kampeni? Mbona alivyorudi kwenye Kampeni 2020 aliendelea kukososa serikali iliyo madarakani, eg aliikosoa serikali ya awamu ya 5 Kwa kupotea Watu, aliikosoa serikali ya awamu ya 5 Kwa kuvunja sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kwa kufanya upendeleo kwenye miradi ya maendeleo? Angekuwa Coward asingethubutu kukosoa Serikali ambayo anaituhumu kwakumshambulia
-
-
 

Ni kweli, angeenda pale Umoja House akahuisha viza yake na akaendelea na libeneke kwasababu yeye ni VIP.

Ni wazi kuwa mazee wamemuita na kikao kizito kimefanyika na imeonekana kwamba yeye apishe tu njia.

"Appointments" kwa Doctor kule ni kuanzia miezi miwili au mitatu ndo waenda kwa "checkup".

Si kila baada ya wiki mbili au tatu.

Hawa wanasiasa wa upinzani na wa CCM walikwishawageuza watanzania kuwa wajinga kitambio tu na "ignorant" na sasa wawatumia kama mtaji wao kisiasa na kisaikolojia.

Narudia tena na tena kusema kwamba Tanzania haina wapinzani makini wa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…