Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Lissu bila jina Magufuli hana pointi nyingine. Sasa kakuta mwenyekiti kijiko kimejaa asali hana cha kupinga maana kila kona Rais anawafunika na wanachama wengi wa chadema wamegeuka cha wa mama.
Wee huwa nakuelewa Ni mmojawapo wa wanachama hapa jamavini waelewa sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alijua akipambana na Magufuli ataweza.mwisho kaweka mpira kwapani
Yaani huko CCM mmejaa wajinga mtupu unasema Lissu kapambana na Magufuli halafu Lissu kashindwa huyo Magufuli aliyeshinda yupo wapi? Magufuli alitaka kumuua Lissu lakini kafa yeye sasa hapo nani mshindi aliye kufa au aliye hai?
Muwe mnakula chakula ninyi uviccm kabla hamja vuta bangi zenu.
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki
Kuna sensa huko ubelgiji, raia wanatakiwa kwenda kuhesabiwa, ndio maana ameenda
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Naona unamfuatilia TL zaidi ya unavyo fuatilia familia yako . Shame
 
- Tundu Lissu hajawahi kuwa coward, hata baada ya kupigwa Risasi, kama angekuwa Muoga angerudi Tanzania kufanya kampeni? Mtu kapigwa risasi 16 anaenda kutibiwa nchi za nje halafu anarudi tena Tanzania kufanya kampeni bado unamuita Muoga? pain and suffering za Kupigwa risasi halafu bado unarudi tena, ungekuwa wewe ungerudi Tanzania? Kama angekuwa Muoga Lissu angeomba Humanitarian Permit huko Belgium,au Uraia awe raia wa Belgium
-kuhusu Lissu kuonana na wananchi kwenye matawi Hilo lililkuwa hakiwezekani kabisa, Kwa sababu katika kipindi hicho hicho ndio kulikuwa na tishio la yeye kumalizwa, yeye angefanyaje? na Kila alipojificha aliambiwa akimbie, ndipo akaenda ubalozi wa Ujerumani kupata hifadhi.
  • kipindi hicho hicho Cha baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, Kamanda Mambosasasa alisema wapinzani walikuwa na mpango wa kufanya ugaidi, na hivyo Kuzuia Kila mikutano ya wapinzani, Kwa kisingizio Cha Ugaidi,
  • Issue sio kukosa ushawishi kwenye maandamano, ni issue ni kwamba Utawala uliokuwepo ulikuwa ni mkono wa Chuma, Mbona kipindi Cha Awamu ya Nne wapinzani walikuwa wanaandamana?
  • hawezi kuwatetea Wananchi, Kwa sababu amesafiri? Au hujamfuatilia Lissu mikutano yake ambapo alisema Bei ya bidhaa na huduma zimepanda kutokana na Kodi za Rais, ambayo inatokana na Rais kuwa muanzisha Kodi Mkuu wa nchi hii.
-
Mimi nadhan majibu unayotoa ni vile kama unamjibia Lissu lakini sivyo ilivyo...., Anway wacha tuone how far Tundulissu na Chadema ataifikisha wapi., lakini mtazamo wangu Tundu Lissu kwenda kutibiwa ulaya imembadilisha yeye binafsi kuwa hawezi tena kuikosa ulaya kwa dakika moja zaidi kama ambavyo yule Wenje na Lema watarudi tu Canada japo kimya kimya,

Wote hawa wanaonekana wazi si viongozi waliokinai maisha ya ulaya japo kama walienda kwa kukimbia kile walichokihofia kutokea dhidi yao baada ya uchaguzi 2020.

Maalim seif alikaa sana ulaya, na alihangaika sana na siasa za ulaya kushawishi haki kule Zanzibar japo hakufika mahali pazuri sana lakini maisha ya ulaya aliyakinai sana na kurudi na kufanya siasa na wazanzibari kwa pamoja, alifariki akiwa Tanzania. ni mfano wa kuigwa sana kwa Africa. Tundu hafai ni coward
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.

Sasa kwenye ujumbe huu kuna tataizo gani Lissu kurudi kuwaona madaktari wake? Ulitaka asiende kuwaona madaktari wake ili iweje? Mbona Magufuli alikuwa anaenda mpaka German kuangaliwa afya?!
 
Serikali ilikuwa inafeli Sana kuwabania chadema, ilitakiwa since day one wawaache tu

Hawana nguvu tena, hawana ishu,
Inawezekana kabisa mchango wako huu ndio ukawa mzito zaidi katika mada hii kuliko michango mingine yote niliyoisoma hapa.

Natarajia CHADEMA (viongozi) watakusoama vizuri na kukuelewa.

Binafsi, bado nina matumaini kwamba wanajuwa wanachofanya. Kwamba huko jikoni kwao kazi inaendelea kupikwa vyema kabala ya kupakuliwa.

Lakini kama tunayoyaona ndiyo kazi yenyewe, basi tuseme hakuna matumaini huko.
 
Yaani huko CCM mmejaa wajinga mtupu unasema Lissu kapambana na Magufuli halafu Lissu kashindwa huyo Magufuli aliyeshinda yupo wapi? Magufuli alitaka kumuua Lissu lakini kafa yeye sasa hapo nani mshindi aliye kufa au aliye hai?
Muwe mnakula chakula ninyi uviccm kabla hamja vuta bangi zenu.
Kifo ni ibada. Magufuli ametimiza hiyo ibada
 
Lisu kuna kitu kimoja alipaswa kufahamu. Uwepo wa Jiwe ulimfanya atrend awe juu sana. Kutokuwepo kwa jiwe graph yake imeshuka sana. Anazidi kupotea
Acha upotoshaji, Uwepo wa jiwe ulimfanya Lissu awe hatarini kuuawa.

Kutokuwepo kwa jiwe ndio kumemrudisha Lissu Tz.
 
Mimi nadhan majibu unayotoa ni vile kama unamjibia Lissu lakini sivyo ilivyo...., Anway wacha tuone how far Tundulissu na Chadema ataifikisha wapi., lakini mtazamo wangu Tundu Lissu kwenda kutibiwa ulaya imembadilisha yeye binafsi kuwa hawezi tena kuikosa ulaya kwa dakika moja zaidi kama ambavyo yule Wenje na Lema watarudi tu Canada japo kimya kimya,

Wote hawa wanaonekana wazi si viongozi waliokinai maisha ya ulaya japo kama walienda kwa kukimbia kile walichokihofia kutokea dhidi yao baada ya uchaguzi 2020.

Maalim seif alikaa sana ulaya, na alihangaika sana na siasa za ulaya kushawishi haki kule Zanzibar japo hakufika mahali p Kama unaina azuri sana lakini maisha ya ulaya aliyakinai sana na kurudi na kufanya siasa na wazanzibari kwa pamoja, alifariki akiwa Tanzania. ni mfano wa kuigwa sana kwa Africa. Tundu hafai ni coward
  • kama unaona namjibia Lissu basi mfuate Lissu personally ufanye nae interview Kama Clouds TV walivyofanya
  • kutokuikosa Ulaya hata Kwa dakika Moja sio hoja ya kisomi, kusafiri ni jambo la kawaida hata Rais huwa anasafiri, hoja hapa tunaangalia unasafiri Kwa sababu gani?, Umesema ni mtazamo wako basi baki nao huo mtazamo
  • Tundu Lissu angekuwa Muoga/ coward angerudi Tanzania kufanya kampeni? Mbona alivyorudi kwenye Kampeni 2020 aliendelea kukososa serikali iliyo madarakani, eg aliikosoa serikali ya awamu ya 5 Kwa kupotea Watu, aliikosoa serikali ya awamu ya 5 Kwa kuvunja sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kwa kufanya upendeleo kwenye miradi ya maendeleo? Angekuwa Coward asingethubutu kukosoa Serikali ambayo anaituhumu kwakumshambulia
-
-
 
Kasharopoka kamaliza kaona hamna dili arudi huko.
Tulisema hapa huyo huko Ubelgiji alipo ni mkimbizi wa kawaida tu km wengine wamejazana huko toka Congo,Rwanda na West Africa.
Sasa km angekua special si angerenew tu visa hapo ubalozi bongo.
Kuonana na daktari kwa check up sio issue ya lazima sana kaja juzi tu angeweza kufanya kabla.
Manyumbu yashapigwa za uso tena😅😅😅

Ni kweli, angeenda pale Umoja House akahuisha viza yake na akaendelea na libeneke kwasababu yeye ni VIP.

Ni wazi kuwa mazee wamemuita na kikao kizito kimefanyika na imeonekana kwamba yeye apishe tu njia.

"Appointments" kwa Doctor kule ni kuanzia miezi miwili au mitatu ndo waenda kwa "checkup".

Si kila baada ya wiki mbili au tatu.

Hawa wanasiasa wa upinzani na wa CCM walikwishawageuza watanzania kuwa wajinga kitambio tu na "ignorant" na sasa wawatumia kama mtaji wao kisiasa na kisaikolojia.

Narudia tena na tena kusema kwamba Tanzania haina wapinzani makini wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom