Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Kijana unateseka kwelikweli kwa chuki, take it easy utakufa kwa pressure bureee!!!Kiko wapi? Tulisema na kuonya, Kiko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana unateseka kwelikweli kwa chuki, take it easy utakufa kwa pressure bureee!!!Kiko wapi? Tulisema na kuonya, Kiko wapi?
Wee huwa nakuelewa Ni mmojawapo wa wanachama hapa jamavini waelewa snaLissu bila jina Magufuli hana pointi nyingine. Sasa kakuta mwenyekiti kijiko kimejaa asali hana cha kupinga maana kila kona Rais anawafunika na wanachama wengi wa chadema wamegeuka cha wa mama.
Wee huwa nakuelewa Ni mmojawapo wa wanachama hapa jamavini waelewa sna
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaani huko CCM mmejaa wajinga mtupu unasema Lissu kapambana na Magufuli halafu Lissu kashindwa huyo Magufuli aliyeshinda yupo wapi? Magufuli alitaka kumuua Lissu lakini kafa yeye sasa hapo nani mshindi aliye kufa au aliye hai?Alijua akipambana na Magufuli ataweza.mwisho kaweka mpira kwapani
Kuna sensa huko ubelgiji, raia wanatakiwa kwenda kuhesabiwa, ndio maana ameendaWaswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
=====
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki
Kwahiyo kijana wako countrywide ni mkuda tu!!Hapana
Na alipohojiwa ITV alisema kabisa atakuwa akienda Ubelgiji kwa matibabu
Naona unamfuatilia TL zaidi ya unavyo fuatilia familia yako . ShameWaswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
=====
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Mimi nadhan majibu unayotoa ni vile kama unamjibia Lissu lakini sivyo ilivyo...., Anway wacha tuone how far Tundulissu na Chadema ataifikisha wapi., lakini mtazamo wangu Tundu Lissu kwenda kutibiwa ulaya imembadilisha yeye binafsi kuwa hawezi tena kuikosa ulaya kwa dakika moja zaidi kama ambavyo yule Wenje na Lema watarudi tu Canada japo kimya kimya,- Tundu Lissu hajawahi kuwa coward, hata baada ya kupigwa Risasi, kama angekuwa Muoga angerudi Tanzania kufanya kampeni? Mtu kapigwa risasi 16 anaenda kutibiwa nchi za nje halafu anarudi tena Tanzania kufanya kampeni bado unamuita Muoga? pain and suffering za Kupigwa risasi halafu bado unarudi tena, ungekuwa wewe ungerudi Tanzania? Kama angekuwa Muoga Lissu angeomba Humanitarian Permit huko Belgium,au Uraia awe raia wa Belgium
-kuhusu Lissu kuonana na wananchi kwenye matawi Hilo lililkuwa hakiwezekani kabisa, Kwa sababu katika kipindi hicho hicho ndio kulikuwa na tishio la yeye kumalizwa, yeye angefanyaje? na Kila alipojificha aliambiwa akimbie, ndipo akaenda ubalozi wa Ujerumani kupata hifadhi.
-
- kipindi hicho hicho Cha baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, Kamanda Mambosasasa alisema wapinzani walikuwa na mpango wa kufanya ugaidi, na hivyo Kuzuia Kila mikutano ya wapinzani, Kwa kisingizio Cha Ugaidi,
- Issue sio kukosa ushawishi kwenye maandamano, ni issue ni kwamba Utawala uliokuwepo ulikuwa ni mkono wa Chuma, Mbona kipindi Cha Awamu ya Nne wapinzani walikuwa wanaandamana?
- hawezi kuwatetea Wananchi, Kwa sababu amesafiri? Au hujamfuatilia Lissu mikutano yake ambapo alisema Bei ya bidhaa na huduma zimepanda kutokana na Kodi za Rais, ambayo inatokana na Rais kuwa muanzisha Kodi Mkuu wa nchi hii.
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
=====
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Inawezekana kabisa mchango wako huu ndio ukawa mzito zaidi katika mada hii kuliko michango mingine yote niliyoisoma hapa.Serikali ilikuwa inafeli Sana kuwabania chadema, ilitakiwa since day one wawaache tu
Hawana nguvu tena, hawana ishu,
Kifo ni ibadaWho is the looser?! Anayeenda Ubelgiji for medical consultation au aliyepo futi 6 Chato? Just speak out frankly.
Urudi na Nani? Labda uje nikuoeBaa
Baada ya wiki mbili tutarudi kwenye huu uzi
Mod wamekuumbua mkosa akili weweUrudi na Nani? Labda uje nikuoe
Kifo ni ibada. Magufuli ametimiza hiyo ibadaYaani huko CCM mmejaa wajinga mtupu unasema Lissu kapambana na Magufuli halafu Lissu kashindwa huyo Magufuli aliyeshinda yupo wapi? Magufuli alitaka kumuua Lissu lakini kafa yeye sasa hapo nani mshindi aliye kufa au aliye hai?
Muwe mnakula chakula ninyi uviccm kabla hamja vuta bangi zenu.
Wewe mvaa Madera tuliza masaburi hayoMod wamekuumbua mkosa akili wewe
Acha upotoshaji, Uwepo wa jiwe ulimfanya Lissu awe hatarini kuuawa.Lisu kuna kitu kimoja alipaswa kufahamu. Uwepo wa Jiwe ulimfanya atrend awe juu sana. Kutokuwepo kwa jiwe graph yake imeshuka sana. Anazidi kupotea
Mimi nadhan majibu unayotoa ni vile kama unamjibia Lissu lakini sivyo ilivyo...., Anway wacha tuone how far Tundulissu na Chadema ataifikisha wapi., lakini mtazamo wangu Tundu Lissu kwenda kutibiwa ulaya imembadilisha yeye binafsi kuwa hawezi tena kuikosa ulaya kwa dakika moja zaidi kama ambavyo yule Wenje na Lema watarudi tu Canada japo kimya kimya,
Wote hawa wanaonekana wazi si viongozi waliokinai maisha ya ulaya japo kama walienda kwa kukimbia kile walichokihofia kutokea dhidi yao baada ya uchaguzi 2020.
Maalim seif alikaa sana ulaya, na alihangaika sana na siasa za ulaya kushawishi haki kule Zanzibar japo hakufika mahali p Kama unaina azuri sana lakini maisha ya ulaya aliyakinai sana na kurudi na kufanya siasa na wazanzibari kwa pamoja, alifariki akiwa Tanzania. ni mfano wa kuigwa sana kwa Africa. Tundu hafai ni coward
Kasharopoka kamaliza kaona hamna dili arudi huko.
Tulisema hapa huyo huko Ubelgiji alipo ni mkimbizi wa kawaida tu km wengine wamejazana huko toka Congo,Rwanda na West Africa.
Sasa km angekua special si angerenew tu visa hapo ubalozi bongo.
Kuonana na daktari kwa check up sio issue ya lazima sana kaja juzi tu angeweza kufanya kabla.
Manyumbu yashapigwa za uso tena😅😅😅